Suala la mtu kuapia Biblia/Qur'an wakati haendi kutenda kazi ya kanisa ni kuzibana mdomo. Lakini pili hivi ni vitu ambavyo vilitumika na wazungu ili mtu asikikiuke maagizo alopewa hata kama kuuwa eti Mungu atamlaani au atakuwa ametenda dhambi.
Kama mtu anaweza kupata kitabu cha NOT YET...
Kesi za Uchaguzi: Hizi kesi lengo kubwa ni watu kupatiwa haki na kuondoa wasiwasi juu ya ushindi wa mbunge, diwani hata rais kama sheria zitaruhusu, hasa kwa kuangalia taratibu za uchaguzi kama zilizingatiwa ama la, maadili ya uongozi na yafananayo. Cha kushangaza katika kesi hizi ni kuwa...
Kuvuliwa kwa Lema kuna maana hizi;
Kwanza, CCM wanataka kupima kama mbinu za kifedha, uwizi wa kura, vitisho vya magari ya FFU na Polisi zaweza kufanaya for 5 years more.
Pili, CHADEMA wanapewa nafasi ya kupima nguvu ya CCM na uwezekano wa kushinda 2015 majimbo zaidi
Tatu, Umaarufu wa...
hivi ni kweli kuwa tukimkatalia mtu jambo tusilolipenda basi naye atakutukana. Matusi ni ukweli unaotumika katika maeneo ama sehemu ambapo hatutaki ukweli huo ujulikane. Kwa sababu hatutaki watu wa nje wajue kuwa viongozi wetu hawajui uchumi na hata ya kawaida hawafahamu, tena kuwajibika ndiyo...
kwa hayo waonyesha wewe ndiyo ulikuwa ukijibu mwalimu darasani ETC End of Thinking Capacity...mavi kweli wewe katika uyajuayo mavi ndiyo kitu cha kutafutia umaarufu....aksante sana kwa kwenda hatua mbele kifikra
:spy::A S embarassed:
nafkiri kuna jambo la kutafakari; mazingira wanayokaa hao, afya yao kabla kifo kuwakuta, taratibu za kutibiwa kwenye kituo cha afya cha chuo, uwingi wa watu na magonjwa ya kuambukiza nk.
Si ajabu muswada kupitishwa kwanza.
Pili, kwa kuwa katika maamuzi wanayosema ni ya kidemokrasia ni uwingi wa kura kuliko uzito wa hoja walikuwa na haki zote.
MATOKEO YAKE NINI?
Kwanza kwa hali ilivyo wananchi wengi hawajafurahia namna ambavyo mjadala wa muswada ulivyokwenda kuanzia kwa...
Tayari keshaanza lakini kama kawaida Ngeleja, Luhanjo, Jairo na Tanzania Night Energy Supplying Company(TANESCO) wamechukua power.
Lakini sijashangaa kitu kimoja tu kuwa sawa na wale wanaosema wanahubiri dini pale Ubungo Mataa, Mwenge na Bakhressa kasema kuna watu ambao hawawezi kuhubiri dini...
tuangalie thread hizi na umakini wa kusoma taarifa za magazeti..kama aliona katuni kama wazungu..hivyo hata taarifa ya the east african sina uhakika kama ameielewa..sababu ya article hiyo na related issues.
MASWALI KULIKO MAJIBU
1 askari wameacha wajibu ni kuwa WAHUDUMU WA MOCHWARI NA WATOA HUDUMA ZA MAZISHI KAMA WALE WA MUHIMBILI?
2. Tanzania imekuwa Police State...let Tanzania ask those thought to be immune to people's power like Husni Mubarak, Zinedine(Tunisia) n let them watch trends of 21st...
Sina uhakika kama hayo aliyaandika lusekelo anamaanisha.
Koz the same paper imekuwa ikipotosha hoja na kudakia mambo yasiyo na tija kwa taifa linalohitaji maendeleo siyo propaganda kama wanavyofanya siku zote.
kama yanatoka moyoni heko
Tanzanania ninchi ya maajabu.
Kujenga mji a kisasa.
Kufua umeme wa megawatt 300 ndani ya miezi mitatu hata hatua za manunuzi na ushauri/consultancy kuanza zabuni kutangazwa bado.
Technocrats wanaotaka kuwa wanasiasa siwapi heko.
HAYA MANENO
Haporopaganda zitakuwa zimegonga mwamba hivyo wanaficha aibu.
Pili, km ni asubuhi wanajua wengi huwa hawaangalii asubuhi kwa sababu
ya maandalizi ya kwenda kazini,ibadani ama watu wana hangover ya ijumaa.
Unless you stop personalizing the unconsciousness and generalizing that comes from myths and glorification without sacredness an purity, you will get to understand the CCMs and their their used praises.
"FUTURE BELONGS TO THOSE WHO BELIEVE IN THEIR DREAMS"Eleanor Roosevelt.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.