Search results

  1. Metsada

    Kumbe Hadi Huku Poland Wanamjua Rais Magufuli

    Wadau Nimekaa Mahali Fulani Hapa Mtaa wa Poznańska Street Katika Mji wa Warsaw Poland, Yani Wazungu Fulani Nikawaskia Wanazungumzia Tanzania Kwamba Hivi Sasa Ina Rais Mzuri Ambaye Anasimamia Vizuri Uwajibikaji Katika Masuala ya Fedha za Umma na Kuanzisha Elimu Bure. Nikapata Hamu ya...
  2. Metsada

    Liepuke kosa la uhaini dhidi ya Rais lenye adhabu ya kunyongwa hadi kufa

    Kifungu cha 39 cha Sheria ya Kanuni za Adhabu Kinahusu Kosa Kuu (Core Crime) Dhidi ya Rais na Dola ya Tanzania. Ifahamike Kwamba, Rais Akishaapishwa (Uwe Hukumchagua au Ulimchagua), Uwe Unampenda au Humpendi - Yeye ni Kiongozi Mkuu wa Tanzania Ambaye ni Alama na Taswira ya Jamhuri ya Muungano...
Back
Top Bottom