Search results

  1. Ndumbayeye

    Unawezaje kuishi na mwanamke anayejamba jamba ovyo?

    Kiashirio hicho, chukua hatua!
  2. Ndumbayeye

    Chanzo Cha Umaskini Tanzania hiki Hapa. Deep State kazi kwenu

    Hujasema deep state imefanyaje!
  3. Ndumbayeye

    Je ni walimu pekee ndio watumishi wenye kero ya kuhitaji madaraja mserereko?

    Shida ya watumishi ni kikokotoo na sio madaraja!
  4. Ndumbayeye

    Azam mlichonga njia mbovu kumpata Feisal, sasa kibao kimewageukia muachieni pia Prince Dube akatafute maisha kwingine!

    Hizi option 3 mwenzetu umezitoa wapi? Ina maana hukusikia dola laki 5 za bei ya Fei?
  5. Ndumbayeye

    Azam mlichonga njia mbovu kumpata Feisal, sasa kibao kimewageukia muachieni pia Prince Dube akatafute maisha kwingine!

    Ila sio wakati msimu unaendelea. Hiyo ndio kanuni kuu ya kuvunja mkataba wa mchezaji wa mpira wa miguu. Mkataba wa mpira sio kama wa kupanga chumba kule Kinyerezi!
  6. Ndumbayeye

    Mtandao wa facebook na Instagram haupatikani

    Sasa itakuwaje leo maana kule ndio tunakotongoza vitoto
  7. Ndumbayeye

    Kuipa mechi jina la mchezaji sio afya kwa umoja wa timu

    Toka uanze utaratibu huu yanga haijawahi fungwa,usiongee vitu visivyokuwepo
  8. Ndumbayeye

    Mrejesho kuhusu kesi yangu na app za mikopo

    Humu kuna kausha damu wengi ,usiwasikilize songa mbele.
  9. Ndumbayeye

    Kichaka cha waliokuwa wanajificha kufika robo fainali CAF CL kimefyekwa rasmi

    Aende wapi na yeye anadai 85bn! Mpaka deni liishe.
  10. Ndumbayeye

    Anayepigiwa simu na Mudathir apokee

    Uandishi gani huu wa hovyo, unataka watu wakusome unawapa shida ya kudhanidhani ulichoandika, mi sijaelewa huko juu umeandika nini!
  11. Ndumbayeye

    Kwa masikitiko makubwa, mwandani wangu ananisaliti na wanaume zaidi ya wa 5

    Tatizo vijana mapenzi yanawasumbua sana, oeni acheni uzinzi mtu anaongea anasalitiwa utafikiri ni mkeo huna aki ya kisheria kumsema chochote unamlalamikia mtu hata uchumba nae huna!
  12. Ndumbayeye

    Kichuya kujiunga na jeshi

    Humu kuna vitoto vingi sana, 34 ni libabu!
  13. Ndumbayeye

    Ushawahi Kukutana na Boss mwenye Tabia gani ya ajabu?

    Mimi wa kwangu ukiongea nae kitu private cha siri saa hiyo hiyo anaanza kubwatuka
  14. Ndumbayeye

    Tuache unafiki kiwango cha Simba kiko chini mno

    Hizi timu za Simba na Yanga ni shida
  15. Ndumbayeye

    Kwa dhuluma ambayo Jakaya Kikwete alimfanyia Mzee Lowassa, ataumaliza uzee wake bila amani

    Lowasa alikuwa mgonjwa kila mtu alikuwa anajua
  16. Ndumbayeye

    Walimu bora wa shule za sekondari kwa nyakati zote hapa Tanzania

    Mbona mnataja tushule tudogotudogo kuwakilisha nchi!
Back
Top Bottom