Baada ya rais ni Makamu wa Rais kwenye uongozi wa nchi.
Ndiyo maana rais akifa, Makamu wa Rais anachukua madaraka.
Hiyo movie yote ya wakuu wa majeshi kuchukua process ya kumuuguza rais ilikuwa unnecessary militarism.
Kwa sababu rais alitamani kuwa IGP tu.
Rais ana daktari wake.
Power struggle watagombea kuwa chawa wa mama, CCM huyo mama kashapita. Hawana utamaduni wa kumuondoa an incumbent president.
Tena mwenyewe kashasema ni yeye mpaka 2030.
As if 2025 hakuna uchaguzi.
Mkuu,
Umeweza kusikiliza kwa umakini yaliyosemwa na ambayo hayajasemwa.
Watu wengi wanafikiri haya maongezi ni historia ya kifo cha Magufuli.
Wakati haya maongezi ni maongezi ya kumsimika Samia na kuonesha jinsi Samia alivyotengwa na kuonewa mpaka ilikuwa kidogo katiba ipindishwe ili asipate...
Siyo nimekwepa swali, nimekuonesha kwamba swali ni irrelevant. Either answer does not change my bigger logic.
Nikifanya immanent critique, hata nikikukubalia nikisema kwamba Magufuli hakuwaita hao wakuu wa majeshi, aliwaita Paroko na Kardinali.
Sasa, kwa nini kawaita Paroko na Kardinali lakini...
Magufuli alipandikiziwa tu Samia, hakumpenda tangu mwanzo.
Magufuli was a misogimynist. Hata alivyokuwa anaongea na wanawake kama rais ni kama anawabashia.
Sasa, huyo ndiye alianza kumbagua Samia, Samia hana ubavu wa kuwa anti-Magufuki out if nowhere. Ile ilikuwa ni reaction ya kubaguliwa.
Logical non sequitur. Point kubwa ni kwamba hakumuita VP.
Kamuita Paroko na Kardinali lakini hakumuita mtu ambaye kikatiba anatakiwa kuchukua nchi baada yake.
Kwa nini?
She is an anti-Magufuli, that is why she is giving the green light.
Otherwise, Makamba asingeruhusiwa kusema vile. Mabeyo asingeruhusiwa kusema vile.
Hizi habari zote mbili zinamchafua Magufuli na kumuonesha Samia kama victim wa Magufuli.
Ya Makamba inamuonesha VP aliyetengwa na serikali ya...
Sasa mkuu ulitaka Mabeyo aseme "Magufuli alimtenga Samia hata kabla ya kuumwa, na alimtuma Tanga ili awe mbali na kwa Mzena wakati wanaume wanapanga mustakabali wa nchi" ?
Huwezi kuunganisha dots beef la Magufuli na Samia na kujua kuwa Magufuli alimtuma Samia Tanga kwa makusudi na wala...
Hujahakikisha, hujathibitisha, umeweka conspiracy theory.
Mwinyi was a senile man, who was never such a great constitution buff even in his heyday.
Mtu wa kupenda kuongoza nchi kama Harun Rashid kuliko kwa katiba.
Why do you think naturally he would care so much about the abstract principles...
That was Makamba talking but the message was from Samia, it got the go ahead from Samia.
There is no way Makamba is going to be so tactless to talk that smack without Samia's go ahead.
Hata Mabeyo yote anayoongea hayo yamepitishwa na Samia. Bila Samia kupitisha Mabeyo haongei hayo.
Ni mkakati...
Mkuu,
Unafikiri kweli kabisa Mwinyi kawa motivated na ulaji, na si kwamba hajaamini kikweli kabisa bila kujali ulaji kwamba Magufuli angefaa kukaa madarakani beyond term limits?
Unahakikishaje Mwinyi alikuwa motivated na career ya mwanawe na si kuamini kwa ukweli kabisa kifalsafa kwamba...
Huoni pattern ya habari kwamba VP alitengwa na Magufuli.?
Habari ambazo zilisemwa kuwa ni conjecture hivyo hivyo, mpaka Makamba alivyokuja kufunguka last week hapa wakati anamkaribisha Samia Italy?
Mabeyo kashawapa watu pa kuanzia.
Kwamba naweza kusema, kwa mujibu wa Mabeyo, VP alikuwa zake Tanga huko huku wanaume wanapanga nchi apewe nani.
That is basically a coup. Hata kama mwisho katiba ime prevail, ni kwa hisani ya wanajeshi tu, hatuku maintain principle ya "civilian control of the...
Kwani wangekuwa Dar wanapiga kazi isingeonekana wanapiga kazi?
Kwani serikali inashindwa kupanga event hata ya kizushi VP aonekane tu Dar?
Huoni kwamba hapo ilitumika ile style ya wazee, wakitaka kuongea jambo lao la faragha, wanamtuma mtoto dukani tu wapate nafasi ya kuongea vizuri?
Uchawa mwingi.
Nyerere alisema kila alivyotaka kung'atuka kuna watu walikuwa wanamuambia "Mwalimu tunakuhitaji bado".
Baadaye akawastukia kumbe wanasema vile kwa kutetea ulaji wao.
Siasa za Tanzania kwa kiasi kikubwa ni za kuangalia watu, si za kuangalia sera.
Nilisikitika sana kuona Rais Ali Hassan Mwinyi (RIP) naye kashadadia ujinga huu.
Dah,
Umenikumbusha miaka ya 1980s kuna Msukuma alitoka Mwanza huko hata Dar hajawahi kufika alikuwa anachujua ndege kwenda Copenhagen kucheza ngoma, alikuwa hana sehemu ya kufikia Dar akafikia kwetu.
Kwa hivyo naweza kujubali maneno yako.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.