Search results

  1. H

    Siungi mkono mgomo wa madaktari...

    Kwanini Madoctor wanakubali kazi ya kuwa madoctor? Ni upendo wao kwa binadamu wenzao ndiyo maana wamechagua hii kazi. Madoctors hawatakiwi kuwa na fikra za pesa kwanza. Madoctors wanatakiwa kuwa na Integrity ya kazi yao kwanza baadaye ndiyo maslahi yao. Madoctors hawatakiwi kuwa na mgomo. Kwa...
  2. H

    Superbowl XLVI (2012)

    Eli Manning vs Tom Brady!! Msinikatie umeme jamani leo!! nimeamka mapema kuangalia hii game.
  3. H

    Superbowl XLVI (2012)

    Game of the Year Super Bowl XLVI- NBC Sports
  4. H

    Hivi JK alijua anaongea na kundi gani pale Davos?

    Unajua siyo easy kuzungumzia Ukoloni wa Wazungu sasa hivi. JK aliweza kuwaambia ukweli, matatizo yaliyosababishwa na Ukoloni. Mpaka leo tuna surfer kwa sababu hiyo. HATUTASAHAU UKOLONI WA WAZUNGU. Matatizo ya Afrika yamechangiwa sana na utumwa. Ndiyo maana mpaka leo tupo nyuma kimaendeleo. Na...
  5. H

    Hivi JK alijua anaongea na kundi gani pale Davos?

    Kuna aina nyingi ya kuzungumza. JK kazungumza vile anavyoona yeye, na wewe unapinga kwa sababu unataka azungumze vile unavyoona wewe. Lakini muhimu ni message. Na message imefika hata Mr. Brown alitikisa kichwa kwa huzuni kusikia matatizo yaliyoachwa na Wakoloni. Hiyo inamaanisha message ilifika.
  6. H

    Hivi JK alijua anaongea na kundi gani pale Davos?

    Unaona hapo, unasema ungekuwa wewe. Kila mtu anazungumza kutokana na kipaji chake cha uzungumzaji. Message pale, ilikuwa waakumbushe Wazungu kwa Mabaya yao, halafu ongezea kuwaelezea vikwazo vinavyoikumba Afrika na TZ. Waeleze Wazungu kwanini wanataka kuwekeza Afrika na TZ, kwa maslahi yao tu na...
  7. H

    Hivi JK alijua anaongea na kundi gani pale Davos?

    Sasa wewe unataka azungumze vile unavyoona wewe kwa upande wako. Na wewe ukizungumza hivyo kwenye public kuna mtu mwingine atasema inatakiwa useme hivi. JK kazungumza kwa kutumia kwa uwezo wake wa kuzungumza. Kila mtu ana kipaji chake, na ujuzi wake ktk kuzungumza. Message aliyokuwa anasema JK...
  8. H

    Hivi JK alijua anaongea na kundi gani pale Davos?

    Kwani Waziri Mkuu yupo wapi?
  9. H

    Hivi JK alijua anaongea na kundi gani pale Davos?

    Usijadili points ya JK kutokana na Kiingereza chake. Point aliyokuwa anaiweka ni tunahitaji Walimu, na jinsi gani tutaweza kutengeneza Walimu kwa maana ya knowledge. Hiyo ni point muhimu lakini wewe unaangalia jinsi alivyotumia hili neno. English ni Second Language kwa MTZ. Tumpe credit.
  10. H

    Hivi JK alijua anaongea na kundi gani pale Davos?

    Ukoloni wa nchi za Asia na Afrika ni tofauti kubwa sana. Afrika tulikuwa Watumwa!! Ukiongea na Wazungu lazima uwaambie mabaya waliyoyafanya kwa sababu HATUTASAHAU UTUMWA. Tuangalie points alizozungumza na experience yake. JK anaonekana ni Honest person kwa vile alivyokuwa anazungumza...
  11. H

    Hivi JK alijua anaongea na kundi gani pale Davos?

    JK kazungumza vizuri, ila nyie mnaangalia zaidi uwezo wa kuzungumza, na utumiaji wa maneno ya kiingereza. Point alizokuwa anatoa JK zinamake sense, kazungumzi kwa kutumia uwezo wake binafis, na experience yake aliyokuwa nayo. Sasa nyie mnapinga hoja gani ambayo JK alizungumza ambayo haina...
  12. H

    Utawala wa jk-wawakera wazungu !

    Hivi kuna nchi isiyo omba omba? nitajie hiyo nchi. Ebu acheni ubishi wa kijinga. JK kazungumza point ambazo hata Brown mwenyewe alikuwa anagree.
  13. H

    Hivi JK alijua anaongea na kundi gani pale Davos?

    Global Economic FurumDavos 2012 - Africa - From Transition to Transformation - YouTube
  14. H

    Hivi JK alijua anaongea na kundi gani pale Davos?

    Nimefurahishwa na JK speech in Davos. Pamoja na kwamba speech yake haikuwa kama watu wengine wanavyotaka wao; the truth message ilipelekwa. Haya maoni yangu ya speech. Rais wa S.Afrika, alizungumza, lakini hakuwa na details, examples kutoka ktk nchi yake. Hakueleza ukweli matatizo ya nchi yake...
  15. H

    What Wazungu think about our president and is all this true? if yes Where are we Tanzanian's

    Nimesoma hizo comments na hizo comments hazikuandikwa na Wazungu. Hizo comment zimeandikwa na Wakenya na WTZ. Kiingereza kilichotumika ktk hizo comments ni cha KIAFRIKA zaidi. Jamani, acheni propaganda za kijinga.
  16. H

    Utawala wa jk-wawakera wazungu !

    Nimesoma hizo comments na hizo comments hazikuandikwa na Wazungu. Hizo comment zimeandikwa na Wakenya na WTZ. Kiingereza kilichotumika ktk hizo comments ni cha KIAFRIKA zaidi. Jamani, acheni propaganda za kijinga.
  17. H

    U.S. Warns Israel on Strike

    U.S. Warns Israel on Strike WASHINGTON—U.S. defense leaders are increasingly concerned that Israel is preparing to take military action against Iran, over U.S. objections, and have stepped up contingency planning to safeguard U.S. facilities in the region in case of a conflict.Associated...
  18. H

    Muslim Brothers Behind Tim Tebow Movement

    Muslim brothers behind Tim Tebow Movement10:01 PM, Jan 9, 2012 | 12 comments - A A A + Written byEric Kahnert FILED UNDER Denver Broncos Home Local News Sports As Seen on 9NEWS 9NEWS Evenings NFL Don't Miss DENVER - A giant electronic billboard that went up off 58th...
  19. H

    Magufuli, Jiuzulu kwa hiari yako

    Naona sasa Wabunge wote wameshaanza kuelezea ukweli kuhusu jambo hili la kuongezeka kwa nauli. Ukweli unaanza kuja. Mpango maalum wa Serikali kuanza kuhamisha watu maskini Kigamboni umeshajulikana. Magufuli bora Ujiuzulu kabla ya kashfa yako kusambaa nchi nzima.
  20. H

    Chadema, CUF fanyeni Primary Election kwa ajili ya Kumchagua Rais 2015

    Nimeielewa point yako. Even though, CUF ni chama cha ZNZ tu, still, bado is not too late for them, wanaweza kuimplement hii strategy kuchange. Issue siyo kutawala tu, bali ni kujenga misingi bora ya demokrasia kwa nchi yetu.
Back
Top Bottom