Search results

  1. T

    Utabiri kuhusu Uchaguzi Serikali za Mitaa 2014

    Bado unamhitaji hekima ya mungu uweze kutabiri kabla hujatabiriwa""""ccm chaliiiiiiii"""" na utabari wako feki:msela::msela:
  2. T

    5M nahitaji gari poa

    Duet bkz, mileage 80Kilos, owner one..
  3. T

    Makamu wa Rais Dk. Bilal, Afande Kova, Mkuu wa Mkoa wa Dar na Dk. Magufuli wanusurika ajali ya helikopta

    Polen sana waheshimiwa, wakikagua kwa juu ndo Watsonville athariiiii? Wengine wanafuga samaki ktk mabwawa wasidhani ni mafuriko....waende mgumu kwa mguu!! Data kamili tu hitachi walichokionaaaa wakiwa juu baada tu ya kupatta matibabu
  4. T

    Wajumbe wawili wa Bunge la Katiba watumia jina moja, haijulikani nani alipaswa kuwa Dodoma

    Havana makosa, hata Kenya tume ya kusahihisha mitihani iliwahi kutosha matokeo yenye wa kufaulu na kugeli wrote waking na majina sawa.....wakaviziana mwenye kuwahi apewe nafasi!,! Kula posho Mweta+
  5. T

    Zitto ashinda pingamizi dhidi ya CHADEMA, sasa Baraza Kuu kuamua uanachama wake

    Nafikiri iko haja wanasiasa kuvumiliana! Mambo yakienda hivi hakuna Chama cha siasa kitaweza kuwa na nguvu kupewa madaraka. Zitto atafute njia ya kuonana na wazee wa chadema kiangalia jinsi ya kumaliza mozozo uliopo na kumaliza kidemokrasia
  6. T

    Dr. Slaa adaiwa kumwandikia meseji ya vitisho IGP

    Unajua sote sisi tunahitaji kuwa na hofu mbele za mungu...Pia ukweli ni wa muhimu sana, kwa nini mtu akane wakati ametenda?...Hakika picha zinaonesha, hapana palipo na vurugu watu wakageuka vipofu au Kamera zishindwe kuonesha ukweli....Hapo juu ukweli na ushahidi unatosha hatuhitaji tume za 30...
  7. T

    Waziri Mkuu: Tumejiandaa vema kupambana na mgomo wa madaktari

    Oh Kwa kweli..............Inaumiza kichwa sana katika hili..Nasikia serikali inataka kuleta madaktari toka nje ya nchi..Je watawalipa nini kama wanashindwa hata kuwalipa hawa wazalendo???jamani nisaidieni katika hili..................:shock:
  8. T

    Historia ya Wachagga: Koo, Kabila na Falme-Mangi

    Mila na Desturi zimesahaulika, pia wazee waliokuwa wana imani za zamani pia hawako tena na urithi ulibakia bado kwao kabla ya kuwaeleza watoto au wajukuu wao. Vijana wegi wamekimbilia mijini na sijui hata kukata kahawa ile inayoitw Robusta/ Arabika kama watafahamu. Ukweli wa kupata majibu...
  9. T

    Historia ya Wachagga: Koo, Kabila na Falme-Mangi

    Mila na Desturi zimesahaulika, pia wazee waliokuwa wana imani za zamani pia hawako tena na urithi ulibakia bado kwao kabla ya kuwaeleza watoto au wajukuu wao. Vijana wegi wamekimbilia mijini na sijui hata kukata kahawa ile inayoitw Robusta/ Arabika kama watafahamu. Ukweli wa kupata majibu haya...
  10. T

    Elections 2010 Je, Mtanzania gani anafaa kuwa Rais wetu 2010?

    KiKWETE, hapo ndo ukweli nani ni Rais.
  11. T

    Elections 2010 Je, Mtanzania gani anafaa kuwa Rais wetu 2010?

    [...............atakuwa RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA! Bado demokrasia iko chini haswa katika mlongo hu wa karne ya 21, nasema hivi ikiwa na maana ifuatayo! -Wanasiasa wengi ni waoga haswa wale wa chama kilichoko madarakani kwani hawezi kumpinga aliyeko madarakani. -Ukweli ni...
  12. T

    Wakenya wamezidi na Sheng' kiswahili

    KYAKYA, Nashukuru kwa mchango wako, Je tuwasaidieje hawa majirani zetu?
  13. T

    MIGOGORO KENYA...Mh. MOI UPO?

    ...SMATTA, The following is one of my defences and which will put me in the good book of many of us.Are you not awere of the following?? 1.Parliaments disagreement..who will be the Boss of Government issues? Raila or Kalonzo? 2. Migingo Lake, is Kenya or Uganda party ?/ why Politician...
  14. T

    Wakenya wamezidi na Sheng' kiswahili

    Napata tabu sana ninapoongea na wakenya, haswa wale ninaojua wana elimu hadi ya Chuo kikuu au kidato cha nne. Lakini hawajui lugha kabisaaa, Unasikia SASA? Anamaanisha salaam, au Au unamwambia salimia wote nyumbani anasema WATASALIMIKA...Je hiki ni kiswahili sahihi?
  15. T

    MIGOGORO KENYA...Mh. MOI UPO?

    Nashangazwa na Siasa ya Kenya hasa pale walioko juu kuongoza Kenya hii kugombea Madaraka, Mzee Moi ushauri wako uko wapi? RailA MwaI si wanao hawa Baba? Mzee Kenyata saidia Kenya itararuka hivi Punde. Jamii Ya Africa Mashariki tusaidieje hili swala? Naomba mchango wenu wapenda amani ka...
  16. T

    Wanasheria wa Reginald Mengi wakutana na waandishi wa habari na Kumjibu Rostam Aziz

    Ni jambo jema mtu kama Mengi Kukutatana na waandishi wa habari. Tunajua wazi hatatoa hotuba za kisiasa kama watu wengine wanao angalia ukaribu wa uchaguzi mkuu ujao. Atatoa hotuba ya Kiuchumi, huenda wote watakaokuwa wanajamii ya IPP watapata mishahara mipya ili ufaninisi wa kazi uwe mzuri...
Back
Top Bottom