Search results

  1. J

    Wadau natafuta dawa nisiwe na feeling kwa mke wangu

    Mpeleke kwenye maombi linaweza kuwa ni pepo
  2. J

    Jerry Muro kortini tena

    tena chenge aliuwa wale wadada wawili akatozwa fine ingekuwa raia wa kawaida angekuwa ndani mpaka leo wanafanya uchunguzi
  3. J

    Tahadhari kwa abiria wanaopenda kuchukua TAXI airport!!

    Inategemea kuna wakati madreva wanawapa madeiwaka ndo wanaiba, mimi niliibiwa pochi asubuhi na bajaji akakimbia.
  4. J

    Analazimisha nimuoe wakati mimi sitaki

    Mweleze ukweli kwamba hutaki kumuoa , unasema mlikuwa na uhusiano that means mlishaachana sasa anataka nini tena, kuwa na msimamo wewe ni mwanaume
  5. J

    "Nitakuona Bonge la Mwanamme......"

    Unashangaa watu wanaomba hadi 5000
  6. J

    PICHA: Nyumba ya Mwalimu Shule ya Msingi Ipyana, Kyela

    kijijini utapata wapi nyumba za kupanga na shule zilivyo mbali kwanza kwa mshahara gani?
  7. J

    Nani mkali wa jUkwaa hili la Picha?

    Mzizi mkavu
  8. J

    Kura ya maoni: Edward N. Lowassa v/s Bernard K. Membe

    shetani akizeeka anakuwa malaika
  9. J

    Biashara ya Uchawi Tanzania

    una uhakika Mungu ndo amemuibua?
  10. J

    Biashara ya Uchawi Tanzania

    uko wapi Maji moto umepotea sana
  11. J

    MziziMkavu Huyooooooooooo

    Ananipenda kazi yake na kuithamini
  12. J

    Aunty ezekiel, mumewe na wageni wao, waalikwa lunch nyumbani kwa bi salma mgido huko dubai

    sura ya kitoto si ndo mambo ya baby face jamani.
  13. J

    Tukio la kutisha limetokea Lamadi, aliyekufa aonekana akiwa hai...

    Hawezi kuwa mzimu kwa muda mchache hivyo , inachukua zaidi ya mwezi mtu aliyekufa kuwa mzimu
  14. J

    Viongozi wa CHADEMA Mwanza wahukumiwa

    Kesi imeenda haraka
  15. J

    John Komba Atimua Kitambi Chake

    hilo shati sijui ni mita ngapi?
  16. J

    Scandinavia Bus: Jamani nimelimiss hili basi...

    Sasa hivi kutoka Arusha tunapanda Kilimanjaro
  17. J

    Wabongo na Halloween

    kwa hiyo ni sherehe za kishetani?
  18. J

    Nikasingiziwa kutembea na kabinti ka shule, kikanuka ukweni….!

    umesahau story yako ulivyofungishwa ndoa ya mkeka ukakimbia mke, na huyu itakuwa ni wewe tu.
Back
Top Bottom