Search results

  1. Quarterpin

    Mr.Blue ft. Ally Kiba - mboga saba official video

    Nimeona sehem kama capetown fishmarket ya Tanzania, Video iko vizuri, tuwasapoti wasanii wetu wa tz, wakifanikiwa hata sis biashara zetu zitafanikiwa direct or indirectly. Big up.
  2. Quarterpin

    Charles Kitwanga, amkabidhi Waziri wa Mambo ya Ndani Mwigulu Nchemba Ofisi Rasmi

    Ni kweli mkuu, kiongozi anaweza kukutoa ktk mamlaka kwa sababu yeyote ile ikiwemo kui please jamii na Contemporary issues zinzoashiria jambo flani, lakin sio jambo la kutolea macho, sijui rasilimali za nchi, sijui wizi, sijui vitu gani. Hii ni nchi ina mambo mengi sana, unaweza kusikia ufisadi...
  3. Quarterpin

    Charles Kitwanga, amkabidhi Waziri wa Mambo ya Ndani Mwigulu Nchemba Ofisi Rasmi

    Ww jamaa unashangaza sana, who should grow up? You condenmed the fired minister on non perfomance ground, i corrected you on how perfomance is determined and assesed, you changed the topic to reason behind his expell, i corrected you again on the legimacy of the same, you still keep on...
  4. Quarterpin

    Kuna vyeo/nafasi huwa sizielewi serikalini

    Hii ni nchi masikin ndo maana kuna kaz zingine ni kama kufumba macho tu. Mm ningekuwa rais wa nchi hii, infact kitu nachojua hakiwezekani, wakulima wenye uwezo wa kuzalisha kuanzia kiasi fulani cha chakula ningewaingiza kwenye payroll, angalau nifidie kiasi kidogo cha control nayowazuia wasiuze...
  5. Quarterpin

    Charles Kitwanga, amkabidhi Waziri wa Mambo ya Ndani Mwigulu Nchemba Ofisi Rasmi

    Basing on public statement issued he was fired on Ndovu ground, any postulations out of these ground are regarded as baseless shit. The prezidaa fired him, and you are nt the prezidnt, convice us as to why we should trust ths street bullshit!
  6. Quarterpin

    Sina kazi, mpenzi wala marafiki, napata mawazo ya kujiua

    Kitendo cha kuandika hayo uliyoandika either ukiwa unamaanisha au unatania ni kudemonstrate upumbavu wa hali ya juu. Mtu na nguvu zako unafikiria kujiua sababu eti huna mpenzi, au rafiki, au eti huna kazi. Unaijua unemployment rate ya Tanzania? manake wale wote wajiue au?
  7. Quarterpin

    Charles Kitwanga, amkabidhi Waziri wa Mambo ya Ndani Mwigulu Nchemba Ofisi Rasmi

    Unless you have reasonable proof to suggest that, the man was personally involved in Lugumi scandal, otherwise trash ths junk of idiocy!
  8. Quarterpin

    Charles Kitwanga, amkabidhi Waziri wa Mambo ya Ndani Mwigulu Nchemba Ofisi Rasmi

    Sio kweli mkuu, competence haipimwi kwa kuangalia media inasema nin kuhusu wewe. Competence inapimwa kwa kuangalia achievement of targets basing on perfomance indicators, tena zaid kwa kuwianisha na resources ulizopewa. Yaliyomkuta yamemkuta, yanaweza kumkuta mtu yeyote, hebu tuache kuwachukia...
  9. Quarterpin

    Watuhumiwa wa mauaji ya Mwanza, Tanga wauawa Dar

    Piga risasi majambaz wote, tumechoka bana. Umakin uwepo tu kujua kuwa ni majambazi wenyewe, hakuna namna nyingine ya kulemba.
  10. Quarterpin

    Askari Polisi (FFU) aliyebaka mwanafunzi Jela miaka 30

    Kama huyu jamaa ni ndugu yako, ukitaka apate unafuu, na hata kesi ikajadiliwe bungeni, wewe jenga mazingira kwamba UKAWA wanasapoti sana hiyo adhabu sababu ya manyanyaso ya polisi, fasta tu utasikia hukumu imeanza kujadiliwa, hahaaa..hahaa hii nchi sometimes raha sana.
  11. Quarterpin

    Dkt. Kimei aeleza jinsi anavyomuogopa Rais Magufuli

    Sifa kubwa ya binadamu ni kutumia nafasi yoyote aliyonayo kwa manufaa yake, rais ni mtu yuko mbali sana, sidhan mtu at individual level unaweza kuwa na mahitaji naye, labda kidogo at institutional level, lakin pia vyombo vipo kwa nin usiende huko? ukiruhusu kila mtu akaenda kutafuta suluhu...
  12. Quarterpin

    maana halisi ya ushamba mzigo

    Mkuu hapo sio ushamba tu, kama hiyo gar inatembea, (na inaonesha hivyo) huyo jamaa amerisk sana maisha yake, na hata anayempiga picha ameshindwa kumwambia. Labda iwe ni edit.
  13. Quarterpin

    Dkt. Kimei aeleza jinsi anavyomuogopa Rais Magufuli

    Aendelee kumwogopa hivyo hivyo, crdb ni benki kubwa sana inayoweza kuathir maisha ya watanzania direct or indrect, akijenga urafiki anaweza kufanya lobbying ambayo baadae inaweza kuleta shida. Nadhan ni sawa kila mtu ikulu aione kama kituo cha polisi.
  14. Quarterpin

    Walionunua hisa za DSE kurudishiwa fedha

    Mm binafsi huwa sikubaliani na hii dhana ya self listing, hasa kwa hapa kwetu. Najua wamekopi kutoka Nairobi Stock exch na Joh'burg sababu tu nadhan wanaweza kuwa na matatizo ya fedha. Hiv DSE ndo wanasimamia kama makampuni yamefuata taratibu ili kuwalinda wananchi na upotevu wa mitaj, halafu...
  15. Quarterpin

    Magufuli afanya mabadiliko ya Wakuu wa Mikoa, Wilaya. Mulongo atemwa, Polepole ahamishiwa Ubungo..

    Hahaa..hahaa nimeikubali hii list, lazima waje watu wapya, pengine labda watasaidia kubadili matatizo tuliyonayo, saluti kwako Magu naona ni full kata funua, piga chin watu 100 wa zamani, na zaid yule jamaa muongo wa kwa kina mura.
  16. Quarterpin

    Hii kauli ya Magufuli "Polisi ueni Majambazi", imenitisha sana

    Hapa ndo napomkubali huyu mzee, majambazi piga risasi baasi, hakuna kulemba. Mambo ya kusubiri sijui haki ndo maana tunakuwa hatutoki. Probability ya kuwa mtu mwenye silaha sio jambazi ni ndogo sana, pia probability ya kusingiziwa kesi nazo sio nyingi.
  17. Quarterpin

    Naibu Spika ampa onyo kali Anatropia Theonest kwa kumvua baraghashia Goodluck Mlinga

    Sis watanzania hatuna akili kabisa, hiyo nayo ni issue ya kudiscuss kweli? huwez kumvua kofia mtu usiyemfahamu, hawa watakuwa walikuwa na utani flani. Kuna haja ya kureview hiz Phd za watanzania, manake karibu wote ni zero kabisa.
  18. Quarterpin

    Kinachoendelea Uingereza ni dhahiri Mwl Nyerere ataendelea kuishi

    Kwanza hilo uwezo wa 48% ww ndo umeusema, mm niliongea general tu kwamba hawa jamaa wakifanya jambo, wanakuwa wameona mbele sana. Siwez kujibu kitu ambacho sikukisema, rejea post zangu ushahid uko humu.
  19. Quarterpin

    Kinachoendelea Uingereza ni dhahiri Mwl Nyerere ataendelea kuishi

    Mkuu haya mambo bana sio hata vizur kuendelea kuumizana vichwa, itoshe tu kujua kuwa wazungu wako mbali sana, wanajua mambo mengi mno, inakubid uwe extra ordinary genius kujua wanachofanya wamekusudia nin. Hiv hiv tu utaimba mapambio ya nyerere wee mpaka basi, ila ukweli ni kwamba dunia hii watu...
  20. Quarterpin

    Kinachoendelea Uingereza ni dhahiri Mwl Nyerere ataendelea kuishi

    Hawa ni wazungu, Waingereza waliitawala hii dunia, ni watu wana akili nyingi sana, usidhan tu mtu wa kawaida particulary from Africa hasa Tanzania unaweza kujua kiundani kwa nin wamejitoa, watu wanaangalia infinity years ahead. Halafu jambo jingine usilojua ni kwamba Uingereza ina uzoefu wa hizi...
Back
Top Bottom