Search results

  1. mkuzi

    St. Joseph Secondary - Goba

    Kwanza natoa pongezi kwa shule na uongozi wa shule na wanafunzi kwa ujumla kwa kufanya vizuri katika masomo. Changamoto iliyopo ni kuwa kuna hela wazazi wanachangishwa kwa kusudi fulani na hilo kusudi lisipokuwepo hiyo hela inakosa maelezo na wazazi wanaogopa kuuliza kisa SISTER atamchukia...
  2. mkuzi

    Wazo: Watu waruhusiwe kupanda juu Airport kwenda kuona ndege zikitua na kupaa hata kwa kulipia

    Hivi hakuna uwezekano ule mlango wa juu pale uwanjani kuruhusu watu kwenda kuona ndege ikitua na kuruka, wafanye kuwa na kiingilio japo mia 5 kuongeza mapato ya nchi. Watu wengi wanaokuja kuwapokea au kusindikiza ndugu zao wanapenda kuona ndege ikiwa kwenye run way ila wanakosa fursa hio.
  3. mkuzi

    Vyombo vya dola fuatilieni taarifa za mwalimu Ayoub wa St. florence kutembea na mwanafunzi

    Kuna taarifa inayozunguka mitandaoni kuwa Mwl. Ayoub wa shule ya St. Florence Mikocheni Dar, anatembea na wanafunzi wake kimapenzi, hii taarifa ina ukakasi sana kwa sisi walimu wenzake na aibu kubwa, tunaomba vyombo husika vifanye uchunguzi wake na akibainika hatua kali zichukuliwe ili iwe...
  4. mkuzi

    Wewe upo kundi gani hapo? UKIMWI upo

    1. Wasichana walio katika umri wa balehe walio katika mazingira hatarishi. 2. Vijana walio katika umri wa balehe. 3. Watoto yatima na watoto walio katika mazingira hatarishi (yaani watoto wanaoishi mitaani). 4. Wanaume wanaofanya ngono na wanaume wenzao. 5. Wanawake wanaofanya ngono kinyume na...
  5. mkuzi

    Wizi maeneo ya Goba, polisi tusaidieni

    Kumekuwa na ongezeko la wimbi la uwizi maeneo ya Goba kuanzia njia panda ya kinzudi kuja kwa maeneo ya Mwaikambo mpaka Kunguru huku Mbezi Goba.Wanaiba sana vifaa vya magari na wanawapa sumu mbwa na wizi wa kupora pikipiki yaani watu Amani imepungua na taarifa isiyo rasmi kuwa kituo cha polisi...
  6. mkuzi

    Yuko wapi mwa j?

    Kuna mdada mrembo mwa j ni muda sasa simuoni humu mwenye taarifa nimemmiss sana.
  7. mkuzi

    Tanzania Marks 53 Years of Independence

    Dar es Salaam’s Mwananyamala Hospital is yet to rid itself of congestion, particularly in the paediatric ward, with anything between three and four patients sharing one bed. The situation in blamed chiefly of shortage of buildings. Some mothers of children admitted to the hospital told this...
  8. mkuzi

    Mwanasheria mkuu wa Serikali, Werema aungana na UKAWA

    JAJI WEREMA APINGANA NA IKULU ,ASEMA BILA UKAWA HAKUNA KATIBA Pichani ni Mwanasheria Mkuu wa Tanzania Jaji Fredrick Werema akiwa na Mbunge wa Kigoma kusini David Kafulila Picha na Maktaba. KILE kinachoonekana Mchakato upatikanaji katiba mpya umeanza kuwachanganya Viongozi wa Serikali ya Rais...
  9. mkuzi

    Mwaka mmoja talaka 1600 ,tatizo ni nini ?

    watu hawajui umuhimu wa ndoa .hawajafundishwa ,au walikurupuka ,viongozi hawaelekezi vzr au nini?
  10. mkuzi

    wenye hela mnaitwa huku

    MWIGIZAJI wa kike wa filamu Kibongo Husna Chobis ‘Awena’ amesema kuwa baada ya kurudi katika biashara zake nje ya nchi yupo tayari kuolewa lakini kwa mwanaume mwenye fedha za kutosha na siyo mbabaishaji. Akifafanua zaidi, msanii huyo amesema hawezi kuolewa na mwanaume ambaye hawezi hata...
  11. mkuzi

    Hapa wamenifurahisha -je lini watazitoa ?

    Saruji, mabati, nondo, mafuta kufutiwa kodi Wakati Spika wa Bunge, Anne Makinda akitangaza Miswada ya Kodi ya Ongezeko la Thamani (VAT ) na Utawala wa Kodi kusomwa katika kikao cha Bunge lijalo kutokana na kutokamilika kwa sasa, baadhi ya bidhaa zitafutiwa kodi, imefahamika. Jana Spika...
  12. mkuzi

    Mwanamke akamatwa kwa kosa la kutupa mtoto

    Mbaroni kwa kutupa kichanga 30/05/2014 | Posted by Julieth Mkireri | MikoaniPwani | 0 comments | 125 views | JESHI la Polisi mkoani Pwani linamshikilia Theresia Matia (19) mkazi wa Kwamatiasi, Wilaya ya Kibaha, Pwani kwa tuhuma za kutupa mtoto mchanga. Tukio hilo limetokea juzi, saa 3 usiku...
  13. mkuzi

    Ray C sasa ahitaji mpenzi mzee

    Ray C sasa ahitaji mpenzi mzee31/05/2014 | Posted by Nasra Abdallah | Burudanimoto | 0 comments | 412 views | MSANII wa muziki wa kizazi kipya, Rehema Chalamila ‘Ray C’, amesema kwa sasa hana mpango wa kuwa na mahusiano ya kimapenzi na mtu, na kama ikitokea basi atamtaka kuwa na miaka kuanzia...
  14. mkuzi

    DAR: Kituo cha mabasi Mwenge chahamishiwa Makumbusho

    Dar es Salaam. Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (Sumatra) imetangaza kuhamisha kituo maarufu cha daladala cha Mwenge kwenda eneo la Makumbusho. Katika taarifa yake kwa vyombo vya habari jana, ofisa mfawidhi wa Sumatra wa Kanda ya Mashariki, Conrad Shio alisema Kituo cha...
  15. mkuzi

    Kingunge aikejeli CCM

    Mwanasiasa mkongwe nchini, Kingunge Ngomale-Mwiru amesema Chama Cha Mapinduzi (CCM) kama ilivyo kwa vyama vingine vya siasa nchini, hakina malengo ya kuleta ukombozi wa kiuchumi, badala yake kinapigania kubaki madarakani. Amesema, wakati CCM ikiwa katika kupigania kubaki madarakani, wapinzani...
  16. mkuzi

    Je CCM wanalijua hili ?

    Kujieleza imekuwa ni shida kubwa kwa baadhi ya viongozi wetu wengi. Wataalamu wa kufikiri wanasema unahitaji kufikiri kidogo tu unapotaka kusema ukweli. Lakini unahitaji kufikiri zaidi pale unapotaka kuficha kilichojiri na kusema unachotaka na wakati huohuo unataka unaowaambia, wasikuone mpuuzi.
  17. mkuzi

    Sifa za dokta wa familia

    Naomba kupata mawazo ya wana jf juu ya kuwa na daktari wa familia,je ni sifa zipi awe nazo?je awe kijana au wa makamo ,awe mwanamke au mwanaume na faida na hasara zao ni zipi?
  18. mkuzi

    Kumekucha Madawa ya Kulevya: Kina 'Masogange' wawataja waliowatuma!

    Staa muuza nyago kwenye video za wasanii wa muziki wa kizazi kipya na filamu za Kibongo, Agnes Gerald ‘Masogange' na shosti wake, Mellisa Edward kabla ya kupandishwa kizimbani kwa msala wa dawa za kulevya ‘unga' Afrika Kusini waliingizwa kwenye chumba cha mateso kwa saa 24 ili kutaja...
  19. mkuzi

    Mlimani primary school

    Wanafunzi wote mliosoma shule ya msingi mlimani kwa kipindi chochote miaka ilipita tunaomba uje katika mkutano jumapili tar 18/08/2013 ,saa 9 pale brajeck karibu na survey na mlimani city,njoo ukutane na wanafunzi wenzako wa zamani,karibuni sana
  20. mkuzi

    Zion daughter

    Jamani kipindi hiki cha pasaka ningefurahi kuonana na binti huyu ,hebu niombeeni ndoto hii itimie tafadhari zion daughter ni pm unipe namba yako japo nisikie tu sauti yako
Back
Top Bottom