Search results

  1. S

    Maandamano ya CHADEMA Jijini Mwanza

    Maandamano ni mojawapo ya shughuli kama kujenga barabara, kwani ujumbe utakaotolewa na waheshimiwa ktk hotuba ya leo utaihamasisha serkali ilioko madarakani kubadilika au kufanya vizuri ktk utawala wake.
  2. S

    Kwanini Sisi Wakurya Ni Matajiri

    Hawa jamaa ni matairii kwa sababu bila kuchacharika ktk utafutaji hawezi oa wake wengi
  3. S

    Elections 2010 Hivi kweli Watanzania hawataki kujenga nyumba bora kwa bidhaa bei poa?

    Wengi wa watanzania hawajazoea ahadi kama alizotoa dr slaa , wanafikiri anasema uongo.wao wanataka hongo ya papo kwa papo. T-shirt, kofia, shs mia tano . Basi hakuna kingeni, wacha tuendelee kulalia ngozi.
  4. S

    Elections 2010 Majimbo ambayo yamechukuliwa na upinzani uchaguzi mkuu 2010

    Pamoja na kuchakachua, mambo ni mazuri sana. Tuendelee kumshukuru mwenyezi mungu atuongezee wengine tena
  5. S

    CONFIRMED: Halima Mdee wins Kawe Constituency

    Kuliko kuipigia ccm kura mara mia nisipige kura maisha yangu yote
  6. S

    CONFIRMED: Halima Mdee wins Kawe Constituency

    Hivi hii serkali ya ccm na tume yake hawana aibu kwa mwenyezi mungu kuchelewesha matokeo kwa zaidi ya siku mbili eti kwa sababu mgombea wa ccm ameshindwa,. Inasikitisha sana..........
  7. S

    Elections 2010 Mambo 5 atayofanya Mh Slaa siku 30 baada ya kuwa Rais.

    Watanzania wengi sio kuwa hatuna elimu tatizo mi ufinyu wa kuelewa, kama huyu mwenzetu naona bado yupo karne ya 18. Najuta kuzaliwa tanzania.
  8. S

    Elections 2010 Ahadi za Slaa hazitekelezeki!

    Namsikitikia anayekejeli ahadi za dr slaa, kwa miaka 50 ya ccm tuliahidiwa mengi lakini hayakutekelezwa. Wacha dr apate wajukuu wetu wasome bure,na wananchi wetu waache kujenga nyumba za miti. Watoto wako kasomeshe nje ya nchi.
  9. S

    Kwanini Prof. Baregu amenyimwa kazi UDSM?

    inasikitisha sana kuona viongozi wetu hawajakomaa kisiasa, itafika wakati watakuwa wanajutia wanayo fanya.
  10. S

    Selelii awazima Lowassa na Rostam

    kama tume inaweza kubaini kuna tatizo halafu serkali haichukui hatua, sioni sababu ya kuendelea kuundwa tume kila kukicha. hizo pesa zinazolipwa kwa waheshimiwa wa tume nafuu wakanunue madawati ya wanafunzi wanokalia ndoo au wanaosoma wakiwa wamekaa chini.huu ni ubabaishaji katika serkali hii ya...
  11. S

    Ndege za kampuni ya uwindaji _ ortelo zinaingiza watalii loliondo kinyume cha sheria

    Ninavyofahamu, ndege zote za hawa waheshimiwa siku zote fomalities za customs na immigration wanafanyia uwanja wa kimataifa kia,kwa ajili yakwenda kufanya shughuli za uwindaji loliondo na wakati huo huo hizo ndege huwa na vibali maalumu vinavyotolewa na Tcaa kwa ajili ya kuingia na kutoka Sio...
  12. S

    Maamuzi ya NEC ya CCM na Hatima ya Spika Sitta

    nimesikia asubuhi hii gazeti moja nimeandika kwamba mh Sita anatarajiwa kupewa tuzo kwa kuongoza vikao vya bunge vyema,je hilo nalo halitaleta maafa kwa chama cha ccm ?
  13. S

    Elections 2010 Malecela ahofia CCM kuwa katika hali ngumu 2010

    huyu mzee amechanganyikia kuhusu mbinu za uchaguzi. ccm haina mbinu mpya zaidi ya kutumai jeshi la polisi , kuhonga kanga ,tshirt na kofia.
  14. S

    Tumeuza Uhuru Wetu na Hazina yetu tumeifuja!

    Rev,maoni yako ni mazuri sana, watanzania angalau 20% wangeweza kuyasoma kungekuwa na mabadiliko lakini sasa yanaishia kwa watanzania 0.1%.pole sana.
  15. S

    Elections 2010 Askofu Mokiwa: UCHAGUZI 2010 UTAKUWA MGUMU

    Hongera Mh Mokiwa,tunaomba viongozi wengine wa Kikristo na Kiislamu mfuate nyayo kukemea ufisadi na mambo mengine maovu yanayofanyika katika nchi hii.
  16. S

    Mandela's 91st Birthday

    Inafurahisha.Tuendelee kumuombea Mzee Madiba kwa Mwenyezi Mungu afikishe miaka 100 na zaidi.
Back
Top Bottom