Search results

  1. Bengazuu

    Changamkia fursa mpya ewe mwanajf

    Nahitaji kitanda cha kawaida kinisogezee siku mjini dar wanajukwaa Offer yangu ni 60k NB: NIPO TAYARI KUSIKILIZA OFFER YAKO Mawasiliano: PM for a serious seller
  2. Bengazuu

    INAUZWA Tecno w5 lite

    Simu mupyaaaa kabisa ina week tu ni Tecno w5 kwa bei ya sawa na bureeeee nipe 200k tu nakuachia au Kama kuna mtu ana Tecno w3 basi tubadilishane aniongezee mkwanja nimepata ka-emegerncy kidogo Mawasiliano: PM Location: dar
  3. Bengazuu

    Itel 1501

    Msaada itel 1501 imegoma kusoma mafaili pdf , picha nikipiga haionekani kwenye gallery, video Niki download haziingii kwenye gallery na hazioneshi.
  4. Bengazuu

    Msaada kuhusu bluestacky

    naomba msaada nimedownlad bluestack lakin kila nikiinstall inasema local disc c haina space je? nitumia njia gani wakuu ama kama kuna njia nyingine ya kutumia whatsapp kupitia pc
  5. Bengazuu

    Msaada: Mtoto mchanga wa mwezi mmoja hajawahi kulia

    Mtoto anakaribia kufikisha mwezi toka azaliwe lakini hajawahi hata kulia wala kusema. Nini tatizo? Tumejaribu hosptali nyingi wanasema hana tatizo! Msaada.
  6. Bengazuu

    Uchangishaji wa pesa mashuleni

    Wakuu naomba kuuliza hili swala la uchangishaji wa pesa mashuleni maana kuna shule ipo mkoani iringa "malangali boys secondary school" sijaelewa lengo la mkuu wa shule hiyo kuwalazimisha wadogo zetu kulipa gharama za umeme kwa kila mwanafunzi tsh 30, 000 na huo umeme kwa maelezo yake alikua...
  7. Bengazuu

    Naweza kuweka signature kwenye whatsapp?

    Wakuu msaada je? Nawezaje kuweka whatsapp signature ili kila nikituma sms chini itokee hiyo signature, nawasilisha!
  8. Bengazuu

    Hadithi: Mtumwa wa ngono

    Wakuu msaada hii hadithi nilikua naifatilia hapa lakini siku hizi kila nikingia jukwaani siioni naomba kwa anayejua anielekeze ilipo maana tamu sanaaaa
  9. Bengazuu

    Internet connection lost

    Msaada toka wiki iliyopita kila nikiingia internet kwa laptop inagoma kabsa sielewi tatizo nini inaandika" connection lost remain offline"
  10. Bengazuu

    Game pc

    Msaada natumia laptop dell lakin kila nikiinstall game zinagoma zinasema " window unsupported"
  11. Bengazuu

    Msaada: Android app ya kusave kurasa za internet

    Naomba mnielekeze application kwa simu ya android ambayo nikiwa nasoma kitu online naweza save kwenye hiyo application.
  12. Bengazuu

    Tcu

    wakuu msaada nataka niedit faculty fulan ambayo ilikua chagua la 5 nataka iwe chagua la 1 nifanyaje ??
  13. Bengazuu

    tecno 728

    naomba kuuliza jinsi ya kuunganisha internet simu aina ya tecno 728 pia kama ina uwezo wa kuangalia video online kama kupitia youtube
  14. Bengazuu

    Wajuzi wa lugha wanisaidie

    nilikua nauliza swali lifuatalo "umahiri wa lugha haushabihiani" jadili
  15. Bengazuu

    Anayesomea kilimo

    hivi mtu anayesomea kilimo ngazi ya stashahada huwa anaajiriwa na serikali au la?
  16. Bengazuu

    JKT kidato cha 6

    Kuna tetesi kuwa majina ya shule zinazoenda jkt mwezi juni yametoka,tujuzane wana jamvi maana tumbo joto.
  17. Bengazuu

    Necta 2015 kidato cha 6

    ndani ya mwezi huu watu wanasema sana juu ya vijana wa kidato cha 6 kufanya mtihani mwezi wa pili,je'kuna ukweli hapo?msaada
  18. Bengazuu

    hivi kwa matokeo haya jaman

    kuna uwezekano wa wanafunzi waliopata daraja la 3 kuingia kidato cha 5 au itakuaje ,
  19. Bengazuu

    hivi ni kweli au la?

    hivi wanajamvi ni kweli kua madalaja ya ufaulu kwa o-level na a-level yameongezwa
  20. Bengazuu

    Natafuta marafiki

    huwa napenda sana marafiki wa kike hivyo kwa aliye tayari ani follow at bengazuu@gmail.com but ni vizuri wakiwa under 20 years
Back
Top Bottom