Search results

  1. carter

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Dah.. Nashindwa kuona picha wadau.
  2. carter

    Hongera Wakenya kwa kukuza lugha ya Kiswahili Sudan Kusini

    [emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mkenya hawezi kuona bange inasemwa vibaya akatulia...
  3. carter

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Dah hivi Uganda inaipita vipi Bongo Kwa kulima Kahawa? Hii sio poa kabisa. Hili zao wakulima walianza kulichukulia poa baada ya bei kuanza kuvurugika na gharama zake kulima na kuzitunza hadi kuvuna ni kubwa.
  4. carter

    Johannes Rebmann: Mtu aliyegundua mlima Kilimanjaro

    Hapa naona ni interpretation ndio inatuchanganya. Iko documented kwamba Rebmann ndio mzungu wa kwanza kugundua Mlima Kilimanjaro, sio kwamba yeye ndio mtu wa kwanza alieuvumbua au kuugundua mlima. Sasa hapo tatizo liko wapi? Je Kuna mwingine aligundua kabla yake?
  5. carter

    Kama unajiuliza kwanini leo Tetesi za Mchezaji Clatous Chama kutua Yanga SC zimekuzwa jibu rahisi na jepesi tu ni hili hapa

    Mpira wa bongo ni wakipopoma sana. Umekaa mdomoni kama siasa badala ya uwanjani.
  6. carter

    Moshi Mjini: Sanamu ya askari pale YMCA ni alama ya Historia gani?

    Ni sanamu iiiyopewa Jina la George Memorial. Huyo George alikuwa nani?
  7. carter

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Hamna kitu pale... Katembelea milage sana Kwa yule dogo wa kibongo. Ndio alikuwa anampa business idea na kukuza brand yake. PR zote na marketing alikuwa anafanya dogo yule.. Huyo msupuu akawa anamlipa kwa bed tu.. Halafu hata kushikishwa ball hataki. Dogo akamtema tu, saiv anapata loss hapati...
  8. carter

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Haya maji alifundishwa packaging na jamaa wa Bongo. Kwanzaa maji yake hayauziki saiv maana Kaachana na mbongo aliekuwa anamsaidia branding na marketing Uongo? komora096 [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
  9. carter

    Je, ni kweli bangi inaweza kukinga dhidi ya wachawi?

    Hakuna cha vijiwe au aina ya watu kwenye vijiwe. Plain fact ni kwamba bange kama bange haiwezi kuzuia uchawi. Ukibisha zaidi nenda kwenye hicho kijiwe uwaulize hao wandewa uchawi ni nini na uchawi unafanya vipi kazi.. Ukipata majibu ya kueleweka ya hayo maswali ndio utaelewa vizuri. Halafu...
  10. carter

    Je, ni kweli bangi inaweza kukinga dhidi ya wachawi?

    Ila vijiweni Kuna kudu za hatari sana.. Kama mtu una amua kuvuta bange we vuta tu Kwa raha zako. Mambo ya kusema mmea unazuia uchawi ni hadithi tu. Huo uchawi unaweza kukujia Kwa kupitia mmea huo huo.
  11. carter

    Special thread: EACOP updates

    Walibaliza share kidogo na ndio operator akishirikiana na Total. Kitu kizuri ni kwamba mradi uko hatua za mwisho za ili kuweza kuanza.
  12. carter

    Special thread: EACOP updates

    Wakuu, Kuna ukweli wa hii kitu? What's the latest? https://chimpreports.com/chinas-cnooc-takes-final-investment-decision-in-ugandas-oil-project/ Geza Ulole
  13. carter

    Je, TFF Kuna TISS?

    Lugha yetu bhana... Huwa nawaza labda kimatamshi labda mtu unaweza changanya R na L ni udhaifu tu wa kutamka.. Ila inapofikia hadi mtu ana andika kabisa hivyo kidogo huwa inanitatiza na kunichanganya. Labda wenye changamoto hiyo wangesema hawaoni tofauti ya uandishi na matamshi katika...
  14. carter

    Je, TFF Kuna TISS?

    Tenga muda utujuze mkuu.
  15. carter

    Je, TFF Kuna TISS?

    Huyu ni halisi haswa.. Wengine hao labda in4 tu.. Nakumbuka msiba wake Kinesi pale.....
  16. carter

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Sure boss. Wakubwa walimaliza kimessi
  17. carter

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Yeah lugha changamoto. Hivyo gavoo ikawapigia kifua wakaachiliwa ikawasema hao sio spy na hawafanyii kazi any intelligence agency ya nje ama ndani ya kenya. Kwa Sudan may be Sawa.. But Kwa Ethiopia nadhani you two have issues. Huyo reporter alidakwa mazingira tatanishi.
Back
Top Bottom