Natafuta samaki SATO na SANGARA kwa bei ya jumla.Mahitaji yangu ni Sato kg 120 Sangara kg 120 kwa wiki. Napendelea zaidi Samaki wa Msoma. Nipo kigamboni
Now available at Dar es salaam.
Gadget za kufukuza inzi,mende, panya, sisimizi, nyoka,mijusi, buibui n.k ndani ya nyumba yako. Haitumii kemikali. Check video hindi inavyofanya kazi hapa
Place your order now
Naomba kufahamu wapi nitapata vifaa kwaajili ya kufungua Bakery. Ni sehemu gani Dar es laam naweza kununua vifaa vyote kwajili ya kufungua bakery? Pleasse reply here or WhatsApp +255757421949
Nilitembelea leo ofisi za NSSF Dar es salam zilizopo Ilala karibu na Amana hospital.
Wateja nilio wakuta hapo walikuwa na Khali ya Kukata Tamaa na maisha.
Malalamiko/Manung'uniko yao ni kuhusu mfuko wa NSSF kuwakatisha tamaa wanachama waliostaafu au walioacha kazi kwani Huduma zao Haziridhishi...
Naomba kujua wapi ninaweza pata kwa hapa Dar es salaam, spare parts za Gari VOLVO XC 90, nahitaji wind screen na engine mounting zote(used or new). Thanks
0717696688, my Number
Leo asubuhi (9.9.2014) katika hali isiyo ya kawaida, abiria wanao tegemea vivuko vya ferry kuvuka kutoka upande wa Kigamboni kuelekea magogoni wamelazimika kusubiria Kivuko hicho kwa takribani masaa mawili na nusu bila maelezo yoyote kutoka kwa wahusika.
Nashauri kivuko kipya cha MV DAR ES...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.