Search results

  1. Ukitaka Ubaya...

    Nawezaje kurejesha picha nilizozifuta kwenye simu kwa bahati mbaya ?

    Wakuu habari? naomba msaada je ni app gani naweza kutumia kurejesha picha nilizofuta kwenye sim? maana nimejaribu nimeshindwa
  2. Ukitaka Ubaya...

    Msaada

    wakuu ni app gani naweza kutumia kudownload video youtube kwny android?
  3. Ukitaka Ubaya...

    Sherehe za Ubingwa Yanga!

    Timu ya Yanga itafafanya sherehe za Ubingwa wa Ligi kuu baada ya kumshikisha adabu Mnyama tarehe 18 mwezi huu pale Makao Makuu ya Yanga mtaa wa Twiga na Jangwani! teh! teh! hizo ni habari za hivi punde. Asiyetaka nani?
  4. Ukitaka Ubaya...

    Yanga oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!

    Kwa wana JF ambao ni mashabiki wa Dar Es Salaam Young africans Club msiwe na wasiwasi point tatu zilizobaki tunazichukua kwa mnyama! :msela:
  5. Ukitaka Ubaya...

    Sheria kuhusu wabunge

    Wakuu habari zenu kwa ujumla? naomba kufahamishwa kuhusu Mbunge anapofanya kosa la jinai akiwa ndani ya Bunge {Mjengoni} je ataadhibiwa na kanuni za Bunge tu au kuna uwezekano wa kufunguliwa mashitaka Mahakamani?
  6. Ukitaka Ubaya...

    Defence Alibi

    Wana JF naamini ndani ya jukwaa la sheria nitapata msaada wa hili neno "Defence Alibi" maana yake nini?
Back
Top Bottom