Search results

  1. MmasaiHalisi

    Magufuli awakosha wasanii mlimani city

    Hata birthday ukiwaalika watahudhuria miaka huu
  2. MmasaiHalisi

    Endapo UKAWA wataporwa ushindi na CCM, nini kifanyike?

    Mkikubali serikali 3 tutaingia msituni by captain komba
  3. MmasaiHalisi

    Angalia unafiki wa Profesa Lipumba

    Hizo ni tabia za wanyamwezi na waha
  4. MmasaiHalisi

    Tanzania haitabadilika katika karne hii au ijayo

    Watanzania Wengi upeo wao Wa kufikiri ni Sawa na kuku broiler
  5. MmasaiHalisi

    Naanza kuamini Nyerere alikurupuka kuungana na Zanzibar?

    Sasa inabidi mumueleweshwe sio kumshambulia
  6. MmasaiHalisi

    Tuongee asubuhi: Said Nkumba aunga mkono kura ya wazi

    Huyo jamaa ni mchawi balaaa tabora yote wanamjua karithi kwa baba yake
  7. MmasaiHalisi

    Wapi nitapata Miche Mipapai

    Napenda kufahamu ni wapi hapa dar nitapata miche ya mipapai ya kisasa,ile inayochukua miezi 6 pia napenda kujua changamoto kwenye hiki kilimo cha mapapai
  8. MmasaiHalisi

    Kwa anayeifahamu VW BORA

    ngoja tujiendeshee yeboyebo zetu toyota,ila nasikia spare za audi uk ni bei poa,kazi kwa mfundi wa hapa tz
  9. MmasaiHalisi

    Kwa anayeifahamu VW BORA

    asante sana kwa maoni yenu mimi nahitaji gari ambayo ni durable kwa mazingira ya tanzania kwa kweli toyota nimezichoka
  10. MmasaiHalisi

    Kwa anayeifahamu VW BORA

    asante T cleverly sasa kati ya BMW na AUDI ipi nzuri kwa mazingira ya Tanzania,
  11. MmasaiHalisi

    Kwa anayeifahamu VW BORA

    sasa mbona mnanichanganya je hiyo VW Bora ni mbovu,na je gari za VW ipi ni nzuri kwa matumizi ya huku kwetu Tanzania,pia hiyo Audi hapa Tanzania spare ziko
  12. MmasaiHalisi

    Kwa anayeifahamu VW BORA

    Ni kama hiyo hapo kwenye picha ndio ninayoitaka,nilikuwa nataka nijue ubora wake
  13. MmasaiHalisi

    Pinda akitimuliwa prof.Muhongo akalie kiti

    pinda pamoja na mapungufu yake huwa ana busara sana,ni bora tuendelee nae mpaka 2015
  14. MmasaiHalisi

    Kwa anayeifahamu VW BORA

    kwa yoyote ambae amewahi kuitumia hii gari,naomba anijulishe ubora wake,ulaji wa mafuta pia je mafundi wa Tanzania wanaweza kuzitengeneza hizi gari nimetokea kuzipenda sana,kuhusu spare nimefanya utafiti ughaibuni zinapatikana kwa bei nafuu. Naomba mawazo yenu
  15. MmasaiHalisi

    Spare za VolksWagen

    Je unauzoefu na VW Bora hii gari nimetokea kuependa je spare zake unazo,je ulaji wake wa mafuta ukoje
  16. MmasaiHalisi

    Mahakama Tanzania Mnajidhalilisha

    duuu hii kali magamba hawaishi vituko
  17. MmasaiHalisi

    Ukabila upendeleo mahakama(kitengo cha uhasibu)

    kama kuna mtu ana number ya simu ya Hussein Katanga mtendaji mkuu wa makama au Jaji Mkuu Othman Chande anipe niwajulisha,nadhani hawajui malalamiko haya
  18. MmasaiHalisi

    Ukabila upendeleo mahakama(kitengo cha uhasibu)

    hizi tuhuma ni za kweli kabisa nimefanya uchunguzi wangu nimewahoji baadhi ya watumishi wa mahakama wanasema ni kweli na huyo chief Accountant alikuwa analindwa na Jaji Mtungi kipindi akiwa msajili wa mahakama
  19. MmasaiHalisi

    Ukabila upendeleo mahakama(kitengo cha uhasibu)

    wewe lazima utakuwa mhaya mwenzie,ndio maana unatetea ujinga
Back
Top Bottom