Search results

  1. Aadilu

    Ulaji wa mafuta wa Crown v6 2.5l 12km/l

    Niwaambie sasa, niliwahi fanya research ndogo kuhusu gari aina ya Toyota Progress Engine CC 2400, nilichofanya baada ya kukabidhiwa tu na Muuzaji nikaipiga full Tank lita around 60, nikatembea nayo muda wa siku tatu then nikarud nayo petrol station nikajaza tena full tank nikapiga hesabu lita...
  2. Aadilu

    Mwanaume asiyejitambua wa kazi gani?

    Hapo ndo mnapochemka, kazi gani hastahili kufanya Graduate?
  3. Aadilu

    Tuache kuita magari ya zamani New Model

    Et Toyota Noah ya mwka 2004 inaitwa New model kweli? Mambo ya ajabu haya
  4. Aadilu

    Msaada:Nini cha kufanya unaponunua gari used kutoka japan

    We anza tu kuendesha, Gari limekaguliwa, limeshafanyiwa service tayari
  5. Aadilu

    Njia rahisi ya kutuma Fedha kutoka South Africa kuja Tanzania

    Habari za majukumu wadau. Niwaulize, Ni ipi njia rahisi ya kutuma fedha kutoka South Africa kuja Tanzania? Imenilazimu kuuliza hivi kwa sababu kulingana na shughuli nizifanyazo inanilazimu kupokea kiasi fulani cha fedha mara kwa mara kutoka kwa wadau wenzangu wanaoishi South Africa...
  6. Aadilu

    Njia rahisi ya kutuma Fedha kutoka South kuja Tanzania

    Habari za majukumu wadau. Niwaulize, Ni ipi njia rahisi ya kutuma fedha kutoka South Africa kuja Tanzania? Imenilazimu kuuliza hivi kwa sababu kulingana na shughuli nizifanyazo inanilazimu kupokea kiasi fulani cha fedha mara kwa mara kutoka kwa wadau wenzangu wanaoishi South Africa. Nimejaribu...
  7. Aadilu

    Mbeya: Julius Joseph Isambi(35) aliyebaka mtoto wa mwaka mmoja, afungwa maisha

    Jela watu huwa hawaozi, Namkaribisha sana Gerezani
  8. Aadilu

    Mungu kwanini umeleta baadhi ya watu waje wateseke?

    Dunia ni sehemu ya Mitihani, kila mtu ana Mitihani yake, ukifaulu mitihani iliyopo duniani malipo yake makubwa, mazuri na ya milele Siku ya mwisho, ukifeli adhabu ni kubwa pia.....Tujitahidi kufaulu mitihani yeyote inayotufika
  9. Aadilu

    NMB Tanzania Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Nature ya kazi yangu napata Ration Allowance kila katikati ya Mwezi. Mwezi uliopita nilikopa Salary Advance kiasi cha sh. 100,000 ajabu ipoingia Allowence walikata mkopo wao. Sasa nachojiuliza nilikopa salary advance au Allowence advance? Ina maana kumbe ile riba ya 6% ni kwa wiki 2, Hii ina...
  10. Aadilu

    VW Touareg third generation!

    Unaposema 7.1 Dolby Sorround una maana Audio System 1 lkn ina Speaker 7, naishangaa hiyo speaker 14 imetoka wapi?
  11. Aadilu

    Kuchamba kwa maji ni uchafu uliopitiliza na hatari kwa afya

    Kama wewe ni KE, Ninyi ndo aina ya wanawake wale ambao wakivua nguo ya ndani chumba kizima hakikaliki kwa Harufu
  12. Aadilu

    Track kumi bora za muda wote za rapper Biggie Small.

    Sijaiona "One more chance" aliyoshirikiana na Mwanadada Faith Evance
  13. Aadilu

    Hakuna msamaha wa Rais wa kifungo cha nje, Magereza jitafakarini

    Hebu rudia tena kuisoma hiyo barua...
  14. Aadilu

    Kamishna Jenerali Magereza: Joseph Mbilinyi katolewa gerezani kwa msamaha wa Rais

    Hakutolewa mlango wa nyuma, Gereza kwa kawaida lina mlango mmoja tu. Alitolewa kupitia njia nyingine inayokatisha kambini na wala sio inayoelekea barabara kuu
  15. Aadilu

    Sugu hakutoka kwa msamaha wa Rais, katumikia siku 105 sawa na zaidi ya theluthi mbili ya kifungo chake cha miezi mitano

    Siku za kukaa mahabusu hazihesabiwi katika kifungo, Naomba ukubaliane na hao wanaosema Sugu ametokankwa msamaha wa Mtukufu Raisi
  16. Aadilu

    Natafuta turntable (record player)

    Kuna watu wanazo, hawajaona hili Tangazo labda kiongozi unisaidie kuulizia,
  17. Aadilu

    Natafuta turntable (record player)

    Nakumbushia Tangazo langu hili, Bado nahitaji hii kitu
  18. Aadilu

    Uongozi wa Magereza Mbeya waeleza sababu za kumzuia Mbunge Joseph Haule 'Prof. Jay' kumuona Sugu gerezani

    Mfungwa/Mahabusu wa kike analindwa na askari wa kike hakuna connection kati ya Mfungwa/Mahabusu wa kike na askari wa kiume.....Uje siku moja tukuoneshe tunavyofanya kazi....
  19. Aadilu

    Uongozi wa Magereza Mbeya waeleza sababu za kumzuia Mbunge Joseph Haule 'Prof. Jay' kumuona Sugu gerezani

    Acha kuandika utumbo hapa, una data zozote zinazoonesha mfungwa amepewa mimba na askari wa kawaida achilia mbali Mkuu wa Magereza
Back
Top Bottom