Tanzania ina watu misukule mingi sana.
Yaani hivi vyama vinaacha kukomalia mambo ya maana,wao wanajishugulisha na ujinga
Angalia: Mfumuko wa bei ulivyo hakuna anayetangaza kuandamana, ripoti ya mkaguzi wa Hesabu,tozo n.k
Halafu eti Waziri ajiuzuru kisa alipata ajali,waache kuingilia personal...
Wabunge wapo bungeni,
Hakuna anayegusia mfumuko wa bei seriously. Jana nimeshangaa sana kuna ndg yangu ametoka Masasi kwenda Dar nauli 28000/= kutoka 18000-22000 /= hii ni hatari sana.
Wabunge wetu wekeni thamani ya ubunge wenu.
Hakuna amani ya moyo katika maisha ya sasa.
Wajinga ndio waliwao. Werevu hawakumpa uzito. Umeshasema Jasusi mbobevu,sasa unashangaa nini kilichotokea. Wapinzani wawe na akili sasa. Sio kila MTU anaweza tu kuwa mpinzani.
Ungekuwa wewe uulizwe kuchapwa viboko na kwenda jela unachagua nini? Ungesemaje,huoni kwamba kuchapwa viboko wamesaidiwa? Kwanini ukaanze kusumbua polisi na mahakama wakati unaweza ukawapa adhabu hapo hapo.
Sasa unasoma madrasa halafu upewe ukurugenzi?? Akili matope hiyo.
Waislamu wasipoishukuru serikali ya CCM hapo hata mungu ataendelea kuwapiga kofi,yaani Mzee Mkapa aliwapa chuo kikuu Morogoro pale na wanasoma waislamu tu,bado mnasema mnabaguliwa?
Taja chuo gani wakristo wamepewa zaidi ya vyuo...
Hujui watu wewe kaa kimya
Watu wapo kazini
Unadhani alikuwa CDM huyu, ndio makosa mnafanya CDM
Watu wapo kazini,endeleeni kuvamia watu,nchi hii ilijengwa na Nyerere.
Period
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.