Search results

  1. Nyamayao

    Baadhi ya wasichana hawaolewi sababu ya kutembea na waume wa watu

    Kinachonishangaza zaidi unakuta mdada mrembo haswaa, akiingia mahali anavutia haswaaa, lakini anaamua kutembea na mume wa mtu, tena kwa kuzurura nae kila kona, sehemu za starehe etc, mdada kama huyu anakuja kuzinduka jua linazama.
  2. Nyamayao

    Baadhi ya wasichana hawaolewi sababu ya kutembea na waume wa watu

    Tuache kujifariji, sio lazima kila mwanamke lazima aolewe lakini asilimia kubwa ya wanawake wanatamani ndoa, ndoa nayo ina raha yake jamani, tena sana tu
  3. Nyamayao

    Baadhi ya wasichana hawaolewi sababu ya kutembea na waume wa watu

    Nimekumiss pia, ni majukumu tu yanabana, ukweli ni kwamba hakuna kosa kubwa kama msichana kuchezea usichana wako na mume wa mtu, yaani anakulostisha, anakupotezea ramani ukijakushtuka unagonga 30 na hakieleweki, yaani nikionaga mrembo anahangaika na waume za watu huwa namshusha dhamani sana, ni...
  4. Nyamayao

    Sauda Mwilima umejikoboa umekuwa mbayaaa

    Sijawahi kuliona hilo kwa huyu dada, hajui kuvaa kabisaaa, yupo yupo tu na mawanja yake sasa, ananichoshaga huyu dada jamani.
  5. Nyamayao

    Justine Nyari ndiye habari ya Arusha mjini kwa sasa

    Muongeze na Eugen! walikuwa kampani moja hao.
  6. Nyamayao

    Tanzanite One Mining Ltd yaelekea kufilisika

    Hiyo hiyo my dear, umeshaingia hapo? pako njema sana
  7. Nyamayao

    Tanzanite One Mining Ltd yaelekea kufilisika

    Pako poa sana, sikumuona mhusika lakini niliambiwa ni kajamaa tu ambacho kamejipanga vizuri, ni kama alivyojipanga Mathayo, Ngongo unammanya Mathayo? jamaa yupo vizuri sanaa hapo moshono kapachafua balaa, hawa ndio vijana wa mawe wenye kutumia akili zao vizuri sasa.
  8. Nyamayao

    Tanzanite One Mining Ltd yaelekea kufilisika

    Iko hapo leganga, nimeshaingia, iko poa sanaa, kiukweli kajitahidi sanaaa
  9. Nyamayao

    Tanzanite One Mining Ltd yaelekea kufilisika

    Kiujumla upande wa madini kumeshajifia, naona dogo wa kihindi nae kanunua maduka, nilishangaa kweli dogo na duka la vifaa vya umemre leo ndio tunaambiwa anachukua yale maduka ya wazungu, hii ndio TZ aisee, maajabu kama haya yanapatikana hapa kwetu tu.
  10. Nyamayao

    Tanzanite One Mining Ltd yaelekea kufilisika

    Yap, labda kwasababu mie sio kwamba nawasiliano yetu ni sababu ya kazi bali mambo yetu binafsi, ya ushikaji na kimaisha zaidi, ial huo mgogoro wa warangi nimeusikia sana, kwamba warangi wote hapo wamekuwa maboss.
  11. Nyamayao

    Tanzanite One Mining Ltd yaelekea kufilisika

    Huyo jamaa ni mshikaji wangu sana tu, yeye wenyewe kunakaribia kumshinda.
  12. Nyamayao

    Kwanini wanyama hawafanyi mapenzi kinyume na maumbile?

    Kitu ambacho hawakijui ni kwamba mapenzi hayapimwi kwa namna ya tendo tu, na hicho kitu kila mtu anacho, uweje leo mwanamke ujione ndio special sana na kujihisi ndio utapendwa zaidi ilihali akiitaka kwengine popote anapata? binadamu wengine jamani sijui wapoje kwa kweli.
  13. Nyamayao

    Kwanini wanyama hawafanyi mapenzi kinyume na maumbile?

    Mwanaume kama huyo hata siku moja hawezi hata kujifanya amekosea njia kwa bahati mbaya, na mwanamke ukawa na mume wa kukutamkia kitu kama hicho huyo sio wa kuitwa mume kamwe, labda na mwanamke nawe uwe tayari kwa kufanyiwa huo ufirauni ndio utamuona kama ni mume na baba wa watoto wako.
  14. Nyamayao

    Kwanini wanyama hawafanyi mapenzi kinyume na maumbile?

    Hii kitu ina ugumu wake, labda kuanzia mlivyokuwa marafiki huko mlishaanza huu mchezo, sasa kwa mfan o leo hii mimi msukuma aje aniambie hii kitu uhakika ni kwamba italea mgogoro mkubwa sana na labda ndoa ndipo itakapovunjikia hapo.
  15. Nyamayao

    Kwanini wanyama hawafanyi mapenzi kinyume na maumbile?

    Sio mume tu, hata boyfriend, na wanaume wanaangaliaga watu wa kuwaomba huo ujinga eti. Na ukweli ni kwamba mume mwenye kukuheshimu na kujua dhamani yako kamwe katu hawezi kuongea huo upuuzi achia mbali kujifanya kakosea njia.
  16. Nyamayao

    Wizkid: Ojuelegba

    Mrembo yupo vizuri, kuna mwingine yupo na Flavour pia unaitwa OH BABY (You&I), nao uko poa sana pia!
  17. Nyamayao

    Wizkid: Ojuelegba

    Hawa jamaa wanajitahidi sana aisee, kuna moja ya Timaya- Sanko, video yake inanipaga burudani sana.
  18. Nyamayao

    Wizkid: Ojuelegba

    Ameutendea haki sana tu, kuna mwingine naupenda sana pia nao hauchezeki but unanivutia sanaa, unaitwa Ololufe, Flavour Ft Chidinma, yaani huyu mdada nampenda balaa, ka cute sana!
  19. Nyamayao

    Wizkid: Ojuelegba

    Yap, ni wa kwake pia, katika nyimbo za huyu mtoto uliouweka ndio unanimaliaza, naupenda huu wimbo jamani!
  20. Nyamayao

    Ajali Arusha: Trafiki Saba, wanasurika kifo, gari la Polisi lagongwa

    Kuna mmoja wa kike pia black beauty hivi, nakapenda kweli hata leo asubuhi alikuwa hapo Impala, hana makuu kabisa, huyo unamzungumzia cheupe bonge bonge muda wote ananuka pombe?
Back
Top Bottom