Search results

  1. Monsignor

    Dr. Slaa: Kikwete mmiliki wa DOWANS...

    Kama Kawaida yake Salva Rweyemamu ameamua kujipaka kinyesi kwa kujibu kijuha tuhuma za Dr Slaa. Huyu inatikiwa aanzishiwa thread yake ili watu wamchambue kisawasawa
  2. Monsignor

    DOWANS (BEHIND THE SHADOWS): What you were not supposed to know...!

    Either you are outright dumb or plain stupid. Umeng'ang'ana kutoa link hiyo ambayo haionyeshi majina ya wamiliki.
  3. Monsignor

    CCM wamebana wameachia KIGOMA..!

    Simpo, chuki binafsi
  4. Monsignor

    Hotuba ya rais Kikwete ya kufunga mwaka 2010

    Shwain weye. Rudi huko pangoni ulikokuwa,. mtu mzima ovyo!
  5. Monsignor

    Leonardo took Inter Milan job after advice from Mourinho

    Wakati akikipiga sawa lakini kama mwalimu, hapo Inter wameingia choo cha kike kama kwa Benitez. Aliteteresha sana AC milano huyu.
  6. Monsignor

    Balozi Maajar and REX Attorneys

    hujaangalia vizuri wote wamo humo. Nguluma, Sinare, Majaar Rwechungura. Kuna pia sina hakika mwenyekiti mstaafu wa CHADEMA Makani(labda ni jina tu) ila kama ni yeye anatakiwa atoe maelezo ya kina.
  7. Monsignor

    DOWANS yaibwaga TANESCO; TZ kulipa gharama na adhabu Bil. 185!

    Duh, kumbe samutaimuzi mkuu huwa una uchungu wa dhati. Nadhani hapa inatakiwa WTZ tushitaki watu au mob justice ifanye kazi. Tunaweza kabisa kuchangisha pesa halafu tukapata watu kutoka MOSSAD wakatuondola kansa hizi. Kuna mijitu inadhani itaishi milele.
  8. Monsignor

    Benitez Sacked

    U got it twisted brother. Unapewa muda kama unaanza toka kwenye ovyo siyo timu umeikuta vema unaingia na gea y ku-rotate wachezaji. wamejifunza huyo alitakiwa hata asichkuliwe tangia mwanzo
  9. Monsignor

    Elections 2010 Andengenye ni kuwadi.

    Bita ni bita mura. There is no such thing as a good fight, otherwise that will be a sport like boxing where u can't hit below the belt
  10. Monsignor

    Simba Sports Club (Wekundu wa Msimbazi) | Special thread

    Umesahau wakati wa enzi za marhum Rashid Ngozoma Mafruit alipopitisha mchango wa maharage kuchangia kambi ya Yebo yebo huh?
  11. Monsignor

    Who is IGP Mwema? CV Please!

    Huyu naye sijui kakurupuka kutoka pango gani. Hakuna sehemu hiyo post uliyonukuu imetaja mahusiano ya kazi na kupendelewa. Acha hijabu nyumbani wakati mwingine ili uone vema
  12. Monsignor

    African union why not remove Gbagbo by force?

    Well said brother. All African rulers are as guilty as Gbagbo. It will be the story of baboon laughing At the ass for another baboon. This is Africa more than we know it.
  13. Monsignor

    African union why not remove Gbagbo by force?

    Well said brother. All African rulers are as guilty as Gbagbo. It will be the story of baboon laughing At the ass for another baboon. This is Africa more than we know it.
  14. Monsignor

    Utata mtupu!

    Kibs. mara mojamoja acha kufikiria kisisiemu sisiemu. hapo hakuna utata wowote kwanza Jaji mkuu ni nje ya mhimili ulioomba ajitoe. Pili ni kawaida upande mmoja usipokuwa na imani na refa huomba ajiondoe mradi kuwe na sabau zenye nguvu kisheria. Mifano ipo ambapo serikali ilishawahi kufanya hivyo...
  15. Monsignor

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    tatizo hatuna utaratibu wa kufukuza makocha. Huyu alitakiwa apitilizie huko huko. Nilimwangalia alivyokuwa kakaa kwenye benchi utafikiri timu inaongoza kwa magoli nane.
  16. Monsignor

    The Zitto saga: Vyombo vya habari vinaiua CHADEMA?

    Mkuu kujipanga gani unakotaka wewe? Wameongeza idadi ya wabunge, wameongeza halmashauri za wilaya kwako hayo ni kidogo? Halafu mchango wako kwao nini mpaka uone kuwa hawajajipanga? Kwa mazingira na raslimali wamefana walichoweza wasikatishwe tamaa na watu wanaotaka (kama wanataka) mabadiliko...
  17. Monsignor

    The Zitto saga: Vyombo vya habari vinaiua CHADEMA?

    Ninachoona hapa ni kuwa wakati mwingine unamponda lakini ukitoka hapo manaenda kupongezana kwa kujaribu kuchanganya watu. Ni hiari yako hata ukitaka kumsifia Zito kwa kila kitu (kitu ambacho unafanya) Haiingii akilini kila jambo la Zito ni zuri isipokuwa tu kuhusiana na JK. kali kabisa ni...
  18. Monsignor

    Gazeti la Freeman Mbowe latumika kumsafisha LOWASSA

    Hii ndio huitwa Hekima. Nimesoma kilichopositiwa na kichwa cha uzi nikakosa mnyumbuliko. Nikasoma maoni yote sioni wakinisaidia kuonyesha huo usafishaji. Mwandishi kupata habari ya upande wa pili imekuwa kusafisha mwe! Halafu ndio watu hapa kila siku hupiga kelele tunataka upande wa pili' Watu...
  19. Monsignor

    Muasisi wa CHADEMA atofautiana na Wabunge wa CHADEMA

    Mmmmh! Zito na Ndesamburo walitoka hawakutoka ukumbini? Acha kuwatukana wabunge wa CHADEMA kuwa hawana maamuzi yao wenyewe.
Back
Top Bottom