Search results

  1. Ndumbayeye

    Marioo na wenzio acheni kuvaa miwani meusi kwenye video zenu

    Ushauri tu kwa mwanamuziki Marioo awe anaacha kuvaa miwani meusi kwenye video zake kwa sehemu kubwa. Diamond tulimjua haraka huku vijijini mwanzoni aliimba kavukavu. Zuchu pia hata watoto wa miaka 2 huku vijijini wanamjua, Na nyie wengine mnaoingia acha miwani hatuwajui haraka.
  2. Ndumbayeye

    Lindi: Wafanyabiashara 14 wa taasisi za mikopo watiwa mbaroni

    Kadi kibao za watumishi zinazotumika kama dhamana. Hawa Wakurya wana mpaka mashine za uwakala wa mabenki. Mtandao wao ni mkubwa, Mtwara walikamatwa wanaendelea kama kawaida now. Sent using Jamii Forums mobile app
  3. Ndumbayeye

    Benki zimelala watu wanapiga pesa

    Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Mhe. Gelasius Byakanwa ameagiza ndugu Chogo Marwa kukamatwa kwa tuhuma za kutoa mikopo ya kitapeli kwa wananchi. Moja ya masharti ya mikopo hiyo ni kukabidhi kadi ya ATM pamoja na namba ya siri. Mmoja wa waathirika wa mikopo hiyo amekopa shilingi milioni moja na kutakiwa...
  4. Ndumbayeye

    Nyumba inauzwa kibada

    mwenye kuhitaji nyumba eneo la kibada karibu na zahanati ya kibada anipigie 0713803276, bei elekezi 40m, but negotiable. Sent from my HUAWEI P7-L10 using JamiiForums mobile app
  5. Ndumbayeye

    TRA kulipia kodi scrapers tunaonewa?

    Natoka Tra nakuta tozo la kodi la sh laki tatu kwa miaka 4 iliyopita kwa pikipiki iliyokwisha kufa zamani. Naona sio haki kulipa kodi kwa chombo kilicho kwisha kufa
  6. Ndumbayeye

    Msaada printer hp laserjet 4250

    Naomba msaada wa kuinstall printer hp laserjet 4250. Nimejaribu nimeshindwa, kama inawezekana drivers weka hapa.
  7. Ndumbayeye

    Benki ya Posta mtatoa lini mikopo?

    Nimeomba mkopo wa biashara benki ya posta miezi 2 sasa hakuna jibu, niliomba milioni nane nikaweka nyumba ya m75 nimeidhinishiwa m3, na bado longo longo kibao, system wanadai zimefeli. Hilo linawezekana kwa uendeshaji wa benki ?
  8. Ndumbayeye

    Airtel nirudishieni hela yangu

    Nimeomba bundle ya 15,000 mara mbili baada ya kuweka salio naambiwa sina salio la kutosha. Nimeingia kwa code *148*22#. Kama kuna maafisa wa airtel humu wafikishe ujumbe. Customer care wananiambia nimeshatumia bila kujiunga, sio kweli.
  9. Ndumbayeye

    Mikopo kutoka Banc ABC

    naomba uzoefu kwa mtumishi aliyewahi kukopa katika benki hii. hawa sio akina byport wengine?
  10. Ndumbayeye

    NMB acheni kutuibia fedha zetu

    Mwezi huu wamekithiri. unahamisha hela kwa mobile inapotea hewani, unajazishwa fomu pale kaunta unaambiwa baada ya masaa 2 utarudishiwa. unakaa siku 8 . baada ya masaa 2 kila saa kila muda unauliza salio na wanakukata. tangazeni kusitisha basi huduma yenu ya mobile
  11. Ndumbayeye

    Gharama za kubadilisha umiliki wa kiwanja

    nimenunua kiwanja mwaka 2004 kwa 1m, kabla sijabadili umiliki nikaanza ujenzi kidogokidogo nikamaliza mwaka 2010. Mwaka huu nimeanza kubadili umiliki wa kiwanja/plot iwe kwa jina langu. Watu wa ardhi baada ya kufanya tathmini wananiambia nikalipie 10% milioni 20 tra kama property najiona kama...
  12. Ndumbayeye

    Nahitaji display ya sony z1

    jamani nahitaji niuziwe diplay simu yangu sony z1 6903 . display yake imedata.unaweza kunipigia 0773471195
  13. Ndumbayeye

    Uchumi uache kuhudumia siasa

    Hii tabia ya kugharamia siasa hapa Tanzania itaisha lini. Hebu angalia mamilioni yanayoteketea kupitia: 1. Ruzuku ya vyama vya siasa 2. Vikao vya bunge la kawaida na katiba 3. Chaguzi Kwanza kile kipengele cha wabunge kutokuwa na imani na waziri mkuu au raisi kiondolewe, wabunge wameonesha...
  14. Ndumbayeye

    Shamba linauzwa Kigamboni

    Nauza shamba eka 3 mbele ya kibada (mwera) karibu na kinapojengwa chuo cha VETA. 30m prospective investors are invited, call 065936359
  15. Ndumbayeye

    Set GSM/UMTS band to default

    Hello everyone. I change my radio band to USA band accidentally and now my SIM is not detecting​ the network. Is it possible to return default radio band settings without wipe? And how?
  16. Ndumbayeye

    Airtel mnaniibia

    Nyie airtel vp, nimerecharge 5000 usiku kabla sijapiga, hela asbh kwishnei nimetuma sms 30 tu kati ya 200 .....naweka tena 5000 now naongea sekunde chini ya 30 hela inaisha tena, customer care iko bize, mtu mwingine hapa the same problem.
  17. Ndumbayeye

    Du CCM Noma

    Hata kabla viongozi wakuu wa CHADEMA hawajaondoka mikoa ya kusini, mwenyekiti wa UWT Sophia Simba anafanya mkutano mkubwa na kina mama (soma wapiga kura) mjini LINDI. Kwa maoni yangu CHADEMA waimarishe kitengo hiki, wasiwategemee kina Mbowe na Lema wazee wa kufoka foka!
  18. Ndumbayeye

    Memory card ya camera inaonesha card error

    natumia camera aina ya benq, memory card ya 8gb. Nikiitumia inanijibu card error nifanyeje wataalamu? Nikiiformat window haikamilishi, nkiiangalia kwenye kompyuta inaonesha iko full wakati haina kitu.
  19. Ndumbayeye

    Kwa wateja wa highlife Zantel

    Kwa wateja wa highlife, kwanini siku hizi sifanikiwi kuunganishwa na huduma hiyo ya internet, kila nnapojiunga naambiwa line yangu ya simu haijatumia shilingi 5,000. Customer care wananiambia system zao ziko slow kunitambua (ndio basi?). Najiuliza sijui kwa wateja wengine hali ikoje ni wiki ya...
  20. Ndumbayeye

    Abiria kuvaa kofia(helmet) moja ya bodaboda, si tutaambukizana magonjwa?

    Hili limekaaje abiria wa bodaboda kuvaa helmet? Sheria hii ya kulazimisha abiria wa pikipiki za kukodi maarufu kama boda boda kubadilishanabadilishana helmet sie tutaambukizana magonjwa?
Back
Top Bottom