Search results

  1. Bhugotabhululu

    Kinondoni; CCM Inawadharau nanyi jibuni mapigo

    Mwisho wa uongo na ulaghai umefika, timu malalamiko, timu kufikirika hakuna tena mwenye kuweza kuwasikiliza. Tunataka maendeleo ya watu wetu nyie pambaneni na hali zenu yamewachwea msipojirekebisha na mwisho wenu ndo umefika, mtazimika kwa aibu.
  2. Bhugotabhululu

    CHADEMA mtafakari kauli zenu

    Kadri siku zinavyokwenda ndivyo rangi halisi ya hawa watu tunavyozidi kuiona, kwanza niseme ni jambo baya kwa bwana Mbunge mheshimiwa kupigwa risasi hakuna mtu mwenye akili timamu anayeweza kufurahia, lakini ni jambo baya sana kwa bwana Mbunge kutumia hisia kutuhumu watu ambao hata anapozungumza...
  3. Bhugotabhululu

    ZANZIBAR: Watu 4 wauawa kwenye mkesha wa mwaka mpya

    Hii taarifa ni nusu nusu haieleweki hebu tupatie details tafadhali
  4. Bhugotabhululu

    Tumpigie Rais Magufuli kura ili apate tuzo ya kiongozi bora barani Afrika 2017

    Nimempigia Rais wetu kafanya mambo makubwa saana isipokuwa tu nabii hakubalili kwao, wanasifiwa wasiofanya chochote anaachwa aliyefanya makubwa, miye nitahakikisha anaibuka mshindi Magufuli oyeeeeeeeeeeee
  5. Bhugotabhululu

    Nehemiah Mchechu Mkurugenzi wa NHC asimamishwa kazi kupisha uchunguzi!

    Duuhh huu sasa ni wivu au nini maanake kama wamenunua wamenunua kiharamu au kihalali, walifuata mchakato wa manunuzi au hawakufuata na hayo maprado unayodai wamenunua walikopeshwa au waligawiwa sioni issue hapa zaidi ya wivu na chuki.
  6. Bhugotabhululu

    NHC imemteua Ndg. Felix Manyama Maagi kuwa Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Shirika hilo

    Chief tuletee ushahidi wa huo ufisadi kama siyo maneno ya kufikirika.
  7. Bhugotabhululu

    Viongozi Wastaafu Waheshimiwe. Haikubaliki Sumaye Kumwandalia Mapokezi Wema Sepetu

    Miye niliposikia hii taarifa kwanza nilidhani ni utani lakini baada ya kuitazama clip iliyorushwa kwenye You Tube nimesikitika saana kiongozi wetu huyu tuliyekuwa tukimtii miaka kumi yote akiwa ofisini leo hii anageuzwa kuwa MC wa Wema Sepetu, ni aibu kubwa hii imemdhalilisha sana mkuu wetu huyu...
  8. Bhugotabhululu

    CHADEMA: Kipaumbele cha Rais Magufuli ni kununua ndege? Hali ya Uchumi inazorota!

    Wacha Serikali ifanye kazi, mlipokuwa mkipiga kelele mnataka maamuzi magumu mlisema saana, sasa maamuzi hayo ya kutimua wapiga dili, vyeti feki wasiolipa kodi, weka ndani watakatishaji pesa, piga marufuku siasa zisizoa na tija, mikataba mibovu ya madini sasa mnaanza kulalamika oohh huyu bwana...
  9. Bhugotabhululu

    CHADEMA: Kipaumbele cha Rais Magufuli ni kununua ndege? Hali ya Uchumi inazorota!

    Naukumbuka saana ule wimbo Tanzania Tanzania nakupenda kwa moyo wote , uhuru wa kuzungumza ni mkubwa saana acha viongozi wetu wa upinzani wazungumze hoja zao wanavyoweza nimezisikiliza na kuzisoma, nafurahia kwamba siasa inaprevail kwa kuzungumza hivi tunapata mawazo mengi zaidi kwa mapana...
  10. Bhugotabhululu

    Katibu Mkuu mpya CHADEMA aleta taharuki ndani ya CCM

    Hiyo ni Mbingu na ardhi ndugu, nazungumzia maisha na safari ya kisiasa ambayo ni unique na ina mambo yake tofauti siyo ya kitaaluma. Magufuli amekuwa Mbunge na Waziri kwa miaka 20 je hao wanalingana ndugu yangu
  11. Bhugotabhululu

    Katibu Mkuu mpya CHADEMA aleta taharuki ndani ya CCM

    Mnajifariji na Chama chenu hicho hivi mtu ambaye ni mgeni kabisa kwenye siasa hata katibu wa tawi la chadema hajawahi kuwa atawezaje kuongoza lichama likubwa hivyo mmechemja poleni mmeua chama. Haingii kwa Dk Slaa hata ukucha ndo madhara ya kutaka kuwa na viongozi wenye mitizamo ya ndiyo mzee.
  12. Bhugotabhululu

    Nilifanya nae mapenzi kinyume na maumbile, je anafaa kuoa?

    Wee jamaa kwa kweli ni bwege yaani hapo unajiuliza nini kwanza wewe mwenyewe hufai kwa kuwa wewe pia mfiraji, kwa hiyo ni bora umuoe ili kuficha aibu zako ambazo atakuwa huyo anakutimizia ili kusudi usije umbuka ukija kufanya mchezo huo kwa mtu mwengine.
  13. Bhugotabhululu

    Maalim Seif ataiongoza Zanzibar kama Rais

    Wacha kelele Watanzania bwana muda mwingi wetu tunazungumzia mambo yasiyokuwa na kichwa wala miguu, wewe kaa ukiamini njozi zako. Maalim Seif ni mtu wa Serikali, analipwa na Serikali na anafanya kazi ya Serikali ndo maana hamtokaa hata siku moja msikie kwamba yeye ni Rais. Tlia tafakari fanya...
  14. Bhugotabhululu

    Mada Huru: Ni Mtangazaji yupi anayekuboa zaidi?

    Anayeniboa kupita wote ni Hemedi Kivuyo na simulizi zake zisizokuwa na kichwa wala miguu
  15. Bhugotabhululu

    NHC: Nyumba 5,000 za bei nafuu kwa wote! Nyumba yangu, Maisha Yangu!

    Binafsi siamini jambo hili ambapo umekuta nyumba ya vyumba viwili kwa bei hiyo ya shilingi milioni 50 nimefuatilia matangazo ya mauzo ya hizo nyumba na hiyo si kweli mkuu. Okay hata kama ingekuwa kweli hivi unafahamu kwamba sheria iliyoliunda upya shirika ya mwaka 2005 imefuta na kurekebisha...
  16. Bhugotabhululu

    Mshahara wa Nehemia Mchechu wa NHC ni USD 19,000 kwa mwezi

    Utasubiri sana hakuna bomu wala risasi itakayoripuka. Miradi inajengwa na wakandarasi class one kama ile ya morocco na Kawe yupo estim pale kuna group six na kadhalika hakuna kampuni ya kimataifa kama zile itakayofanya kazi ya kipumbafu
  17. Bhugotabhululu

    Mshahara wa Nehemia Mchechu wa NHC ni USD 19,000 kwa mwezi

    Eti form four hahaaaaa wewe kawadanganye wajinga wenzako werevu tumekung'amua.unajitekenya kisha unacheka mwenyewe sipotezi muda na wtu kama wewe.
  18. Bhugotabhululu

    Mshahara wa Nehemia Mchechu wa NHC ni USD 19,000 kwa mwezi

    Brazaa i think you have read your books upside down hivyo nakusamehe bure puyanga na data zako za uongo.
  19. Bhugotabhululu

    Mshahara wa Nehemia Mchechu wa NHC ni USD 19,000 kwa mwezi

    Brazaa pole saana una dhana unazozichanganya hapa kwanza mawazo yako yamejikita kwenye mtizamo wa kimagharibi 'eurocentric' bila kuwa na data halisi za hali ilivyo, hivi kwanini ulipotaka kujenga hoja yako ukakopa mifano ya wadhungu wakati NHC ni mfano halisi ambao ungeutumia. Shirika la nyumba...
  20. Bhugotabhululu

    Mshahara wa Nehemia Mchechu wa NHC ni USD 19,000 kwa mwezi

    Weee jamaa mishahara ya NHC haitokani na walipa kodi. Kodi za wananchi zinapitia TRA na zinalipwa kwa wafanyakazi wa serikali na baadhi ya taasisi zinazotegemea Hazina. NHC inajitegemea na ni taasisi ya uzalishaji.
Back
Top Bottom