Search results

  1. the american dream

    Nay wa Mitego comments kuhusu Nick Mbishi

    I quote "Mimi naona amefikiri na amechukua uamuzi sahihi kwa sababu simuoni anachofanya namuona kama msindikizaji tuu. Na aende akatafute kitu cha maana cha kufanya na sio kulelewa na wanawake/kuolewa na wanawake. Na kama atashindwa kupata kitu cha maana cha kufanya aje kwangu nitamshauri...
  2. the american dream

    Jimmy Kabwe na Abby wa Choice FM

    Since way back sikuwa napenda kusikiliza Clouds FM kwa sababu ya style yao ya uongeaji hasa Adam Mchomvu, B12 na wengineo, so nikawa a big fun of Choice FM always nawasikiliza, ila kuna watu wawili wanaboa sana kwenye kipindi cha mchana baada ya kipindi cha The fix, I mean Abby na Jimmy kabwe...
  3. the american dream

    Mwanaume unatawaliwa na mkeo

    Ukitaka mwanamke akuheshimu jaribu kumpiga kwa vitendo sio mateke na mangumi. Mf:Kama unaona ana tabia ya kuongea kwa kelele mno hata kwa vitu vya kueleweshana na kutakana radhi ondoka nenda kalale hata lodge halafu rudi asubuhi jiandae nenda kazini kama akiendelea na wewe hamishia makazi lodge...
  4. the american dream

    Nishaurini jamani, Nimezaa watoto watatu kwa wanaume wawili.

    Very interesting....................
  5. the american dream

    Biashara ya taxi naomba ushauri

    Wakuu za mchana!Nilikuwa naomba ushauri kuhusu biashara ya taxi hapa downtown, Kodi zake,rehabilitation,hesabu kwa wiki na je inalipa naomba msaada wenu!
  6. the american dream

    Kukuza ladies bu.ttocs kiasili naomba msaada wajameni

    Kuna siku humu MMU kuna mtu(i dont remember her/him) alisema kuna natural ways za kukuza makalio ya kinadada nimehangaika kumtafuta kwenye post za kitambo mpaka nimechoka but i dont think kama anajua peke yake hiyo issue nahisi kuna wengine pia wanaweza wakanisaidia nahitaji sana kujua na nina...
  7. the american dream

    Embu jitafute halafu nipe jibu kama nimepatia au am wrong

    This is my first thread kupost jf taingia nijiunge,and am very happy to do this manake kwa kuchangia za watu cjambo.Mimi ni mkereketwa sana wa psychology hasa social kwa hiyo napenda sana kujifunza behaviours and attitudes za watu mbalimbali kwa vigezo mbalimbali hapa leo nawaletea miezi ya watu...
Back
Top Bottom