Search results

  1. MwanaDiwani

    Yanayojiri Jijini Mwanza: Mkutano wa kuhitimisha kampeni za mgombea Urais wa CCM, Magufuli

    Kwa mara nyingine tena, ile siku iliyokuwa ikisubiriwa kwa matumaini na hamu kubwa na mamilioni ya Watanzania imewadia ambapo CCM itafunga kampeni zake kitaifa kwa utaratibu mpya na kwa kishindo. Kampeni za CCM zitafungwa kitaifa kwa mikutano mikubwa ya kampeni katika mikoa saba. Mikutano hiyo...
  2. MwanaDiwani

    Mshindi kimapato wa Uchaguzi Mkuu ni Freeman Mbowe!

    The term political entrepreneur first surfaced with Max Weber in his essay on Politics as a Vocation. He used it to refer to people who live off politics in a systematic way. Max Weber alikuwa ni Mjerumani aliyebobea kwenye masuala ya Soshologia, Filosofia na uchumi wa kisiasa. He said...
  3. MwanaDiwani

    Yaliyojiri Jangwani, Dar: Mkutano wa kuhitimisha Kampeni za mgombea Urais wa CCM, Dr. Magufuli

    UPDATES JANGWANI Baadhi ya picha za wananchi Jang'wani. Magufuli akihutubia maelfu ya wananchi Mgombea Urais kupitia chama cha mapinduzi ameingia viwanja vya Jangwani akiongozana mkewe pia ameongozana na watu wengine kadhaa. Anaeingia sasa ni mwenyekiti wa chama cha Mapinduzi, Dr. Jakaya...
  4. MwanaDiwani

    Yaliyojiri Jijini Arusha: Mkutano wa Mgombea wa CCM, Dk. Magufuli – Oktoba 6, 2015

    Ile siku iliyokuwa inasubiriwa kwa hamu na Watanzania hasa wakazi wa Jiji la Arusha imewaadia ambapo Mgombea wa Urais wa Tanzania kwa tiketi ya CCM, Dk. Magufuli atafanya mkutano mkubwa wa hadhara katika viwanja wa Sheikh Amir Abeid kuanzia saa 8:00 mchana. Star TV na TBC1 watakuwa hewani live...
  5. MwanaDiwani

    Magufuli ahutubia maelfu ya wana Kibondo na Kasulu.

    Dk Magufuli amewaambia wana Kibondo na Kasulu kazi ya kwanza atakayompa waziri wake wa kilimo, itakuwa ni kutafuta soko la zao la tumbaku kwa mikoa ya Tabora na Kigoma ili wananchi wauze kwa bei nzuri. Amewahakikishia amedhamilia kuwafunga mafisadi na wale ambao wamefisadi wananchi kupitia zao...
  6. MwanaDiwani

    Yanayojiri Mikutano ya Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM, Dr. John Magufuli mkoa wa Kigoma

    Watu ni wengi kweli. Matangazo yako live kwenye channel ya Star TV. VIDEO: Updates 16:00 Jioni Kutoka uwanja wa Kawawa-Kigoma. Wananchi wakiwa wanamsikiliza Magufuli. Karibuni wananchi wote wapenda maendeleo na amani katika taifa letu ili tujumuike na Rais Mtarajiwa wa Tanzania, Magufili...
  7. MwanaDiwani

    Magufuli atikisa Meatu, maelfu wahudhuria mkutano

    MGOMBEA urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli amesema iwapo atachaguliwa na kuunda Serikali ya Awamu ya Tano atahakikisha madini ya aina mbalimbali ikiwamo dhahabu kabla haijaondoka nchini lazima ajue kiasi kinachoondoka. Dk. Magufuli ameongeza kuwa si kwamba...
  8. MwanaDiwani

    Wazee watazuia mafuriko Lowassa na kuliokoa taifa?

    KUNA msemo kuwa; “Penye wazee haliharibiki neno”. Msemo huu unatumiwa sana kama tahadhari kwenye masuala ambayo yanaweza kuhusisha vijana au watu wengi ambao labda hawana umri wa kuweza kuwa na hekima ya mambo fulani fulani. Msemo huu unatumiwa zaidi katika kutafuta namna ya kusuluhisha jambo...
  9. MwanaDiwani

    Jaji Warioba: Ninawashangaa Mawaziri Wakuu wenzangu

    WAZIRI Mkuu mstaafu Jaji Joseph Warioba, ameibuka katika kampeni za mgombea Urais kwa tiketi ya CCM, Dk. John Magufuli na kusema kuwa anashangazwa na hatua ya mawaziri wakuu wenzake kuhama CCM na kudai hakuna kilichofanyika katika miaka 54 ya Uhuru. Pamoja na hali hiyo amesema anajua wazi...
  10. MwanaDiwani

    Ilani ya Uchaguzi na Ratiba za kampeni za CCM

    Mkoa wa Morogoro 5 Sept 2015-Ulanga kuanzia saa 2 asubuhi 5-Sept 2015-Kilombero kuanzia saa 7 mchana 6-Sept -2015-Kilosa kuanzia saa 5 asubuhi 6-Sept -2015-Mvomero kuanzia saa 8 mchana 6-Sept -2015-Morogoro Mjini kuanzia saa 10 jioni Mkoa wa Tanga 7-Sept -2015-Kilindi kuanzia saa 6 mchana...
  11. MwanaDiwani

    CCM yahitimisha wiki ya kwanza ya kampeni.

    CCM inawapongeza wananchi wote ambao wamechangia kwa njia moja au nyingine katika kufanikisha kampeni za Urais kwa tiketi ya CCM mpaka sasa. Leo CCM inahitisha wiki ya kwanza tokea kampeni zianze ambapo Mgombea Urais, John Magufuli na Mgombea Mweza, Samia Suluhu wametembelea mikoa mitano...
  12. MwanaDiwani

    Mwigulu ahutubia umati mkubwa kumnadi Magufuli mkoani Kigoma

    Magufuli kwa sasa yuko Tunduma lakini njia yake inasafishwa na makada ambao ni kikosi chake cha kampeni waliotapakaa Tanzania nzima kama ilivyokuwa leo huko Kigoma. Mwigulu amewaasa wana Kigoma kuachana na wanasiasa wabinafsi ambao haki kwao ni pale wanapokipata kile wanakitafuta hata kwa...
  13. MwanaDiwani

    Maelfu wampokea Magufuli na kuhutubia Tunduma

    Wakati akiongea leo na Wananchi wa Tunduma, Mhe. Magufuli asema atakuwa Rais wa Watanzania wote na kuwahakikishia maendeleo. Hatabagua chama, wanachama wa vyama na watanzania wengine kwa sababu maendeleo hayana makundi au mtazamo tofauti. ''Nitajenga Serikali yenye Umoja ili kuleta...
  14. MwanaDiwani

    YALIYOJIRI: Mkutano wa Ufunguzi wa Kampeni za CCM - Viwanja vya Jangwani, Dar-es-Salaam

    Kwa wale wapenzi, washabiki, wanachama na wananchi kwa ujumla wanaopenda kufahamu kinachoendelea katika mkutano wa ufunguzi wa Kampeni za CCM katika viwanja vya Jangwani watapata update hapa. Mkutano utarushwa LIVE kupitia TBC, ITV, Azam TV pamoja na Star TV. Tujumuike kwa pamoja kama...
  15. MwanaDiwani

    Rais Kikwete: CCM hainunuliki, vile vile Watanzania wengi hawanunuliki

    Wakati akihutubia Wazee wa Mkoa wa Dar-es-salaam, Rais Kikwete amesema Ujivuni wa pesa sio mali kitu mbele ya CCM na wananchi wengi nchini. Uteuzi wa Magufuli kuwa mgombea Urais umetoa angalizo linalosema CCM hainunuliki. Rais Kikwete alienda mbele zaidi na kusema, ‘’Utawalipa wachache kwa...
  16. MwanaDiwani

    Magufuli asaini hati ya kiapo mahakamani, atambulishwa kwa wazee wa Mkoa wa Dar-es-salaam

    Mgombea urais kwa tiketi ya chama cha Mapinduzi, Dk. John Magufuli akisaini hati ya Kiapo mapema leo mchana Mahakama Kuu jijini Dar es Salaam.Hati ambayo kila mgombea wa nafasi ya urais anatakiwa kusaini katika Mahakamani Kuu. Kushoto ni Mgombea Mwenza, Samia Suluhu Hassan. Mgombea urais kwa...
  17. MwanaDiwani

    Kamati Kuu ya CCM yateua wanaCCM katika nafasi mbali mbali

    Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi CCM Taifa, Nape Nnauye akizungumza na waandishi wa habari leo kwenye ukumbi wa Sekretarieti, Makao Makuu ya CCM,Ofisi Ndogo Lumumba. Wakati huo huo, kuna taarifa za uongo zimeenezwa kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii zikisema eti Kamati kuu ya CCM imemuweka...
  18. MwanaDiwani

    Mji wa Geita wasimama, Maelfu wampokea John Magufuli akiwa njiani kuelekea Chato

    Video ya mapokezi ya Magufuli Mjini Geita, Mgombea Urais alieteuliwa na Chama cha Mapinduzi (CCM), Dkt. John Pombe Magufuli akilakiwa na Wanaccm na Wananchi wa Mkoa wa Geita, Wakati aliposimama kuwasalimia akitokea jijini Mwanza kuelekea Kijijini kwake Chato. Hapa ni Kivukoni Busisi Mkoani...
  19. MwanaDiwani

    Elections 2015 Picha: Tulichokishuhudia katika mapokezi ya Magufuli Jijini Mwanza, upinzani unafutika

    Kwa kile ambacho tumekishuhudia Jijini Mwanza kinatoa ujumbe unaosema, Majimbo ambayo yako chini ya CHADEMA katika mikoa ya Kanda ya Ziwa yako mbioni kurudi CCM. Sina haja ya kuongelea Urais wa Tanzania kwa sababu Magufuli anasubiri kuapishwa tu. SHUGHULI mbalimbali katika maeneo ya Barabara...
  20. MwanaDiwani

    Maelfu wajitokeza Zanzibar kuwapokea John Magufuli na Mgombea Mwenza, Samia Saluhu

    Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere aliwahi kusema "Rais wa nchi yetu anaweza kutoka Chama chochote cha siasa, lakini Rais bora wa Tanzania atatoka CCM". Hadi sasa, CCM ni chama pekee ambacho kimeweza kubeba haiba na taswira ya utaifa na Chama chenye hazina ya viongozi, demokrasia...
Back
Top Bottom