Search results

  1. Kazitunayo

    Waliopangiwa Shule 2022

    Wakuu naomba link ya matokeo waliopangiwa form 1 mwaka 2022
  2. Kazitunayo

    Taa ya nyuma ya brevis

    Wakuu nauliza taa ya nyuma bei gan ya brevis ya upande mmoja
  3. Kazitunayo

    Nape wananchi wako wa Shuka wanakuhitaji

    Popote ulipo wananchi wako hawana maji salama wanakuomba urudi uende ukaone hali halisi wanaskia unacheza gof uko daresalama
  4. Kazitunayo

    Inaashiria nini kwa mwanamke kutoa mkojo wa njano unaonuka na matone ya damu baada ya kutumia dawa za kuzuia mimba?

    Wakuu samahani naomba kuuliza. Nina girlfriend wangu alikaribia siku za hatari tuka-sex baadaye akajua yuko siku za hatari nikamuwahi na P2 ndani ya masaa sa 72, sasa tangu jana anakojoa mkojo wa njano sana na unanuka mno. Leo tena anasema kakojoa kaona kama kuna matone ya damu kwa mbali. Hii...
  5. Kazitunayo

    Natafuta mwenza wa kuanza nae maisha

    Natafuta msichana Age 23-26 ambaye nitaweza kua nae katika mahusiano na badae ndoa niko dodoma akiwa maeneo hayo ni vizuri zaidi njoo PM tuyajenge Sent using Jamii Forums mobile app
  6. Kazitunayo

    Natafuta Tv inch 24 au 25

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza naitaji flat screen bajeti yangu ni 25o K niko dodoma Sent using Jamii Forums mobile app
  7. Kazitunayo

    Kwa wenyeji wa Tabora

    Naomba mniambie ni sehemu gani nzuri ya kufikia na lodge nzuri na maeneo ya kujidai pia...kipi nita enjoy nikiwa apo ma kipi kitaniboa pia asante
  8. Kazitunayo

    Msaada kuusu Inspection ya gari inakuaje

    Kuna ndugu yangu kaagiza gari imefika hadi dar kaambiwa hajalipa inspection haelewi chchote alimuomba mtu tu amuagizie mana ake ni nini na hua utaratibu ukoje hadi gari ikufikie mana hadi sasa iko apo dar wiki ya 2 sasa msaada kwa wajuzi wa mambo
  9. Kazitunayo

    Natafuta simu

    Natafuta simu ya kutumia smart nzuri bajeti yngu 200 k niko dodoma
  10. Kazitunayo

    Msaada;Naomba link nipakue power season 4 epsode ya 5-10

    Wakuu naomba uo msaada ndugu zangu niweze kupakua huu mzigo nitashukuru sana
  11. Kazitunayo

    Msaada power season 4

    Wakuu naomba mwenye power season 4 au link nipate huu mzigo naskia umetoka mimi bado sijaupata
  12. Kazitunayo

    Ajali DODOMA: Mwalimu agonga treni na kufariki

    Kumetokea ajali leo Dodoma maeneo ya mirembe kwa gari aina ya Hilux ikiwa inaendeshwa na mwalimu wa cbe dodoma mr Msuta na kugonga treni mwalimu uyo amefariki usiku huu katika hospital ya general dodoma alikokimbizwa kwa matibabu .I.P mr Msuta
  13. Kazitunayo

    Nategemea kusafiri na kocha wa Yanga kesho

    Wakuu kesho nina safari ya Zambia. Nina matumaini pasipo na shaka kabisa kesho nitakua nae siti moja au atakua jirani yangu huku tukisoma magazeti kwa mbaali na nikifungua ukurasa wenye sura ya Kichuya. Tuombeeni safari njema wakuu
  14. Kazitunayo

    Nauza Unga

    Nauza unga natafuta wateja bei zangu ni nafuu sana kilo 1 sh 700 tu upo wa aina zote
  15. Kazitunayo

    Nipeni hela niwatafsirie alichokiandika Jokate kwenye Birthday ya alikiba

    Watu wengi walisubiria kwa hamu sana kuona jokate ata post nini kuusu alikiba kwenye siku yake ya kuzaliwa cha ajabu sana akapost maneno ya lugha ingine kabisa nakuwaacha wambea hoi sasa kwa kua mimi ni mbobezi wa lugha hii nipo tayari kuwa tafsiria ila kwa sharti la kunipa ela mnataka umbea lipieni
  16. Kazitunayo

    Watanzania wenzangu naomba Mumuangalie Darasa cmg kwa jicho la pekee..

    Huyu kijana ana kipaji cha ajabu hajawahi kukosea kuanzia sikati tamaa mpaka sasa lete mziki..namuona mbali sana kijana huyu fid Q,Joh na wengine muangalieni sana uyu bwana mdogo
  17. Kazitunayo

    Sijamuelewa member mwenzetu wa JF Juliana Shoza

    Wakuu kama mmeona jioni ya leo bungeni kupitia TBC 2 alichosema juliana shoza kama kuna mtu kamuelewa binafsi sijaona akitaja vifungu vya sheria husika kama walivyosema wenzie ila nimeshuhudia tu akimshambulia Mbowe na lowasa tu na baadae kuunga mkono hoja
  18. Kazitunayo

    Eneo linauzwa vigwaza kama unaelekea kwala

    Kama kichwa kinavyosema eneo linauzwa vigwaza barabara ya kwala linakaribia heka 1 bei mil 4 maelewano yapo pia nicheki kwa namba 0718003504
  19. Kazitunayo

    Kifafa husababishwa na nini? nini tiba yake?

    Naomba historia fupi kuusu uu ugonjwa nini chanzo chake? na ipi tiba yake nina mtu namjua umemsumbua sana hadi kukatisha masomo yake cc.mshana jr,mzizimkavu
  20. Kazitunayo

    Natafuta dawa ya kukojoa kitandani

    Habari wakuu kama nilivyosema mdogo wangu anakojoa kitandani mpaka leo hii yupo form 1 tumempeleka boarding lakini tatizo bado lipo mpaka leo hii hadi walimu wanataka kumrudisha nyumbani
Back
Top Bottom