Search results

  1. L

    Nashangazwa na tabia ya Dr. Mengi ya kuwaita walemavu kila mwaka

    Wabongo mnaboa sana ,mnapenda kutoa madomo yenu kila mahali wewe ulitaka awafungulie account kila mlemavu,mbona juzi yule mdada aliyeokotwa kibamba mmemuanika uchi mpaka kumuingiza kwenye gari mbona hamkulalamika afunikwe hata kanga au hata afunikwe kwa magazeti kama hakuna kanga.mchuuuuuuu
  2. L

    Msaada: Mashine za matofali ya perving

    Wajenzi, naweza wapi kupata mashine ya kutengenezea perving? Je! Ni rahisi kununua kiwandani au kutengeneza mwenyewe? Natanguliza shukrani.
  3. L

    Wa Tz Tutakufa Maskini Kwa Kimbilia Kuchimbia Pesa (Kujenga) Badala ya Kuizungusha Izae Zaidi

    sasa wewe uliyeanza na mil.5 kwahiyo sasa unazo mia moja au? Na pia aliyenunua viwanja vyake 2 Tegeta mwaka 1990 wataka kuniambia kwa sasa anaweza kukinunua au angeshindwa kabisa ?na watu wote Dar hawawezi kujenga O.Bay.Usijekuwa kama watu flani wanafika ulaya na kuwauliza wengine kwanini...
  4. L

    Kuweka umeme nisaidieni.

    nyumba yangu ipo Tegeta nataka kuweka umeme wa Tanesco natakiwa kuweka nguzo 2 na kununua Ground cable anayejua gharama zake tafadhali anijuze .
  5. L

    Viwanja vya bei nafuu

    Bunju hakuna kiwanja cha mil.5 asikudanganye mtu
  6. L

    Mnaotoka Mombo, Lushoto-hili tunda linaitwaje?

    Kwakifupi linaitwa Tunda nyota.
  7. L

    Viwanja na mashamba yanauzwa

    usikufuru.mwenye pesa asiye nazo wote njia moja na ndio maana mungun kaumba warefu na wafupi.
  8. L

    Kukosa ustaarabu!

    Jamani hapa ni wapi?
  9. L

    Kwa wahasibu wetu: Nyumba ni 'Asset' au 'Liability'?

    Mtanganyika mimi nipo kwenye avatar yako mbona kama hii sehemu nishapita hapo?samahani kwa kuwa nje ya topic
  10. L

    Water tanks na kutengeneza kisima

    Buguruni sehemu gani,manake Buguruni kubwa
  11. L

    Water tanks na kutengeneza kisima

    Ndugu yangu ungesema hilo mapema nisingeuliza mara 2,Buguruni sehemu gani na hiyo ya lita 5000 wanauzaje?
  12. L

    Nataka kuweka umeme wa jua SOLA

    Wakuu karibuni 1 kampuni gani ni mabingwa wa kuweka umeme wa jua na kwa bei nzuri .2 Nahitaji taa 15,tv,redio na friji hii itagharimu sh ngapi?
  13. L

    Water tanks na kutengeneza kisima

    Wakuu nashukuru kwa michango yenu.
  14. L

    Water tanks na kutengeneza kisima

    Ningependa kufahamu bei ya poly tank.tafadhali lita 5000.na lita 10000
  15. L

    Water tanks na kutengeneza kisima

    Wakuu salaamaleikum.Naomba msaada wa hili.kwa wanaokaa Dar mwenye uzoefu atusaidie kipi nafuu Kutengeneza kisima cha maji au kununua Water tanks.Karibuni
  16. L

    Makazi haya ni salama?

    Msishangae Ulaya pia majobles wengi wanakaa chini ya madaraja
  17. L

    Oneni huyu mzungu anavyoichafua Tanzania.Hii ni email aliyomwandikia mwenzake

    Jamani tuseme tu ukweli Bongo wanaiba Airport, wanaiba mahotelini ila tukubali tu waswahili ukweli ukiwekwa wazi hatupendi haka ni kakasoro ketu.Pili kwa upande wa lugha kuongea pia kiswahili sio kuwa kila mtu anakijua hasa kwenye uandishi na hii nimeona ni kwa kila lugha wengi wanakosea kama...
  18. L

    Natafuta mkopo wa 5 Millioni, riba 1million baada ya miezi miwili

    Sema kabisa ndani ya miezi 2 usiporudisha mil.5 kila mwezi unaozidi ni laki 5 unanilipa ,Unasemaje?tena tunawekeana saini ,shahidi mmoja awe polis,niko tayari
  19. L

    Msaada unahitajika

    mimi napiga boksi zangu ughaibuni,nataka kupata mkopo kama milioni 30 nina nyumba dar ninauwezo wa kulipa milioni moja kila mwezi licha ya kuweka nyumba.na kama kuna mwenzangu aliyeko ughaibuni keshafanikiwa kwa jia ya kupata mkopo nyumbani ,karibuni jamvini.
  20. L

    Laptop Needed

    ninazo laptop 2 mija ni Acer.Aspire 7551G,320 GB HDD,4GB Rom,17zoll led,HDMi DuclCore ninaiuza laki 8. ya pili ni Compaq Aesario CQ 56,320 GB HDD,4GB Rom,15,6 zoll ,Dual core. nauza laki 7. tumezitumia miezi 5 tunataka kununua meckbook pia nauza meckbook used mil.2 ukitaka mpya kuna za mil.5...
Back
Top Bottom