Search results

  1. Naumia

    Rais Magufuli atangaza Baraza Jipya la Mawaziri - 10 Disemba 2015

    Kweli kabisa. Pokea like.
  2. Naumia

    Wakili Linda Mulungi wa IMMMA Advocates Afariki

    Linda Mulungi pole sana and may your soul rest in peace. Nimeskitika sana kusikia yaliyo mkuta Linda. She was such an amazing girl. I really hope and pray her family watachukulia atua hiyo hospital.
  3. Naumia

    UPDATE: Mtoto aliyechomwa moto na kulazimishwa kula kinyesi chake akatwa mkono

    E Mungu baba saidia mtoto huyu. Kweli dunia imeisha!
  4. Naumia

    Ushuhuda: Madhara mbalimbali ya Vidonge vya Uzazi Wa Mpango

    Ahsanteni sana kwa hii topic. Mimi binafsi nilijaribu vidonge kwa kipindi kifupi lakini niliumwa sana (headache, kizunguzungu, mapigo ya moyo kwenda kwa kasi sana and nilipoteza hamu ya sex kabisa). Niliamua kutumia calender mpaka leo hii. Hivi kwa watu walio Tanzania inawezekana kuomba kipindi...
  5. Naumia

    Kwanini infidelity imeongezeka sana kwa jamii yetu?

    Nilijiita jina NAUMIA kwa sababu nyingi tu :)
  6. Naumia

    Kwanini infidelity imeongezeka sana kwa jamii yetu?

    Binafsi I don't know why people cheat. Unakuta watu wengi especially women end up stepping out their relationships/marriages (start sleeping around) cause somebody cheated on them. Don’t let a cheater change who you are! Do not block your blessing from our God Almighty so you can get even with...
  7. Naumia

    Mke wangu wa NDOA ananilazimisha nitoke nje ya Ndoa

    Hapa kuna tatizo kubwa sana. Let’s be honest, hakuanza hii tabia leo wala jana. Inawezekana alianza zamani ila recently it has gotten worse. Inaonekana mama ana hasira sana sasa hatujui ni hasira na wewe or kuna kitu kina mletea hasira. Mimi kama mwanamke siwezi mwambia mwanaume wangu akalale...
  8. Naumia

    The Power of Words

    Thanks. I needed to hear that!
  9. Naumia

    rest in peace my daddy

    Pole sana. May his soul RIP.
  10. Naumia

    Ni shemeji yangu kabisa..

    Mpaka shemeji kuwa comfortable kiasi hicho kukuonyesha mambo hayo kuna mawili: 1. Is it possible kwamba shemeji yako kaisha kuona na wewe unafanya hivyo (cheating on your wife/girlfriend/fiancée)? People tend to get comfortable to do these sort of things in front of you if they know you can't...
  11. Naumia

    Nimelala na mwanamke kitanda kimoja usiku kucha ..........

    Binadamu tuna vituko!!!! wewe kama umeoa na unampenda mke/mme wako WHY WOULD YOU PUT YOURSELF IN THAT POSITION to start with. You might save few dollars but lose your marriage!
  12. Naumia

    Uko kwenye ndoa zaidi ya miaka 5?naomba ushauri.

    Asanteni ndugu zangu wana JF! Nilikuja hapa kuomba ushauri nikijua ni mkosefu. Lakini mwanume anayeniita mimi mjinga,sina akili, sina dini-namuombea asije kabisa akapatwa na mwanamke wa design hii iliyoniangukia, na sijui kwanini wanaume wengi hujidai wao ni wataalamu wa kukwepa wanawake wakati...
  13. Naumia

    Hivi how do u feel when your partner talks to the ex?

    Na mimi habari za ku chat na ex hapana. call me insecure or whatever but when comes to ex, let them be ex (exit). Mliisha achana sasa mambo you ku keep intouch ya nini. You should be investing time in finding new partner if you are still single or in your current one. sometime cheating doesnt...
  14. Naumia

    Mama wa Kambo, tujadiliane hili!

    Ni kweli kabisa ulilosema. Mimi mwenyewe nililelewa na mama wa kambo lakini nakukwambia baba yangu kila siku akirudi hata iwe usiku wa manane ataniamsha na kuniuliza how was my day na kama nimenyanyaswa na mtu yoyote especially my step mom. So wakina baba ambao mda watoto wanalelewa na mama...
  15. Naumia

    Canada's Orca to drill new gas well in Tanzania

    By Fumbuka Ng'wanakilala DAR ES SALAAM (Reuters) - Toronto-listed Orca Exploration (ORCb.V) says it plans to drill a new well in 2011 to boost natural gas production at the Songo Songo field in Tanzania amid growing local energy demand. The company's third quarter 2010 report, seen by Reuters on...
  16. Naumia

    Guys tunachohitaji toka kwenu ni kidogo sana....................

    Dokezo; wanaume wakorofi na wahuni mara nyingi ni kutokana na kuwa na level kubwa ya testosterone hormone; the hormone of love and sex in men!!!!! Ahsante kwa hilo.
  17. Naumia

    Ndoa yangu imeanza kuingia kirusi cha aina yake

    Mbona ni kawaida kuchelewa hata siku 7- 10. Kuna wanawake wengi tarehe hazibadilikagi mwezi kila mwezi lakini hata hawa saa nyingine mambo yanaweza wahi au kuchelewa siku kibao. Pia maumivu ya tumbo ya aina hiyo ni kawaida tu Kwa vile umeisha weka mawazo hayo inabidi uongee nae tu vizuri. Na...
  18. Naumia

    USPS package to Tanzania ? - Anybody

    Mimi nilijaribu 18 months ago na mpaka leo havijafika even though ile tracking # ya USPS inaonyesha mizigo ilifika bongo post Office within 5 days. Mizigo ilikuwa external hard drives,dvd na vingine.
Back
Top Bottom