Search results

  1. M

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    mkuu tpaul,inawezekana kulikuwa na shida hiyo jmos.mimi nilbet jmos online ya premierbetting na zote zimetoa but sasa hawajaingia kwenye account yang.hakuna njia ya kufanya nao mawasiliano zaidi ya kutumia email eg through simu
  2. M

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mkuu ulifanikiwa tatizo.na mimi niliweka jumamos na zote zilitoa but mpaka sasahv hawajaweka hela kwenye account yangu.niliwatumia email hakuna feedback yoyote
  3. M

    Rais Magufuli amteua Prof. Kitila A. Mkumbo kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji na Umwagiliaji

    atajitetea kuwa mnasema hashauriki kumbe mda mwingine anashaurika a
  4. M

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    mkuu nafikir utakuwa na mkwanja sana kama utabir wenu huko hvyo.........................hahahahahaha!
  5. M

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    wako sahihi mkuu,si walitoka 1-1 first half ishakuwa over hiyo ,si
  6. M

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    kasimpasa huesca sassuolo platanians nacional elche waasland beveren boavista swansea city ALL TO WIN pl
  7. M

    Madawa ya Kulevya: Sasa Paul Makonda na Kamanda Sirro tunawapima kwa kumgusa Mtoto wa Rais na Daudi Kanyau

    hivi jaman kwa akili ya kawaida isiyoitaji Phd,unamwambia mtu kesho ajisalimishe polisi then baada ya kujisalimisha unaenda kumpekua nyumban kwake ata kama ana kithibitisho cha kosa lenyewe si anakiondoa mapema.huu ni zaidi ya usanii tunaofanyiwa watanzania.
  8. M

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mkuu usikate tamaa,hiyo imenikumbusha kuna siku atlectico madrid nilimpa double chance akafungwa na las palmas tena ndani ya dk mbili magoli mawili daa akaninyim 400k
  9. M

    Na hii nayo ni chuma ulete,wizi wa kisayansi au...!!!?

    duuu!hali nguvu ya maisha ,binadamu anabuni kila njia ili kutatua matatizo yake
  10. M

    Tunisia attack on Sousse beach 'kills 39'

    So sad! ila huyo jamaa wa wales aliyemwekea mchumba ngao ili kumlinda alifanya kitendo na kishujaa na mapenzi ya kweli,ingekuwa kwetu huku bara la giza kwa jinsi tulivyojaa ubinafsi nadhani ingekuwa kinyume chake jamaa angepoma na demu akafa
  11. M

    Muonekano wa Viatu aina ya Buti (Made in Magereza, Tanzania)

    Mbona wanatengeza hata viatu vya kawaida,na jamaa wako smart sana viatu vyao ni pure ngozi unaweza kukitumia mpaka ukakizira
  12. M

    100k, 250k....

    Hao wanao mponda mtoa mada ndo hesabu imewapitia kushoto kabisa
  13. M

    100k, 250k....

    Hili ndo linaweza kuwa jibu sahihi kabisa
  14. M

    100k, 250k....

    Hata mimi nimejiulza kitu kama hicho,hesabu za wapi hzo za metrics unacompare kitu kimoja kina units kingine hakina.hakuna uwiano hapo
  15. M

    Mbeya kuna nini leo? JWTZ watanda mji mzima

    waambie mkuu. kwanini uwe na wasiwasi kama wewe ni raia mwema
  16. M

    Mbeya kuna nini leo? JWTZ watanda mji mzima

    Mazoezi ya kijeshi yanafanyika kulingana na wakati stahki.tukio kubwa lililo mbele yetu ni uchaguzi.nchi nyingi zimeingia kwenye machafuko kupitia chaguzi zao.sio ubaya wa jeshi kujiwekea utayari
Back
Top Bottom