Search results

  1. C

    HISIA ZANGU.................nini sheria wakati uliopo na uliopita

    wajukuu zangu nipo mbele ya tv naangalia. ni mengi yamezungumzwa na mengi tumeyaona. nimepata jambo moja ambalo nafikiri ndilo la msingi sana pamoja na mengine mengi yaaliyojitokeza....NINI MAANA YA SHERIA KATIKA WAKATI ULIOPO NA ILE YA WAKATI ULIOPITA. swali langu nimeuliza hasa nikiangalia...
  2. C

    Nani huyu Ridhiwani Kikwete?

    nimewasoma wote na michango yenu mizuri. ipo michango ya wajukuu zangu ambao nakubaliana nao na mengine hii naona imejaa chuki na kutotaka kukubali ukweli wa haya unayoyaona.niwapongeze tu kuwa vidole na muda wa kuandika munao isipokuwa tusitumie lugha ya kashifa na matusi katika kujibu au...
  3. C

    Nani huyu Ridhiwani Kikwete?

    habari za leo wajukuu zangu? ni kwa kipindi kirefu kweli nimeshuhudia huu mjadala juu ya huyu kijana mwenzenu! kama ilivyo ada yangu, leo nimeamua nijitokeze tena; pamoja na mambo mengine mengi ambayo yametokea hapa karibuni na mwaka huu mpya leo nataka nieleze kwa ufupi juu ya huyu kijana na...
  4. C

    Zitto, Arfi, Shibuda kujadiliwa Kamati Kuu...

    watu wote waliokataa kuingia bungeni wanaumwa. tumewahi kaa chini na kujiuliza
  5. C

    Kamati kuu CCM yamtosa Hussein Bashe, adaiwa si raia wa Tanzania

    hali zenu wajukuu zangu na wana jamii wenzangu. kwanza tupeane pole kwa yote yaliyojiri dodoma na pia tupongezane kwa matokeo. mie babu yenu mambo hayakuwa mazuri kwa kuwa waliniangusha mapema na kwa kuwa hazikutosha nikaona kwa fursa ninayopewa na katiba ya nchi na chama ccm nikakata rufaa...
  6. C

    HOTUBA ya Seif Sharrif na Majibu yake kuhusu Maridhiano Zanzibar!

    hali zenu, wajukuu wangu... kwa takribani muda mrefu sana, nimekuwa natumia nafasi na muda wangu kujibu hoja au kuandika kama sio kutia nguvu katika hoja ambazo mie binafsi nahisi zinanigusa. kwa takribani muda wa mwezi mmoja sasa, suala la mgongano wa kimawazo juu ya KARUME NA HATIMA YA...
  7. C

    Kikwete kuwa Gorbachev wetu?

    wajukuu zangu, mie naungana na nyie juu ya ulinzi wa katiba yetu na wazo la kuwa makini juu ya utawala wa kikatiba maana huu ndiyo msingi wa muungano wa nchi hizi mbili. manufaa ya muungano, hauwezi yagusa kwa mkono hasa ukiangalia juu ya nini ambacho wewe kama mtanzania unapata haswa kwa...
  8. C

    Wanaosababisha mgongano CCM kung'olewa

    nasoma kati ya sentensi zenu, nagundua ni hisia za ndani ambazo mtu anaweza toa juu ya mustakabalai wa maisha yake ndani ya eneo lake na jinsi gani angependa mammbo yaende. huu ni mtazamo thabiti na kwamba sina kipingamizi nao. ni mtazamo ambao kwa kweli ingekuwa katika nchi zile ambao...
  9. C

    Kikwete kuwa Gorbachev wetu?

    hali zenu, wajukuu wangu, kwanza kabisa tutulie ikiwa sehemu ya kumuombea mjukuu wangu, wa jina la kipenzi changu chief swetu.swetu fundikira mwanangu nenda kapumzike kwa amani ....................maana ukifungua masikia ni mengi yanasemwa haswa juu ya chanzo cha kifo chako.mungu wa baba yao...
  10. C

    Mtoto wa Kikwete ashinda kwa kishindo

    assalam aleykum baraza........... naomba ninukuu maneno haya kwanza....hizi ni chuki na majambo ambayo kwangu mm sioni kama yana tija yeyote. hebu tuangalie wajukuu zangu haya mambo yametokea wapi na tujiulize kwa ufasaha. suala la watoto wa vigogo kutaka madaraka sio hapa tu tanzania ni...
  11. C

    Mtoto wa Kikwete ashinda kwa kishindo

    wajukuu zangu babu yenu nimerudi. kwanza nipeni pole kwa maradhi ya uzee yaliyonipata maana imekuwa tabu kila ninaposikia mambo hayaendi vizuri kwa kuwa ENZI ZA MWALIMU................watu walikuwa hawasemi sana tofauti na siku hizi. wenyewe mnaita demokrasia. na kwa kuwa pumzi nimejaaliwa ngoja...
  12. C

    Uchaguzi wa Kiteto: Taarifa mbalimbali

    hallo wajukuu zangu.......... hali zenu, babu yenu nimerudi tena.kwanza niwape pole wajukuu zangu waliokamatwa kwa kuonekana wanaikandamiza serikali. mie nawaambia pole ila msirudi nyuma kwani mna kitu ambacho nafikiri hamkijui...ujasiri.hongereni sana. pili niwapongeze ccm kwa ushindi...
  13. C

    Lowassa au Mwandosya kuwa Rais wa Tanzania 2015?

    hallo wajukuu zangu, naomba niwaambie ni mapema sana kuwa na discussion za namna hii.....mnakosea. ni mawazo yangu..haya waachiwe watu wa ccm na sio wananchi wote tuyajadili. nikiangalia naona hisia tofauti. nisingependa kujiingiza ila naomba kutoa rai...mjadala wa namna hii hautufai.
  14. C

    Matatizo ya Tanzania na mapendekezo ya wana JamiiForums

    HALI YAKO KIJANA WANGU. NNIMI BABU YAKO MASANJA WA MAJEBELE. HUKU MAGU NI WAZIMA NA HATA WALE WADOGO ZAKO WA MISUNGWI. LEO NILIKUWA NASOMA FORUM YETU NIMEONA MAMBO AMBAYO YAMENISHANGAZA KIASI CHA KUSHINDWA KUAMINI KAMA NI WEWE ULIYEANDIKA. HEBU NIAMBIE MJUKUU WANGU. NI TANZANIA GANI...
  15. C

    Zimbabwe: The turmoil, reconciliation, and the future!

    HALI YAKO MJUKUU WANGU MPINZANI WA WANA MLENGO WA KIMAPINDUZI. NAOMBA NITUMIE SALAMU MAMBO VIPI...... SAMAHANI KAMA NITAKUWA NAKUCHOSHA , JE HAYA NDIYO ULIYOKUWA UNATAKA SEMA AU VIPI? MIE NAKUAMBIA NAOMBA NA WEWE UKAFANYE SHULE KIDOGO. MAANA NAJUA MDOGO WANGU HAUJUI HATA INTEREST...
  16. C

    Zimbabwe: The turmoil, reconciliation, and the future!

    Chief Ihunyo, Salamu Toka Kwa Wasukuma Na Amani Ya Masanja Na Majebele Iwe Nawe. Nimeguswa Na Maandishi Yako! Nini Zaidi Ya Habari, Mrithi Wa Kiti.
  17. C

    Zimbabwe: The turmoil, reconciliation, and the future!

    HALI YAKO MWANANGU FREEMAN, NAFIKIRI HAUJAMBO NA UNAENDELEA VIZURI NA MASOMO YAKO.KWA KIFUPI NI YAPATA WIKI SASATOKA NIMEREJEA NYUMBANI TOKA UINGEREZA NILIPOKUWA MATIBABUNI. KIJANA WANGU NAONA UNAVYOPAMBANA NA KUJITAIDI KUONYESHA KWAMBA WEWE HAUKUBALIANI NA EFFORT ZOZOZTE ZINAZOFANYWA NA...
  18. C

    Mbowe na tafakuri zake...

    HALI YAKO, BWANA KAKA! NAONA MZEE MAMO YAMEKUWA MAMBO LEO. KATIKA UWANJA WA HENGA LEO AMEINGIA KIJARUBA.....KWA WATANI WANGU WA PWANI. VVIPI KAKA MWANAKIJIJI? IMEKUWAJE TENA..... NAKUMBUKA KUNA SIKU , BWANA MMOJA JINA NIMELISAHAU ALIZUNGUMZIA KWAMBA WATU WENGI WANATAKA KUJUA HABARI ZA...
  19. C

    Huyu ndiye ‘the real’ Kikwete!

    Dr. Who.....mwanangu Hali Yako? Nafikrii Unaendelea Vizuri.hofu Ilikuwa Katika Afya Yangu Lakini Mungu Amenijalia Uzima Namshukuru Sana Yeye Mungu Wa Babu Yangu Majebele 1. Swali Lako Ni Zuri Hasa Ukiangalia Mambo Aliyonayo Huyu Mwanangu Jakaya.kwa Kweli Ninachoweza Sema Ni Kwamba Mitihani...
  20. C

    Uchaguzi Mkuu wa CCM Mwaka 2007

    Hali Zenu Wajukuu Zangu Wana Ccm, Mimi Babu Yenu Naitwa Masanja Wa Majebele Natokea Mkoa Wa Ziwa.nina Taka Kujua Nini Ndani Ya Ccm Mwaka Huu? Mjadala Wote Umekaa Kujadili Nani Kafanya Nini Na Nani Ameondoka Chama Kipi Kuja Ccm. Kuna Kitu Mimi Nataka Kujua Au Munielekeze. Katika Miaka 30...
Back
Top Bottom