Search results

  1. K

    Mwanafunzi afariki dunia kwa kujinyonga akitaka kuigiza kama movie akiamini hatakufa

    Same. Mwanafunzi wa darasa la sita shule ya msingi Majengo wilayani Same, mkoani Kilimanjaro Brian Elisha Godson (12) amejiua kwa kujinyonga akitaka kuigiza kama filamu ya kujinyonga aliyoipenda kuiangalia akiamini hatakufa. Godson anadaiwa kufanya jaribio hilo kwa kujinyonga na shuka saa 12...
  2. K

    Wanne Wafariki dunia, Sita Wajeruhia ajali ya Noah Handeni

    Watu wanne wamefariki dunia na wengine sita kujeruhiwa baada ya basi la Kampuni ya BM Coach kugongana na Toyota Noah katika eneo la Manga Wilaya ya Handeni, Mkoa wa Tanga. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tanga, Almachius Mchunguzi amethibitisha kutokea kwa tukio hilo jioni ya leo Ijumaa, Septemba 29...
  3. K

    Polisi wamng'ang'ania mwanafuzi aliyemjeruhi mwalimu wake

    Mwanafunzi wa shule ya sekondari Tamabu wilayani hapa Mkoa wa Mwanza, Alex Butawantemi aliyejemruhi mwalimu wake kwa panga anaendelea kusota rumande hadi uchunguzi ukamilike. Tukio la mwanafunzi huyo Alex Butawantemi kumjeruhi mwalimu wake Stanford Mgaya kwa panga kichwani na mkono lilitokea...
  4. K

    Wanasayansi wafichua tarehe ya wanadamu wote kuangamizwa kutoka kwa uso wa dunia

    Watafiti wa kisayansi wameibua wasiwasi miongoni mwa binadamu duniani baada ya kutoa ubashiri mpya ambao unaonesha ni lini mwisho wa dunia hii utafika. Kwa mujibu wa ripoti ya wataalam kutoka kwa chuo kikuu cha Bristol huko Uingereza, wanadamu watatoweka kabisa katika uso wa dunia katika miaka...
  5. K

    Uzembe unavyoweka rehani maisha ya vichanga

    Geita. Licha ya umuhimu wake kwa wajawazito, baadhi hawatumii dawa ya folic asidi, hivyo kuhatarisha afya za watoto walio tumboni. Dawa hii, kwa majina mengine folate au vitamini B9 ambayo hutolewa bure na Serikali, husaidia mjamzito kujifungua mtoto mwenye afya njema ya ubongo na uti wa...
  6. K

    Mchungaji aamriwa kumrudishia muumini fedha alizodai ni fungu la 10

    Mahakama Kuu ya Tanzania Masijala ya Dar es Salaam imetolea uamuzi mgogoro baina ya mchungaji John Mtuka wa Kimara na muumini wake, Neema Wawa juu ya fedha alizomkopesha mchungaji huyo ambaye amedai kuwa zilikuwa ni sadaka ya fungu la 10, na kubainisha kuwa zilikuwa ni mkopo hivyo zinapaswa...
  7. K

    Hospitali ya Taifa Muhimbili yaweka rekodi kuhusu upasuaji wa kifua wakitumia tundu moja

    Dar es Salaam. Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), imefanya upasuaji wa kifua ili kuondoa uvimbe kwenye mapafu kwa kutumia tundu dogo, na hivyo kuifanya Tanzania kuwa nchi ya kwanza katika ukanda wa Afrika Mashariki kufanya upasuaji wa aina hiyo. Upasuaji huo ambao umefanyika kwa mara ya kwanza...
  8. K

    Polisi nchini Uingereza wazuru darasa la yoga baada ya kupokea taarifa ya mauaji ya halaiki

    Polisi nchini Uingereza wamezuru kwenye darasa la yoga katikati ya jiji baada ya raia mmoja kutoa taarifa ya mauaji ya halaiki. Maafisa walikimbilia mahali hapo huku ving’ora vya gari vikilia na kuwakuta washiriki wa darasa hilo wakitafakari kimyakimya. Hoteli ya Seaside inayotazamana na...
  9. K

    Geita: Ashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za kuvamia makanisa mawili

    Geita. Mkazi wa Chato, John Marore anashikiliwa na Jeshi la Polisi wilayani humo kwa tuhuma za kuvamia makanisa mawili likiwemo la Mtakatifu Bernadetha wa Lurd Parokia ya Nyakato-Buzrayombo na lile la Waadventisti wasabato yaliyopo kata ya Buzrayombo mkoani Geita. Matukio ya uhalifu kwenye...
  10. K

    Walikataa kumzika babangu eti sikuwa natoa sadaka - mrembo afichua mbona haendi kanisani

    Walikataa kumzika babangu eti sikuwa natoa sadaka - mrembo afichua mbona haendi kanisani. --- Katika miaka ya hivi karibuni, idadi kubwa sana ya Wakristu wameacha kuhudhuria mahubiri kanisani, wengi wakiwa na sababu zao binafsi na wengine ikiwa ni kutokana na uzoefu walioshuhudia kutoka kwa...
  11. K

    Jinsi Bandari ya Dar es Salaam inavyoweza kuibadilisha Tanzania

    Watu wa kawaida wanaofanya manunuzi Dar es Salaam watakuwa wamezoea hadithi hii: “Tafadhali mama nipe muda kidogo, mzigo wangu bado uko bandarini, ukitoka nitakupigia haraka, tafadhali mama naomba univumilie, kwa hakika itakua wiki inayokuja…” Hii inaweza kuwa mmiliki wa duka Dar es Salaam...
  12. K

    Ndoa za makaburi janga kwa wanawake, watoto mkoani Mara

    Kwa jamii ya Wakurya wanaoishi katika Wilaya za Tarime, Butiama, Rorya na Serengeti ni jambo la kawaida kuona familia ikichumbia na kuoa binti kwa ajili ya kijana wake wa kiume alifariki dunia kabla ya ndoa, lakini akiwa amefikia umri wa kuoa lakini. Ndoa za aina hiyo hujulikana kama ndoa ya...
  13. K

    Ngome ya kwanza ya watumwa wa Uingereza barani Afrika yagunduliwa

    Mahali halisi ya kile kinachodhaniwa kuwa ngome ya kwanza ya watumwa wa Uingereza barani Afrika huenda imepatikana - BBC imekuwa ikiangazia juu ya umuhimu wa ugunduzi huo nchini Ghana. Kwa uangalifu, mwanaakiolojia Christopher DeCorse anatandaza kazi za sanaa adimu kwenye meza ya muda karibu na...
  14. K

    Muungano wa Tanzania bara na Zanzibarbni fursa,Mwalimu Nyerere aliona mbali.

    Kwa watu wa kawaida,wakulima na wafanyabiashara ni fursa kubwa sana ya kukipatia kipato.Kuna mahoteli mengi ya watalii.Na hizi hotel zinahitaji mahitaji ya mazao ya kilimo na ufugaji Kule Zanzibar kuna watalii wengi sana na wakazi wa huko,wote wanahitaji vyakula,mchele,viazi,maharage,nafaka aina...
  15. K

    Inadaiwa Mwanafunzi akatwa mapanga Arusha

    Mwanafunzi aliyefahamika kwa jina la Irene mkoani Arusha, amedai kukatwa mapanga na kijana aliyefahamika kwa jina la Hilary akimtuhumu kumpa simu mdogo wake ambaye naye ni mwanafunzi. Ameeleza kuwa, siku ya tukio alikuwa akienda shuleni asubuhi ndipo alipokutana na kijana huyo ambaye alianza...
  16. K

    Ajali iliyoua sita yakatisha ndoto za mwanafunzi

    Ajali iliyoua watu sita na kujeruhi 16 imekatisha uhai wa mwanafunzi aliyekuwa akisoma Shahada ya kwanza ya Mipango Miji na Uhifadhi Mazingira katika Chuo Cha Mipango jijini Dodoma, Amani Matinde (24) ambaye alikuwa mkoani Mwanza kwa ajili ya kufanya mafunzo kwa vitendo. Akizungumza na...
  17. K

    Wadau watoa kauli upatikanaji wa mafuta Tanzania

    Dar es Salaam. Wamiliki wa maghala ya mafuta nchini wameihakikishia Serikali kuhusu upatikanaji wa mafuta wakisema wana petroli na dizeli za kutosha na wapo tayari kutoa ushirikiano wa kuyasambaza kwenye maeneo mbalimbali yenye uhitaji. Wadau wameiambia Serikali kuwa hivi sasa wanafanya kazi...
  18. K

    Kortini kwa madawa ya kulevya

    https://www.mwananchi.co.tz/mw/habari/kitaifa/mkazi-wa-tabata-kortini-kwa-kusafirisha-heroine-gramu-900--4311468
  19. K

    Kenya Kusaini mikataba na Dubai

    WAKATI baadhi ya wanasiasa wa upinzani na wanaharakati wakipinga mpango wa kampuni ya DP World ya Dubai kuwekeza kwenye bandari ya Dar es Salaam, Kenya imetangaza maamuzi ya kusaini mikataba ya uwekezaji na Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE). Rais William Ruto ametangaza kupitia akaunti yake ya...
  20. K

    Bosi auawa na mfanyakazi wake

    Mfanyakazi wa ndani ambaye jina lake limehifadhiwa, anatafutwa na Jeshi la Polisi nchini Kenya, baada ya kudaiwa kumuua bosi wake Rahab Karisa, kwa kumchoma na kitu chenye ncha kali, siku moja baada bosi huyo kurejea nchini toka Italy. Kwa mujibu wa tovuti ya Tuko ya nchini humo tukio hilo...
Back
Top Bottom