Search results

  1. C

    Naomba kujuzwa pIkipiki nzuri kwa bajeti ya 3.2 Mil hadi 3.5mil

    Habari wanajukwaa naomba kufaham pikipiki nzuri mpya kwa matumizi binafsi ya kwenda ofisini na mizunguko ya kawaida weekend. Hasa pkpk za kijapan ambazo nadhani ni durable bajeti yangu ni 3.2-3.5 million. Karibuni kwa mani yenu.
  2. C

    Fundi mzuri wa laptop (Hardware na software )

    Habarini wakuu Naomba kujua fundi mzuri na wa kuaminika wa PC Kwa Dsm upande wa hardware na software hasa maeneo Tandika au Temeke ikishindikana maeneo Hayo basi kokote ndani ya Dsm Nawasilisha
  3. C

    Msaada simu inapata joto

    Habari wakuu, Nina simu ya mtumba nilinunua kama wiki tatu Sasa ila ina mtindo wa kupata joto nikiwasha data kidogo au nikiunga Hotspot na pc au hata niwasha baadhi ya apps. Cha ajabu naweza play audio usiku kucha na isipate joto au naweza ongea na mtu Muda mrefu still isipate joto Aina ya...
  4. C

    Mwenye link niweze dowload strikeback series season ya 1 hadi ya 5

    Tafadhali wakuu naomba link ya kupakua hiyo series nimecheki 02tvseries imeanzia season ya 6 so naomba kuanzia 1-5 tuendelee kujichimbia nano vizuri
  5. C

    Msaada wa sehemu ya kuprint vitabu

    Habari wanajukwaa Nina soft copy ya vitabu kadhaa vya taaluma yangu naomba kuuliza sehemu ambayo naweza print baadhi ya hivyo vitabu niwe na hard copy na gharama yake pia kwa Dsm....Nawasilisha kwa msaada
  6. C

    Natafuta ub macho body lotion tafadhali

    Habar zena wakuu Yeyote mwenye kujua duka kwa Dsm naweza pata body lotion ya ub mach
  7. C

    Tab E

    Habar wakuu Naomba mnifahamishe cha kufanya Nina Tab E Model no SM T-561 Android version 4.4.4 kuna baadhi ya app nikiweka inaniambia not optimized to your device au not compatible...naomba mnifahamishe natatua vp tatizo hili wadau wa teknolojia
  8. C

    Natafuta mke wa kumuoa

    Habari wanajukwaa Natafuta mwanamke wa kumuoa Umri wangu ni miaka 30(Hìi ni serious jamani)...kwa alie tayari kwa chochote anachotaka kufaham kutoka kwangu...waweza nitumia text (DM)
  9. C

    Msaada

    Habar zenu wakuu Naomba msaada hivi karibuni nimenunua Home theatre ya mtumba aina ya LG sema nimekosa waya wa fm antenna wapi naweza kupata nimejaribu kwa mafundi nimekosa...nipo DSm
  10. C

    Msaada: Sipati rangi nzuri ya picha channel zote kwenye TV yangu

    Habari wakuu. Nimennunua Tv ya Homebase na king'amuzi cha startimes sasa sipati rangi nzuri ya picha channel zote naomba kujua tatizo ni tv au king'amuzi King'amuzi ni kile cha antena ya ndani Naombeni msaada jamani kama nakosea kuset au la au kama ni tv kesho niirudishe.
  11. C

    Msaada

    Habari wanatekinolojia Naomba kufahamishwa namna ya kuondoa baadhi ya application ambazo zimekuja na simu (built in apps) mf facebook na zingine kwani naona zinachukua nafasi wakati sijawahi hata kuzitumia Natumia simu aina ya samsung galaxy grand prime+
  12. C

    samsung budget ya 300000

    Habar wana tekinolojia naomba msaada juu uwezekano wa kupata simu ya samsum mpya original kwa shillingi laki tatu tu mfano samsung j5 au S4 au note3 au yeyote yeyote yenye angalau kioo kikubwa kidogo
  13. C

    Msaada wanateknolojia

    Heshima kwenu wakuu Nina simu yangu aina ya Tecno M3 Sasa takribani siku kadhaa sasa kila nikiiwasha inaishia kuandika tecno tu basi haiendelei zaidi ya hapo nikizima haizimi hadi nitoe betri ila nikiiwasha ndo kama ivo inaishia kuandika tecno kutwa nzimz..Msaada wenu Tafadhali
  14. C

    Msaada; site ya kudownload vet and medical books

    Habari wakuu Naomba mnisaidie site ambayo nitaweza kudownload vet books mf. natafuta kitabu kinachoitwa veterinary parasitology by MA.Taylor,RL.Cool,RL.Wall kwani nimejitahidi binafsi kutafuta google nimekosa free one naambiwa ninunue amazon hayo madollari mimi sina.... Najua kwenye wengi...
  15. C

    Msaada wa softcopy ya kitabu cha Veterinary parasitology fourth edition

    Habari wakuu Naomba mwenye softcopy ya kitabu cha veterinary parasitology fourth editon by MA.Taylor RL.Cool RL.Wall Nimejaribu kutafuta mtandaoni nimeshindwa kupata free copy vinginevyo ununue Amazon so plz mwenye hiyo softcopy anisaidie au labda site ambayo naweza pata freedownload ya...
  16. C

    Msaada:Insufficient storage

    Habar wakuu simu yangu ya tecno M3 Kila nikitaka kuinsall app inanipa ujumbe wa insufficient storage japo SD ina free space kama 2GB Msaada tafadhali
  17. C

    Msaada: Site ya kudownload series

    Habari wakuu naomba kujua site ninayoweza pata series...naitafuta sana series ya rome kuanzia season 2
  18. C

    Pesa ya field vipi mbona kimya

    Hbr wakuu yeyote mwenye taarifa juu ya hii pesa ya mafunzo kwa vitendo(Field practical allowance)...ambayo serikali ilisema itatoa kwa awamu mbili lakini awamu ya pili ya pesa hizo haina hata dalili na field tunaaelekea kumaliza wengine next week...sijui hata kama swala lenyewe linakumbukwa na...
  19. C

    Pesa ya Field mwaka huu imechelewa sana

    Bodi ya mikopo ilisema field practical isogezwe mbele kwa wiki mbili kuanzia tarehe 25.07.2016 na wanufaika wataingiziwa pesa hizo wakiwa nyumbani ili ziwawezeshe kwenda field. La kushangaza hadi jioni hii ya jmosi hakuna pesa yeyote sasa sijui dhamira ya bodi ya mikopo ni nini. Daaaah...
  20. C

    Msaada: Nawezaje kupata free licence ya photoshop CS6

    Habari wana teknolojia jamani naombeni msaada nimedownload adobe photoshop CS6 kuna licence key imekuja nimejaribu kuiweka nimeambiwa inatumika....so namna gani wadau naweza pata free licence key ya Adobe photoshop CS6 Natanguliza shukrani
Back
Top Bottom