Search results

  1. leyb

    Kwa Jobless: Upo wapi mida hii na unafanya nini?

    Jiajirini hapa Viewing payed advertising sites gomoney.club - Welcome!
  2. leyb

    Green banana flour

    Kiasi gani na bei yako kwa kilo
  3. leyb

    Ndoa inanitesa: Nipeni ushauri niondokane na mateso haya kwani uvumilivu wangu ndio kifo changu

    Shetani hapendi umoja na upendo, nakushauri usitumie nguvu kupenda, bali chukua hatua mkaribishe Yesu moyoni mwako yeye atakuweka huru na utampenda mkeo na watoto wako. Kama kuna ulozi umefanyika yeye atavunja na kuondoa laana za kila aina. Karibu kwa Yesu uone raha ya ndoa yako.
  4. leyb

    Uzi maalum kwa 'vitu used'

    150k nakupa fasta
  5. leyb

    Computer4Sale HP Pavilion DV4

    Mi nataka kioo na housing yake tu.
  6. leyb

    Natafuta mume

    Ni pm namba zako tuongee zaidi
  7. leyb

    Natafuta mume

    Karibu sana Dodoma nikutafutie na nyumba kabisa
  8. leyb

    Eneo la kununua linahitajika Dodoma

    Kwa ofisi njoo tuingie mkataba ujenge floor 3 juu ya jengo lipo mtaa wa uhindini karibu na nyerere square
  9. leyb

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Nimepatwa na tatizo nimeshindwa kuongeza umeme meter namba tatu zimegoma kabisa battons hazifanyi kazi. Meter haijamaliza hata mwaka nipo Dodoma mjini. Suluhisho LA tatizo hili ni nini?
  10. leyb

    Natafuta mshiriki wa uwekezaji katika jengo, Dodoma mjini

    Tunatafuta kampuni, taasisi au mwekezaji binafsi tuingie nae mkataba wa kupandisha ghorofa floor 3 au 4 kwa ajili ya biashara ndani ya Dodoma mjini. Jengo ni la kundeleza tu lipo mtaa wa uhindini. Karibuni Pm.
  11. leyb

    Natafuta pilipili

    Sema uletewe
  12. leyb

    Napitia katika changamoto kubwa

    Mbona tatizo dogo sana hili. Njoo nikupe mtoto atakuwa wako wewe ukipenda hats wawili nitakupa. Pm zaidi
  13. leyb

    Elewa huu mtego kwanza ndio utajua biashara nzima ya Forex

    Waambie tunajifunza na risk pia na technics za kulinda capital against those volatility they do fear
  14. leyb

    Awesome Results: Ndanda Secondary School

    Safi sana shule yangu hii 2008 nilimaliza hapo
  15. leyb

    Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    Mhafiwa Clan: PipsMaker Indicator make pips enjoy Forex PipsMaker Indicator
  16. leyb

    Maumivu makali ya mgongo (back pain) na tiba yake

    Chukua asali, tangawizi. Chemsha tangawizi nikombe 1 cha chai then weka asali mbichi kijiko 1au 2. Asubuhi kikombe 1 na jion 1 kwa wiki 1 au 2. Hope utapata tiba. Hakikisha tangawizi unaweka iwe Kali kidogo.
Back
Top Bottom