Search results

  1. ANTHONY KWEKA

    Naomba ushauri kuhusu matokeo haya

    IT COMMUNITY DEVELOPMENT RECORD MANAGEMENT LOCAL GOVERENT VETA
  2. ANTHONY KWEKA

    Sasa kaka, mtanipeleka wapi au ndio basi tena?

    Katika halii hii huwa tunaangalia Content zaidi ya style of deliver
  3. ANTHONY KWEKA

    Sasa kaka, mtanipeleka wapi au ndio basi tena?

    Anawezaa kusoka kama PC kwa maana hana comb iliyobalance. Kama uko Arusha nikueleze center One year mwakani anachapa paper na kuzama Degree mazima mwakani
  4. ANTHONY KWEKA

    Mwaka huu nimeamua kurudi shule, ushauri wenu ni muhimu

    Soma Bachelor of Education in policy and Management (Out)
  5. ANTHONY KWEKA

    Mwaka huu nimeamua kurudi shule, ushauri wenu ni muhimu

    Soma 1.. Bachelor of Education in Adult Education and Community Development (Bed Adult).(Udsm) 2... Bachelor of Education in Policy Planing and Management (Bed PPM). (Udom) 2.. Bachelor of Education in Psychology (Udsm)
  6. ANTHONY KWEKA

    Naomba kujuzwa tofauti ya Kisimbuzi cha Azam cha Antena na Dish

    Kisimbuzi cha Dish hupokea mawasiliano kwa njia ya Satelite.... popote ukiset vema mambo yanakuwa safi. Kisimbuzi cha Antena hupokea mawasiliano kwa njia ya territrial na signal zake huwa zinapotea kadiri unavyokuwa mbali na mnara wao.... hivyo yawezekana kuwa sehem na isionyeshe kabisa au...
  7. ANTHONY KWEKA

    Naomba kujuzwa vigezo vya kusomea course ya IT

    Form Four lazima kuwa na atleast D ziwe 4 asome Certificate. Form Six lazima awe na atleast E,S kusoma Diploma Form Six lazima uwe na atleast 2 principle point 4.0 ili kusoma Bachelor Degree. Ambapo A=5 B=4 C=3 D=2 E=1 S=0.5
  8. ANTHONY KWEKA

    Swali linalonisumbua sana kichwani

    Storage ya inatosha kwa uwezo wa simu kwa kigezo 1... RAM 2... Processor 3... Battery life span Hivyo Lengo kuu ni kuhakikisha performance haitaathiriwa kwa extenal storing za multmedia.
  9. ANTHONY KWEKA

    Elimu

    Unaruhusiwaaa kurudia.... Jiaandikiashe mwakani..... mapemaaa 2022 upigee paper
  10. ANTHONY KWEKA

    msaada kuhusu course ya IT na IS

    Malengo yako, ndio yatasema wapu Patam
  11. ANTHONY KWEKA

    Naomba kueleweshwa/kujuzwa juu ya hili

    Semester One field ya wapi?
Back
Top Bottom