Search results

  1. S

    Furaha Dominic akamatwa akisambaza picha za Utupu

    Popoma Ndio kaongea ukweli
  2. S

    Kukamatwa kwa Furaha Dominick ni rasmi kuwa Vita ya Kuchafuana kwa ajili ya Uchaguzi Mkuu wa 2025 ndani ya CCM imeanza rasmi

    Moja ya post ya maana sana. Furaha ni mdogo sana na hana kazi ya maana ya kumpa utajiri alionao na uwezo wa kushinda Kawe kama alivofanya 2020. Furaha ni mgeni mjini, so lazima ukachokuwa unasema kiwe na ukweli na mengine hujataja
  3. S

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    https://www.instagram.com/reel/C6IpehdNEo4/?igsh=aWFwcWN6amNoMDVu
  4. S

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Hili group lifungwe kama hakuna picha ya station ya SGR ya Dodoma
  5. S

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Nimelia, Wakenya ni poor
  6. S

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Nimeangalia video zote mbili nimelia😂😂😂 Wakenya ni maskini..
  7. S

    Je, Israel ana combat superiority dhidi ya Iran?

    Sasa utakuwa na taarifa Ipi kuzidi google 😂😂😂. Vijana mbona mna akili ndogo, hata vitu rational tu. Chanzo cha maarifa ni kusoma si kitabu kimoja pekee, Ila kusoma taarifa tofauti. Sasa wewe ni Nani aliyekwambia Syria ina machafuko Kama sio taarifa tofauti.
  8. S

    Je, Israel ana combat superiority dhidi ya Iran?

    Kitu kimoja nimejifunza humu ndani watu wengi hamna knowledge ya masuala ya Dunia. Yemen unayoijua Leo ni muungano wa miaka ya 1990s wa Yemen mbili North na South Yemen upande wake unataka kujitenga na North Yemen ambayo wanakaa Wahouthi. Kuhusu Israel kuisaidia Iran, Kama hujui kabla ya...
  9. S

    Je, Israel ana combat superiority dhidi ya Iran?

    Vita ya Iraq-Iran ilikuwa hivi na pande kinzani. Israel alimsaidia Iran During the conflict, Iraq received an abundance of financial, political, and logistical aid from the United States, the United Kingdom, the Soviet Union, France, Italy, Yugoslavia, and the overwhelming majority of Arab...
  10. S

    Je, Israel ana combat superiority dhidi ya Iran?

    Duniani ni USA pekee na NATO ndio zina expeditionary capabilities, zinazofata ni France na kwa mbali ni Britain. Sababu iliyoifanya Russia isiwe na Makoloni Africa ndio sababu inafanya Jeshi lao lisiwe na uwezo wa kwenda kokote dunia ambapo wametenganishwa na maji (Hawana Jeshi kubwa na Imara...
  11. S

    Je, Makonda ni asset au liability kwa CCM?

    Kwa nini hamumsemi aliyemuita Lowassa Kajinyea
  12. S

    Mlio huko Vyuo Vikuu mnasoma sijui Masters na Doctorates zenu zina maana gani wakati hata tusio na Elimu Kubwa EAC tunatunukiwa tu Vyeti ya Heshima?

    Huna najiuliza swali Moja Watu wanaotunukiwa hizi doctorates za mchongo wako proud Nazo?
  13. S

    Bashungwa Ashiriki Maombi na Dua ya Kuliombea Taifa

    Hivi Watu wanaombeaga Taifa ili iweje? 🤣 🤣 🤣
  14. S

    Je, umeshawai Kuota ndoto upo shule unafanya mtihani ilihali shule ulimaliza kitambo?

    Hii ndoto ni common kwa kila mtu. Overall ndoto zetu hazitoi mambo yajayo but it just a way our brains works. Ndoto hazina maana nje ya ndoto
  15. S

    Tsh 1000 kwa picha ya katuni/ Superhero utakayochora

    Buku jamaa atumie katuni yake tu, Mimi naona iko poa 😂😂😂😂
  16. S

    Tsh 1000 kwa picha ya katuni/ Superhero utakayochora

    Picha yako ni more expensive kuliko watu watakazo chora. Alafu kwa ujira wa buku kwenye kazi ya kufikiria na kutumia sana akili hutapata mtu
  17. S

    LIVE UPDATES: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Iran na Israel

    https://twitter.com/Osint613/status/1782152317845885386 Assad kaamua kurudisha mpira
Back
Top Bottom