Search results

  1. T

    Sakata la Gwajima: Serikali inapoamua kukumaliza

    Hatuwezi kuwa ni nchi ya watu wote waoga. Watumishi wa Umma waoga; wanasiasa waoga; wananchi waoga! Viongozi wa dini waoga!!!! Haiwezekani.. Mungu hawezi kuruhusu. Lazima ainue kinywa chenye ukali kitakachoweza kusema!!! Itakuwa unafiki na uongo wa hali ya juu kusema Gwajima ana siasa za...
  2. T

    Dr. Slaa amtembelea Gwajima TMJ hospital

    Dr Slaa amtembelea Askofu Gwajima mchana wa leo 30/3/2015 hospitalini TMJ. Viongozi mbalimbali wa kisiasa wameendelea kumtembelea askofu Gwajima aliyelazwa hospitalini TMJ Baada ya kuzimia akiwa anahojiwa na Polisi. Mchana wa leo Mwenyekiti wa chama cha CUF prof Ibrahimu Lipumba alimtembelea...
  3. T

    Lipumba Amtembelea Askofu Gwajima

    Profesa Ibrahim Lipumba,mchana wa Leo tarehe 30/03/2015, amemtembelea Askofu Josephat Gwajima aliyelazwa TMJ Hospital. Amefurahi kuona hali yake inazidi kuimarika na ameshatoka kwenye wodi ya wagonjwa mahututi,(ICU).
  4. T

    Lowassa azindua Helikopta ya Kanisa la Ufufuo na Uzima kwa ajili ya Injili

    Imezinduliwa Lifti Mbeya ndio ije kuwa helikopta boss? Acha wamtukuze Mungu.
  5. T

    Lowassa azindua Helikopta ya Kanisa la Ufufuo na Uzima kwa ajili ya Injili

    Daaaaaaah.. Leo naona kawe hapatoshi. Gwajima hongera sana...
  6. T

    Lowassa kuizindua Helcopta ya Ufufuo na Uzima

    Lowassa amewasili hapo Kawe....naye kala shavu...makofi kibao nini...tehe tehe
  7. T

    Lowassa azindua Helikopta ya Kanisa la Ufufuo na Uzima kwa ajili ya Injili

    Daaaaaaah mkuu. Tuna ushahidi lakini? Tujifunze kufurahia mafanikio ya watu...
  8. T

    Lowassa azindua Helikopta ya Kanisa la Ufufuo na Uzima kwa ajili ya Injili

    Daaaaaah....unayo bosi?? waache wamshukuru Mungu kwa hako kadogo.
  9. T

    Lowassa azindua Helikopta ya Kanisa la Ufufuo na Uzima kwa ajili ya Injili

    Inazinduliwa leo my friend. Ukipita leo.hapo Kawe hapatoshi... Anazindua Lowassa. what a move aiseeeee.
  10. T

    Lowassa azindua Helikopta ya Kanisa la Ufufuo na Uzima kwa ajili ya Injili

    Leo Kawe kumependeza naona!! si mchezo..kiukweli katika watu ambao SI maneno matupu ni huyu Gwajima. akiahidi analitimiza!
  11. T

    Waziri mkuu Pinda kuzindua chopper ya Gwajima

    Naamini anaizindua Lowassa???siyo?
  12. T

    Lowassa azindua Helikopta ya Kanisa la Ufufuo na Uzima kwa ajili ya Injili

    Waimbaji ni wengi. Ametoka kuimba Flora Mbasha na Boniface Mwaitege... Atakuwepo John Lissu pia..
  13. T

    Lowassa kuizindua Helcopta ya Ufufuo na Uzima

    AISEEE....UFUFUO NA UZIMA Wamejipanga mno!!!! Kila kanisa lina mipango yake na vipaumbele..Kwakweli Mungu awabariki.....sanaaaaaa. Mmetisha..
  14. T

    Chopa na gwajima

    Fanya upae. Mh. Lowassa anafika punde. Helicopter imeshatua. kweli Gwajima katisha! Mungu azidi kumuinua.......
  15. T

    Lowassa azindua Helikopta ya Kanisa la Ufufuo na Uzima kwa ajili ya Injili

    Mheshimiwa Edward Lowassa leo anazindua helicopter ya Mchungaji Josephat Gwajima wa Ufufuo na Uzima; Kawe itakayotumika kueneza Injili Tanzania nzima na kusaidia katika shughuli mbalimbali za kikanisa. Fuatilia kwa habari zaidi.
  16. T

    Tume ya jaji Warioba kuunguruma tena tarehe 2 Novemba, Blue Pearl

    Itaendelea kuitwa hivyo katika historia. Ndio maana bado kuna Tume ya Nyalali; Tume ya Kisanga.(in making reference)
Back
Top Bottom