Search results

  1. P

    Elections 2010 Revealed: Timu ya Kuchakachua Matokeo ya Nec ni Hii? (CLOSED: Ushahidi unahitajika)

    Ujumbe umefutwa (nakala ipo), ulikuwa unataja majina ya watu moja kwa moja bila kuwa na ushahidi wa wazi. JF HAIPO kumchafua mtu bila kuwa na uthibitisho wa kauli. Mwanzisha hoja akija na ushahidi tutaendeleza mjadala huu. JF Administration
  2. P

    Marafiki wa mahakama; rufaa ya mgombea binafsi

    Watanzania kwa ujumla wetu tunasubiri kwa hamu kubwa hukumu ya rufaa iliyokatwa na serikali kuhusu mgombea binafsi. Nampongeza sana mhe jaji mkuu Augustino Ramadhani kwa namna alivyoshtukia janja ya CCM kutaka kupoteza muda ili kesi ichelewe kusikilizwa hivyo suala la mgombea binafsi kutofikia...
  3. P

    The Rise and Fall of Augustine Lyatonga Mrema

    Nawaunga mkono CHADEMA kwa hatua yao ya kuamua kujitoa kwenye muungano wa kinafiki wa kambi ya upinzani. CCM imepandikiza mamluki wa kutosha kwenye vyama vya upinzani hili limethibitishwa pia na Mhe Tendwa ambaye ni msajiri wa vyama vya siasa. Kwa kuwa CHADEMA wamedhamiria kufanya siasa za kweli...
  4. P

Back
Top Bottom