Search results

  1. Lucchese DeCavalcante

    Bima ya afya kutoka jubilee

    Vipi kwa familia hii? Baba miaka 45 Mama miaka 31 Watoto wawili: Miaka 6 na wa mwisho miezi 7: Leta bei ya jumla kwa Premier, Executive and Royal
  2. Lucchese DeCavalcante

    Vifurushi vya bima za afya

    Weka vifurishi vya Jubilee na Stategis itapendeza sana
  3. Lucchese DeCavalcante

    Hawa ndiyo wahenga Bongo waliooa wazungu

    Vipi Le Kopoz aka Le kubwa jinga aka Le mzee wa wabeibe wakali kama womanity
  4. Lucchese DeCavalcante

    Hi

    Karibu sana Mamy
  5. Lucchese DeCavalcante

    TEGETA, DAR: Meja Jenerali Mstaafu wa JWTZ, Vicent Mritaba apigwa risasi 5 na majambazi

    May be I am too blind to see, the victim does not look like someone who has been gunned down by 5 bullets. Ni ngumu anaonekana kama mgonjwa wa Malaria sioni dalili la jeraha!
  6. Lucchese DeCavalcante

    TEGETA, DAR: Meja Jenerali Mstaafu wa JWTZ, Vicent Mritaba apigwa risasi 5 na majambazi

    Nihatari kweli kweli. Huyu Major Jenerali mstaafu kakosa nini jamani?
  7. Lucchese DeCavalcante

    Dar: Ofisi ya Mawakili ya Prime Attorney advocate zilizopo upanga, imevamiwa na Watu Wasiojulikana

    Hivi Manji account zake za Bongo ziko frozen, if yes then inawezekana anatunza hela huko kwa wakili wake kwenye Safe kwa pesa anazochukua from his overseas accounts. Hana access na bank hivyo wapigaji yawezekana walinusa kuwa Safe ina mpunga wa kutosha.
  8. Lucchese DeCavalcante

    Natafuta Mchumba

    Changamkieni fursa
  9. Lucchese DeCavalcante

    Natafuta Mchumba

    Nami pia natafuta binti ila awe mweupe mwenye umbo zuri na roho safi kuanzia miaka 25 na kuendelea anicheki PM au kwa email mchumba2017@gmail.com
  10. Lucchese DeCavalcante

    Mama mkwe anapiga simu usiku saa nne saa tano nikiwa kitandani

    Mama mkwe anaonekana mpweke sana kama mna nyumba kubwa muiteni mkae nae wapate muda wa kuongea na mwanae ana kwa ana na kama bado analipa 'mtoe mama mkwe upweke' wewe ndio baba wa familia zote mbili. Man up and do the necessary
  11. Lucchese DeCavalcante

    Mama mkwe anapiga simu usiku saa nne saa tano nikiwa kitandani

    Badili mida ya kufaidi tunda la ndoa. Either mchana au piga morning glory
  12. Lucchese DeCavalcante

    Za Noah zimeanza kugawiwa

    Gawa hela baba za Noah zinakuja toka ACACIA
  13. Lucchese DeCavalcante

    Mke wangu wa ndoa ame-hack simu yangu

    A suspicious spouse must not get angry to a suspected spouse after finding anything unusual after spying/snooping both must be able to reconcile on any bad outcome> Ndoa iendelee.
  14. Lucchese DeCavalcante

    Kiwanja kinauzwa Mbezi Makabe, njia panda ya Msakuzi

    That is too much kwa kiwanja cha size hio na location
  15. Lucchese DeCavalcante

    Mama Magufuli yuko wapi, mbona hamsaidii Mumewe kwenye kampeni?

    Mama anakosa sana anakosaata kwana busarakamagowmgogoro huu nmaanniuuakati kuwa sawia mkewe kulimkuliko wakati mwingine wowote. SHAURI ZAKE NGOJA MAMA SAMIA AZIBE NAFASI KISERIKALI NA KIFAMILIA
Back
Top Bottom