Search results

  1. 12STONE

    Je, utamkumbuka Hayati Magufuli kwa mambo gani?

    Nonsense - Achana na mafundisho potofu, Acha kabisa kutegemea kisicho kutegemea baada ya kufa kwako. Unachokiamini ni upuuzi mtupu. Tundu lissu sio MUNGU ni mtu Kama watu wengine kamwe hawezi kumpitisha magufuli aende peponi ama kuzimu. Ukifa uwe umetenda mema au mabaya, Matendo yako...
  2. 12STONE

    Lissu amuumbua Makonda sakata la kutaka kumtapeli nyumba ya GSM

    Watu wanaoleta matatizo hayo wakiongelewa maana yake TAYARI MATATIZO YAMEONGELEWA. Huenda wewe Ni miongoni mwa wanaokula na kuvimbiwa kwa mfumo wa kifisadi,Akizungumzwa MTU wa mrego ule ule kama wa kwako hatutegemei UTAFURAHIA.
  3. 12STONE

    Je, utamkumbuka Hayati Magufuli kwa mambo gani?

    Bwawa Ni la muhimu sana Ila kwa kila anayejiondoa akili ataona halina umuhimu. Na NCHI lazima itegemee umeme unaopatikana kwa njia zote hizi:- 1).Maji 2).Gas 3). Uranium 4). Upepo 5).Jua Ni aibu kubwa Sana mpaka Leo bado tunahangaika na issue ya KUKATIKA kwa UMEME.
  4. 12STONE

    Mkurugenzi na Madiwani jiji wanaharibu Arusha School

    Kwa kweli inakera na kuchosha.
  5. 12STONE

    Mkurugenzi na Madiwani jiji wanaharibu Arusha School

    Kwa utaratibu Mambo mema na mepesi au magumu yanapikwa au kuandaliwa na kikao Cha mwisho Cha Wazazi kuamua Nini kipitishwe kwa Sasa. Ni makosa Mambo Kuanzia kwa MKURUGENZI wa JIJI na MADIWANI Yaje kwa mtimdo wa kulazimishwa YAPTE BILA KUWA NA KIKAO CHA WAZAZI WENYE KUTOA RIDHAA YAO. Shida sio...
  6. 12STONE

    Mkurugenzi na Madiwani jiji wanaharibu Arusha School

    Ya serikali, ajabu wanalazimishia Wazazi wa Arusha school kupitia kupanda gharama hizo wapate fungu la kujenga shule nyingine yenye mfumo huo wakiingereza. Kwanini MAMA SAMIA Rais asitoe pesa za kujenga shule hio wakati tunaona Kuna sehemu akatoa FEDHA za kujenga shule. Kuna uwezekano MKUBWA...
  7. 12STONE

    Mkurugenzi na Madiwani jiji wanaharibu Arusha School

    Wazazi wanalalamika:- 1).FEDHA zinapelekwa kujenga shule nyingine wakati shule yenyewe Ina mapungufu ya madarasa. Ni bora FEDHA hio inayongezewa itumike kuongeza madarasa ya pale Pale Arusha school.
  8. 12STONE

    Mkurugenzi na Madiwani jiji wanaharibu Arusha School

    Nimekutana na MZAZI mmoja anaongea kwa kuonyesha uchungu na HUZUNI kubwa kwa Yale yanayowakabili Wazazi walio na Watoto wenye kusoma shule hii kongwa ya enzi za mkoloni. Tangu mwaka Jana 2023 MKURUGENZI NA BARAZA LA MADIWANI walikuja na mpaka mpya wa kupanda gharama za kusomesha Watoto katika...
  9. 12STONE

    Wananchi tupige kura kulimaliza hili sakata la DP World

    Sio sawa kabisa, Ni mbadala la kijambazi lenye kuonyesha MTU kutokuwa makini kwa Ulinzi wa RASILIMALI ZETU. Kama Wabunge walioko bungeni Sasa kwa 99.9% wameingia bungeni kwa Hila na wizi wa kura kimabavu.Na Wabunge wote hao wako HAPPY TU. Tena Usisahau Ni Wabunge hawa Hawa ndio wamepitisha...
  10. 12STONE

    Kunyamaza kwa Rais Samia sio suluhisho kwa mkataba mbovu wa bandari zetu

    Ndio, huo wa bagamoyo unafikiri Kwanini Magufuli aliutupilia mbali.
  11. 12STONE

    Kunyamaza kwa Rais Samia sio suluhisho kwa mkataba mbovu wa bandari zetu

    Kabla mkataba huu haujabainika, Bado tulikula na kunywa pasipo dp world. Zaidi ya yote wao genge MAMA SAMIA na DP word ndio wanaleta njaa tupu kwa mkataba huu usio na Ukomo.
  12. 12STONE

    Ushauri: Rais Mstaafu Kikwete, kwa hili la bandari unajiaibisha na kujivua nguo

    Hata kelele hizi zinasaidia Sana TU.
  13. 12STONE

    Ushauri: Rais Mstaafu Kikwete, kwa hili la bandari unajiaibisha na kujivua nguo

    Yawezekana wewe Ni mmoja hao wanafaidika na UBOVU wa KATIBA ya 1977 tuliyonayo,huenda una cheo ama u mmoja wa watoto wa wakubwa. Yamkini pia u mlamba miguu na wenye kufuata viatu vya Alina ridhiwani. Katika mazingira hayo huwezi Ina ubaya wa Ufisadi mkubwa unaendelea NCHINI. UKIFUMGUA KINYWA...
  14. 12STONE

    Ushauri: Rais Mstaafu Kikwete, kwa hili la bandari unajiaibisha na kujivua nguo

    Picha nzima ya uchumi wa dunia? Africa Kuna utu? Kuna mwenye kujenga uchumi wa Nchi yake? Kinana na kikwete Ni maswahiba wanaoshirikiana katika kuzitafuna RASILIMALI za TAMGANYIKA YETU. Mwenye tuhuma za kuua Elephant huko Tarangire wakati wa Kikwete ni RAIS Ni Nani,Si ni Kinana huyu huyu...
  15. 12STONE

    Ushauri: Rais Mstaafu Kikwete, kwa hili la bandari unajiaibisha na kujivua nguo

    Familia ya manyang`au habari ya MJINI kwao Ni KUJILIMBIKIZIA Mali za NCHI YETU.siku yaja watazitapika.
  16. 12STONE

    Ushauri: Rais Mstaafu Kikwete, kwa hili la bandari unajiaibisha na kujivua nguo

    Kikwete, Ni mfano MBAYA kabla wa kuigwa. Lakini kwa ujumla wake, Viongozi wanaliingiza Nchi yetu ambao Ni WAISLAMU WOOTE Ni walafi Sana,Ufisadi wao Ni mkubwa Sana na Ni wao ndio wanauza ardhi yetu na kutoa Bandari bure kwa DP WORLD. Na bado Baadhi masheikh wanatetei ushetani huu wa kutoa...
  17. 12STONE

    Kunyamaza kwa Rais Samia sio suluhisho kwa mkataba mbovu wa bandari zetu

    Huko ni kujaribu kumpamba pamba tu, Dp world sio issue ya utengenezwa na wanaomzunguka. RAIS anapaswa awe Ni TU mwenye Akili tumamu kweli kweli ili akiingizwa Chaka yeye ajinasue mapema tu. MAMA SAMIA kwenye suala hili la dp world hawezi kukosa uelewa wakujua endapo wanasheria watalidumbukiza...
  18. 12STONE

    Kunyamaza kwa Rais Samia sio suluhisho kwa mkataba mbovu wa bandari zetu

    Sikuelewa, Una maana aendelee tu kunyamaza huku Mambo yaendelea kuharibika? Unaongeaje Kama nguruwe pori amepigwa mshale aisee!!! KIONGOZI NI MTU WA KUPITA, Lazima awajibike kwa mema au mabaya ama magumu tunayoyapitia kipindi yeye Ni RAIS. Vyama navyo Ni vya KUPITA tu, CCM sio MUNGU, Na BABA...
  19. 12STONE

    Kunyamaza kwa Rais Samia sio suluhisho kwa mkataba mbovu wa bandari zetu

    Wenye maamuzi ya MWISHO sio HICHO kikundi unachokisema wewe, Ni yeye tu MAMA SAMIA. Hata Kama ameingizwa mkenge na hao, Kwani KUNYAMAZA? Si ndio atumie nafasi ya mamlaka makubwa aliyonayo ya kikatiba ya kulimaliza hili Badala kukaa kimya huku Hali inazidi kuwa MBAYA kwa UMOJA NA UTAIFA WETU...
  20. 12STONE

    Kunyamaza kwa Rais Samia sio suluhisho kwa mkataba mbovu wa bandari zetu

    Ni urongo mtupu, KANISA kupoteza MASLAHI BANDARINI Kuna uhusiano gani na kuzitoa BANDARI ZETU jumla kwa DP WORLD Tena kwa mkataba usio na tija yoyote kwa TAIFA LETU.
Back
Top Bottom