Search results

  1. Polisi jamii

    Wanawake ni watu wa kuogopwa sana dunia hii

    Onyo: Usisome Post hii kama umewahi kutendwa na Mwanamke, utaugua Presha na stress usijue la kufanya Nazungumza na wanawake wote bila kujali umri Nasema hivi, ninyi ni Mama zetu, ni wake zetu pia. Vilevile ni dada zetu na shangazi zetu kwa upande mwingine Lakini wanawake Mungu anawaona mjue...
  2. Polisi jamii

    Kuandikisha mtoto wa darasa la kwanza, walimu wanataka niwape 10,000 Je ni sahihi?

    Hii elimu bure imeanza kuleta sintofahamu baada ya kwenda kumuandikisha mdogo wangu ambaye anatarajia kuanza darasa la kwanza hapo January 2017, cha ajabu na kushangaza mwalimu mkuu wa shule ya msingi Tandale anataka nitoe elfu kumi ya kuandikisha. Je ni kweli kuandikisha tunalipia au...
  3. Polisi jamii

    Tatua hii chemsha bongo

    Nia na lengo ni kujua wangapi darasani walienda kusindikiza wenzao,Majibu nitatoa saa 6 usiku
  4. Polisi jamii

    Ushauri: Anataka nimjengee nyumba ila sina uwezo, nimepanga kujiua kabisa

    ANAOMBA USHAURI: Amenambia nisipomjengea nyumba nimsahau kabisaa namie moyo ndo umempenda sana dada huyu hadi nawaza kujiua kabisaa nifanyeje wadau namie ndo nimepanga kujiua kwa ajili yake
  5. Polisi jamii

    Tunaoingia kazini usiku pool-table tucheze saa ngapi?

    Napinga kauli ya viongozi kuwa pool-table lichezwe jioni kwa kisingizio kuwa watu hawafanyi kazi vipi wale wasiyocheza pool-table na hawaendi kazini? Na je siye tunaofanya kazi za usiku tu asubuhi kwanini tuzuiwe kucheza pool au kunywa hata bia inamaana hamjui kuwa uchumi utadorora kuzuia raia...
  6. Polisi jamii

    Chile win Copa América once again as Argentina title drought continues

    This was to have been the match that sealed Lionel Messi’s legacy. The one that silenced the doubters, that killed off the question mark hanging over his greatness, that gave him his place in the pantheon next to Diego Maradona and showed he could achieve the same success with Argentina that has...
  7. Polisi jamii

    Msaada list ya series za kutisha na kichawi

    ukiondo merlin,harrypoter,legend of sicker ni series gani nyingine za kutisha na zenye uchawi
  8. Polisi jamii

    Ni mpya 2016 I man 3 ni Don Yean Vs Mike Tyson

    MWAKA UMEANZA NA MOVIE MPYA INAKUTANISHA MIAMBA MIWILI DUNIANI DON YEAN MRITHI WA BRUCE LEE NA MKALI WA MASUMBWI DUNIANI MIKE TYSON HII MOVIE UTAIPATA KAMILI KWNYE YOUTUBE MADUKANI BADO KUFIKA
  9. Polisi jamii

    maghufuli wahindi na wachina wamejificha viwandani na magodown

    Hawa watu bado wapo hawajaondoka kama ulivyoagiza anza kufuatilia wanatembea usiku tu ila kutwa nzima wanajificha kwenye magodown ya kampuni kubwa za hapa mjini na mikoani
  10. Polisi jamii

    Je, naweza pata mkopo wa nyumba za NHC kila mwezi nilipe 200,000/=?

    Nataka ya bei nafuu zaidi. Nimesikia kuwa hata siye walalahoi tunaweza kukopeshwa so kwa anayejua tafadhali unijuze process zake..
  11. Polisi jamii

    Mobdroo haifanyi kazi tena

    wadau app hii imekumbwa na majanga gani tena,nakosa movies,mpira na burudani kibao kama una app yeyote nzur unayoijua ambayo haiscratch nisaidieni
  12. Polisi jamii

    wasipoonyesha kwenye taarifa ya habari,basi ntaamini vyombo vya habari vimenunuliwa

    nasema hivi leo nisipoweza kuona kwenye taarifa ya habari saa 2,zomeazomea aliyozomewa mheshimiwa maghufuri leo mbeya basi ntaamini vyombo vya habari vimenunuliwa
  13. Polisi jamii

    Vitu nilivyofuta kwenye simu nimeshindwa kuvirudisha

    baada ya kuroot simu yangu nikafuta divice manager,google play services,radio na file manager sasa nimeunroot simu nimeshdwa kuvirejesha naomba msaada kwa anayejua nimejaribu kurecover napo chenga
Back
Top Bottom