Search results

  1. bazoka

    Natafuta mchimbaji ama mfanyabiashara wa madini mwenye leseni ya madini aina ya Mica ama Lithium

    Natafuta mchimbaji ama mfanyabiashara wa madini mwenye leseni ya madini aina ya Mica ama Lithium...
  2. bazoka

    Nahitaji shamba la kununua kama hekari 20 maeneo ya Moshi Kilimanjaro

    Nenda West Kilimanjaro mkuu huko Sanya Juu mbele ndio unaweza kubahatika kupata hata heka kumi...Dar hutaki kuna heka Moja imauzwa
  3. bazoka

    Nahitaji shamba la kununua kama hekari 20 maeneo ya Moshi Kilimanjaro

    Heka 20?Moshi?lisiwe porini sana?hutapata...
  4. bazoka

    Ninajihisi mjamzito, lakini sikumbuki ni wa nani

    Hongera kwa kupata Ujauzito wa Wasiojulikana
  5. bazoka

    Nyumba inauzwa(urgent)

    Chief nyumba hainunuliwi kama mboga sokoni unafanyika uchunguzi kwanza kujiridhisha baada ya hapo ndio mtu anaweza lipia suala la road reserves na mengineyo wachie wanunuzi wewe endelea kupiga ramli
  6. bazoka

    Nyumba inauzwa(urgent)

    Kwa hiyo bei una hiyo hela?ushaogopa vingapi toka umezaliwa?
  7. bazoka

    Nyumba inauzwa(urgent)

    Kama hakukuwa na response ya wateja ulitakaje mkuu?acha mambo ya kike
  8. bazoka

    Nyumba inauzwa(urgent)

    Dalalia Chief kinachotakiwa ni hela
  9. bazoka

    Nyumba inauzwa(urgent)

    Mkuu bora umeona hilo tuna watu wa ajabu sana nchi hii...hawajui mtu ana shida gani kwann kauza wao wanakuja na maneno ya ajabu kabisa halafu hata sio wanunuzi
  10. bazoka

    Nyumba inauzwa(urgent)

    Napatikana kaka au ni dm piga kwa 0622 027490
  11. bazoka

    Nyumba inauzwa(urgent)

    Haina hati hapajapimwa
  12. bazoka

    Nyumba inauzwa(urgent)

    Mtazamo wako haupo sahihi kama ni mnunuzi fika eneo la tukio...achana na assumption
  13. bazoka

    Nyumba inauzwa(urgent)

    Kama kipi Chief?watu wanauza wana mambo yao sio suala la kusema kuna kitu hakipo sawa kama sio mnunuzi you better shut up your big mouth
  14. bazoka

    Nyumba inauzwa(urgent)

    Mahali:Malamba Mawili lami mpya ya kinyerezi km 6 toka Morogoro Road Ukubwa wa eneo ni sqm 400 Bei 15 Million(haipungui) Nyumba mpya Vyumba 3 moja master, sebule, dinning na public na chemba za maji machafu tayari. Angalia picha chini Piga simu 0622-027490
  15. bazoka

    HOUSE FOR SALE(DHARURA)

    Karibu mkuu
  16. bazoka

    HOUSE FOR SALE(DHARURA)

    Nissan bado ipo unataka mkuu?nyumba ya kitunda ishaondoka na Benz vishasepa na hii nyumba probably within this two days itaondoka njoo chukua nyumba masuala ya dalali au sio dalali yaache kwa sasa
  17. bazoka

    HOUSE FOR SALE(DHARURA)

    Bwana eeeh nunua nyumba hiyo acha kiswahili kirefu mzee baba ukiuza chako ukakaa bar unapata hasara gani?
  18. bazoka

    HOUSE FOR SALE(DHARURA)

    Imebidi nicheke kwa jinsi maelezo yako yalivyo ya kibwege kaka nilikuwa na mawazo hapa angalau umeniamsha
  19. bazoka

    HOUSE FOR SALE(DHARURA)

    Linafika mkuu
  20. bazoka

    HOUSE FOR SALE(DHARURA)

    Hahahaha nimecheka sana mkuu
Back
Top Bottom