Search results

  1. A

    Ushauri: Hivi kuishi na kufanya kazi Marekani bado ni dili?

    Ahsate sana Vuvuzela, make napiga hesabu hapa tu nasoma lakini hela nayolipia rent room moja tu dola 1100, ndo maana nachanganyikiwa nisije nikacukua kazi nikashindwa hata kurudi nyumbani. Nimeanza kufikiria kuanalyze alternatives ya miji midogo lakini sina uhakika na kazi huko make sehemu...
  2. A

    Ushauri: Hivi kuishi na kufanya kazi Marekani bado ni dili?

    Sorry mkuu kutaja jina kabisa inakuwa ngumu, nataka kikae anonymous ili nipate ushauri usiokuwa na mlengo wowote. Ahsante sana kwa ushauri wako kaka, i appreciate.
  3. A

    Ushauri: Hivi kuishi na kufanya kazi Marekani bado ni dili?

    Mkuu, kwa research niliyofanya naona graduates wenye elimu kama nitakayokuwa nayo nikimaliza wanapata 4m-6m TZS per month kwa bongo. Tatizo kubwa ninaloliona ni mji wa kuishi make connections nilizonazo za kazi naona kuna uwezekano wa kupata kazi mji expensive kama New York, ndo maana machale...
  4. A

    Ushauri: Hivi kuishi na kufanya kazi Marekani bado ni dili?

    Nashukuru sana mkuu, chuo changu kipo kati ya top ten universities za marekani, so nina uhakika ni chuo kizuri sana ndo maana nikapigana kukichagua.
  5. A

    Ushauri: Hivi kuishi na kufanya kazi Marekani bado ni dili?

    Ni kweli kaka lakini ushauri huwa unasaidia sana kaka, kama una experience na ishu hizi naomba mtazamo wako
  6. A

    Ushauri: Hivi kuishi na kufanya kazi Marekani bado ni dili?

    Ndugu wana JF Naomba mnipe ushauri make nisije nikaingia choo cha kike. Nimebahatika kupata shule marekani nasoma masomo ya level ya masters na nategemea kumaliza mwakani inshallah Mungu akijaalia. Nimekuwa nikijiuliza swali hapo juu na nimeongea na marafiki zangu lakini misimamo...
  7. A

    Unawafahamu vizuri madaktari wa muhimbili?

    Ama kweli nyoka akikabwa koo!! Madaktari hawana nafasi ya kukwapua fedha za serikali kama wewe mhasibu au mkurugenzi, Wateja wao ni wagonjwa, Wakati wamegoma wakidai kuongezewa mishahara hakuna mwananchi hata mmoja aliyewatetea, nyote mliwaona wajinga na kuwacheka Sasa wamejua mbinu ya...
  8. A

    Tegeta wafa na kiu huku wamezungukwa na tanki la dawasco!!!

    Nimeona niweke na picha ya hilo tank ili ambao hawajawahi kuliona wajionee wenyewe!
  9. A

    Tegeta wafa na kiu huku wamezungukwa na tanki la dawasco!!!

    Hapo nimetumia msemo, sorry kama hukusoma kiswahili but nadhani waswahili watanielewa. Lengo ni kuwasaidia wananchi hawa wenye matatizo.
  10. A

    Tegeta wafa na kiu huku wamezungukwa na tanki la dawasco!!!

    Wakazi wa Tegeta eneo la wazo hill wamelalamika kwa ukosefu wa maji safi huku wakiishi mita chache tu kutoka lilipo tanki kubwa la dawasco. Jana nilikuwa maeneo ya huko, eneo maarufu kama ''mkorosho bangi'' na kushuhudia jinsi wananchi wanavyopata shida ya maji huku tanki kubwa la kusambaza maji...
Back
Top Bottom