Search results

  1. hewizet

    MSAADA: SAMSUNG GALAXY S4 I9500

    Imei iko sawa kabisa,baseband ila nikipiga simu inaniambia not registered on network,nmejaribu kurpair network ila bado haijakaa mkao, line inasoma na mnara unajaa nmeshabadili modem.bin zaidi ya nne lakini wapi
  2. hewizet

    Nahitaji HDD 2TB za Desktop

    Nahitaji HDD za ndani za desktop 2TB aina ya SATA 50 PCS brand yoyote niuzie kwa bei ya jumla. 0713558111 wassap only
  3. hewizet

    MSAADA

    SAMSUNG GALAXY S6 EDGE SM G925F haisomi line inaandika emergency only baseband haisomi, imei haipo/null kama kuna mtaalaam anaweza anisaidie nipo arusha mjini maeneo ya stand kubwa
  4. hewizet

    General Intelligence Aptitude

    nimehangaika sana kupata website ambayo naweza fanya test hiyo (GIA), naomba msaada wenu wana jamvi!! Website nyingi ni kwa kulipia wakuu na mimi kwa sasa sina uwezo wa kuilipia so kama kuna mtu anajua ma invigilator wowote wa online ambako ni free anifahimishe kwa kunipatia link!! natanguliza...
  5. hewizet

    Naomba mwenye huu wimbo wa dini anisaidie.!!

    waimbaji ni ADONAI GOSPEL SINGERS jina la wimbo ni SITOSAHAU HURUMA ZA BWANA au HURUMA ZA BWANA Unaweza ukau-attach apa kwenye thread au ukani-email via hewizet@gmail.com ahsanteni
  6. hewizet

    Msaada wana jukwaa kuhusu application iitwayo "Mrs tools"

    Application tajwa hapo juu inatumika katika kuflash ku-unlock simu kama vile blackberry,iphone pamoja na zile za android,ningependa kupata msaada juu ya link ya kuipata program husika, kui install kama kuna mdau mwenye nayo anisaidie nimejarbu pirates sites nyingi sana bila mafanikio...
  7. hewizet

    Mtoto wa mfalme wa Oman na uwindaji nisioulewa Loliondo

    Huyu mtu ni kwamba wamemshindwa au ile ardhi kule Loliondo na wale wanyama ni mali ya Oman?? Ni takriban mwaka wa 19 huu hakuna lolote wala taarifa juu wa unyama unaofanywa na huyu kibopa wa mfalme!! Naomba kujua kutoka kwa wanajamvi undani na uhalali wa uwindaji wa huyu mtoto wa mfalme wa...
Back
Top Bottom