Search results

  1. M

    Bunge la Uingereza lajadili kuhusu Zanzibar

    mkuu maalim Seif alipigia siasa mataifa ya magharibi tokea 1992 au kabla ya hapo hivyo siasa za zanzibar Ulaya zinatambulika na kueleweka sana kwa mataifa ya nchi kama Uengereza, maalim Seif aliwekeza hilo mapema hivyo usishangae sana. Chadema na Lowassa walikuja baadae bado ni wachanga sana...
  2. M

    Pemba: Migomo Imeanza Kushamiri CUF dhidi ya CCM

    mbona povu linakutoka? Lete mtazamo wako na fikira zako nini kifanyike kwa ccm waliopo Zanzibar kupiga simu kwa wakuu wa mikoa na kuwataka waje na polisi kuwachukua wana cuf kulazwa ndani na kubambikiziwa kesi za uongo? vipi kuhusu vijana walioandaliwa ambao wanavaa soksi usoni kupita na kupiga...
  3. M

    Kisiwani Pemba hali yazidi kuchafuka: Polisi na Majeshi yazidi kumiminika

    wewe utabaki kuwa mtumwa ndani ya nchi yako mpaka leo hujuwi taifa lako ni lipi, ni aibu kuwa hujuwi identity yako, nationality yako Tanganyika imeporwa ni mkoloni mweusi hujui kinachoendelea upo upo tu ata unachokiandika hukijuwi. Unataka usikie unguja kumetokea nini wakati jambo lolote...
  4. M

    Ofisi za ZEC zapigwa komeo

    Kwani ivi Jecha yupo nchini? si nimeskia yupo Likizo kule Oman
  5. M

    Maalim Seif asafiri kwa Boti akitokea Dar Es Salaam

    safi sana ndugu Tanganyika haiwezi kuishi ata kutimiza mlo 1 kwa siku bila ya Zanzibar, Bara inasaidiwa sana na Zanzibar kiuchumi
  6. M

    Maalim Seif asafiri kwa Boti akitokea Dar Es Salaam

    Hii ni safi sana maalim seif ni kiongozi wa watu, si mpenda makuu kama walivyo viongozi wengi wa Tanzania
  7. M

    Video: Maalim Seif na mapokezi ya Kifalme Kisiwani Pemba

    Dah kweli ccm mara hii pini imewakaza zaidi, tusubiri miujiza tena na mara hii ccm waje watuambie wameshinda tena uchaguzi
  8. M

    ZEC yajitoa kimasomaso kumjibu Maalim Seif juu ya tuhuma za hila za Uchaguzi Zanzibar

    Mbona waandishi walionyeshwa baadhi ya hivyo vitambulisho
  9. M

    CUF yatoa Milioni 15 kusaidia waathirika wa mafuriko Zanzibar

    CUF ndio habari ya mujini skuizi
  10. M

    Maalim Seif Sharriff Hamad Kuunguruma Kitope jimboni kwa Makamo wa Pili wa Rais J'Pili hii

    maalim seif ni shujaa ccm imejimaliza sana kuendelea kuwashikilia wale masheikh nadhan ndio imeongeza nguvu sana wazanzibar kuikataa ccm
  11. M

    Sheikh wa mkoa wa Dar (Bakwata) amshukia Mbunge

    Hii kitu :target:haina Shehe
Back
Top Bottom