Search results

  1. K

    Kipindi cha michezo radio E-Fm kiitwacho Sports Head Quarters kinakera

    Hiki kipindi kinakera kiko kishabiki sana. Mimi mtu wa simba siwezi kukisikiliza pia Radio ya Times Fm nayo vile vile. Wachambuzi wetu wa soka wako kishabiki sana hawatupi upembuzi wa kimsingi kama wa ulaya. Sijui elimu au unazi
  2. K

    Msigwa umechemka kumsifia Kikwete

    Hivi upinzani msimamo wao ni upi? Kuanza kumkumbuka Kikwete mapema hivi ni kujichimbia kaburi. Msigwa kuanza kumsifia Kikwete bungeni inanipa picha kuwa upinzani unakufa mbele ya Magufuli. Mnashindwa kujenga hoja, mangapi Kikwete mlimsema leo tena mnamkumbuka. Upinzani ovyo kabisa hamna...
  3. K

    Walimu wote wa dsm leo wanahahakikiwa mnazi

    Walimu wote dsm leo full kuhakikiwa mnazi mmoja s/m hakuna mchezo watumishi hewa waishe kabisa. Fika uhakikiwe kama ni mwl wa s/m
  4. K

    UKAWA shughulikieni foleni DSM

    Wanaukawa tunawategemea sana kutuondolea kero za foleni hapa mjini. Nyinyi sasa mna jiji mkishirikiana vizr na SERIKALI tutasema asante. Msilale amkeni amkeni komaeni foleni zitaondoka njia za ndani ndani zikitengenezwa
  5. K

    Maji ya mvua ni salama kwa kunywa?

    Wanageo science na wabobezi wa geography na yeyote mwenye elimu ya afya kuhusu maji ya mvua ni salama ukiyanywa bila kuchemshwa. Naomba ushauri nimekuwa nikiyakusanya kwenye matank hapa kwangu na kuyatumia kunywa na kazi zingine. Je maji ya mvua bila kuchemshwa ni salama? Nawakilisha
  6. K

    Dawa ya mtoto wa kiume, akue na uume mrefu

    Ndugu wana JF, Kuna maarifa ambayo yakitumika yatasaidia watoto wetu wa kiume kuepuka aibu ya ndoa zao ukubwani. Hii nimeipata uarabuni na umasaini. 1. Mtoto wa kiume akizaliwa baada ya miezi kadhaa hufanyiwa tohara. 2. Ukitaka mtoto wako aje awe na uume mrefu utakaokoa ndoa yake ukubwani...
  7. K

    Serikali iiangalie Shule ya Sekondari Njombe

    Tunaiomba serikali imuangalie mkuu wa shule ya njombe. Hii shule imekuwa na tatizo la walimu kutokuingia darasani huu mwezi wa tatu sasa wanafunzi muda mwingi wako shamba. Tunaiomba TAMISEMI itusaidie sisi wazazi na walezi vijana wanalalamika kuwa mwalimu mkuu hajali kabisa kuhusu wanafunzi...
  8. K

    Serikali ilitazame upya suala la bomoabomoa

    Serikali hii yenyewe ndio ilijisahau kuhusu bomoa bomoa kwa sababu kama watu waliachwa wakajenga halafu serikali hii hii inapeleka umeme, maji kwenye maeneo ambayo wananchi wamejenga maeneo hayaruhusiwi. Sasa ifike wakati serikali ipime maeneo yote kuokoa hii lawama na watu kuanza kuona...
  9. K

    Naweza kusafiri na IST kutoka Dar mpaka Musoma?

    Habari wanajamvi napenda kuuliza naweza kusafiri na gari aina ya ist kutoka dsm mpaka mza then kesho yake musoma. Nimewahi kusafiri kwenda morogoro, kilombero, tanga na moshi. Ndio safari zangu za mbali hizi nikiwa na ist. Asante.
  10. K

    Wabunge wote wa upinzani pigeni mzigo kwenye majimbo

    Wapinzani huu muda ni wakafanya vikao vya kuhakikisha tuna meya miji ambayo tuna madiwani wengi na kufanya kazi. Kuna barabara za ndani ndani hazipitiki kabisa hapa DSM sasa fanyeni kazi na wananchi. Muige mfano wa FILIKUNJOMBE
  11. K

    Jogging barabarani ni hatari

    Serikali izuie vijana kukimbia barabarani asubuhi siku ya jumapili ni hatari kiusalama endapo gari ikakosa break ni hatari kwao. Tuiombe tu serikali ifanyie kazi hili maana makundi yanazidi kuongezeka kila kukicha na kusababisha usumbufu barabarani. Kwanini wasiende viwanja vya wazi vipo vingi...
  12. K

    Ukawa amkeni

    Ukawa inaonekana mko usingizini. Kuna tuhuma nyingi zinarushwa na wapinzani wenu inabd mzisawazishe kupitia.media. mfano suala alilosema el siku ya uzinduzi pale jangwani kuhusu kusamehe watu ambao wako.kisheria, pili mammbo ya propaganda za kuonekana ni mgombea mwenye tatizo kama anavyosemwa...
  13. K

    Haya wanayoyafanya ccm

    Kumbe rushwa ni mbaya huwa wanajua kuwa rushwa sio nzuri mbona wanamabaya mengi kuliko lowasa. Kama wanavyofanya lowasa naye afunguke tu tusikie mengi mbona hafunguki
  14. K

    Chadema cuf nld na nccr - ukawa

    WASIWASI ni kwamba hawa wanaowapokea kila kukicha je wengine sio wachota siri. Je inaonekana wanakiteka chama na jumuiya yenyewe...Chukueni tahadhri kwa hili. Lakini pi je vyombo vya habari vimeogopa kureport taarifa zenu....tunaona TV zimeogopa toeni tamko.
  15. K

    Hatuna umeme siku tano

    Huku Majohe, Ukonga, Kipunguni, Chanika, Gongo la mboto, Pugu, Kisarawe na maeneo yote ya Gongo la Mboto hatuna umeme leo siku ya tano. Hatukumbuki kabisa, imebidi nihame kwa muda maana kazi zangu zinategemea umeme. Swali la kujiuliza huku hatuna maji ya dawasco tunavuta chini kutumia mashine...
  16. K

    Zilipo ofisi za Mfuko wa Pembejeo

    Naomba kujua zilipo ofisi za mfuko wa pembejeo....
  17. K

    Nataka kutoa Thermostat kwenye gari, naomba ushari wenu

    Habari wanaJF, Naomba kujua kuna faida ipi na hasara ipi ukitoa thermostat kwenye gari yako hasa ikiwa iko maeneo ya Pwani. Maana kuna fundi alinishauri nitoe kutoka na hali ya joto kwa mikoa ya pwani. Nashukuru.
  18. K

    Ushauri: Vituo vya polisi viwekewe kamera na vizungushiwe Uzio (Fence) ili kunusuru askari wetu

    Mimi binafsi nafikiri kuna haja ya kuweka camera kwenye vituo vikubwa na vyenye silaha nyingi na hadhi ili kujilinda na hali ya sasa ya dunia. Pia kuzungushia hata fence ya nondo na kuweka geti moja la kuingilia ambalo kutakuwa na mlinzi wa kukagua kila anyeingia hapo kituoni. Hili ni jambo jema...
  19. K

    Maegesho ya gari kwenye maonesho ya Sabasaba ni 10,000/=

    Ukienda SABASABA jipange na hela ya parking!! This season charge ni 10,000/= Jana nimelipia 10,000 kama huna cha kwenda kubeba better ukaacha gari hata huku TAIFA kuepusha usumbufu. Parking ni issue
  20. K

    CHADEMA vunjeni UKAWA

    Kama kweli tunataka mabadiliko UKAWA ivunjwe tu kwa sababu zifuatazo:- 1. Kuna baadhi ya majimbo CHADEMA walikuwa na nafasi 2010 lakini leo wamewapa CUF na NCCR Mageuzi. i) Segerea - Mpendazoe alikosa kiduchu tu ii) Tarime - CHADEMA ina nguvu iii) Serengeti - CHADEMA ina nguvu... na maeneo...
Back
Top Bottom