Search results

  1. Iza

    Kwanini watu wanafunga NDOA!??

    Niko kwenye ndoa kama mwaka na nusu sasa na mwanamke ambaye tulikuwa kwenye uhusiano kwa muda wa zaidi ya miaka sita.Juzijuzi alipata ka-scholarship huko Ughaibuni ka muda wa muda mfupi.,tumepelekana airport kwa bashasha tele. Mwanzoni mawasiliano yalikuwa mazuri japo siyo kwa...
  2. Iza

    Ushauri wa haraka na muhimu.!

    Heshima Kwenu! Imetokea (kwa mujibu wa daktari) kwamba miscarriage inapotekea haswa kwa mimba za umri wa chini ya miezi 3 lazima asafishwe.Naomba kufahamishwa je, Mosi, Inawezekana kusafishwa kwa kuingiziwa "machuma" au kuna dawa za kumeza ili kusafisha.? Pili, Mwanamke anaweza kuconsive...
  3. Iza

    Wanaotegemea kuoa/olewa..!

    Unaweza furahisha waalikwa wenu hivi.. http://www.youtube.com/watch?v=g8DCt3Lmi28
  4. Iza

    Honeymoon..!

    Wa-JF Ningependa kupata mawazo yenu kuhusiana na mahali muafaka kwa ajili ya kuifanya hii kitu (kwa Tz).. Pia ni kitu gani wadada wanategemea.. Brothaz twatakiwa tufanyaje kuifanya iwe SPESHELI Daima...
  5. Iza

    Mumo wa mumu

    Imani yangu kuu ni wazima Ndo wikendi wapwa muwe wema eti ehh..
  6. Iza

    ushauri hard drive inajaa bila ya kuweka kitu

    Wasalaam wakuu!! Kalaptop kangu kananizingua ni HP530,Hivi karibuni nilikuwa sikatumii kukafungua nikakuta hard drive zinajaa bila ya kusave chochote nimejaribu kustop system backup (manake nilischedule kila siku) wapi nimekascan lakini wapi. Msaada wakubwa!
  7. Iza

    Tofauti ya umri katika mahusiano na kwa wanandoa (mume na mke)

    Hivi ni lazima wanaume wawazidi umri gf/wake zao? Je, wanawake wawazidi wanaume umri gani ili at least ionekane pouwa...(exclude shugamamii)?
  8. Iza

    Mr Afande KOVA

    Wajameni sijaelewa huyu mkuu wa afande hapa Dar daily kideoni,mara amekamata vibaka.. ooh wamachinga...,hivi hakuna msemaji wao kwa kanda hii au ndo kale katabia akistaafu mjengoniiiiiii
  9. Iza

    wapi website za fenicha?

    Hivi kwanini wajamaa wengi wanaotengeneza/kuuza samani za ndani hawana website,mpaka uwatafute? ni gharama au mazoea.. wateja watakuja tuu.... wachache hawaweki bei inakuaje hii
  10. Iza

    Sababu za tatizo la kutokwa na damu puani (Mhina), jinsi ya kuzuia na tiba yake

    MASWALI YALIYOULIZWA NA WADAU KUHUSU TATIZO HILI Nishaurini tafadhali, Huwa nawashwa na pua sana (muda mrefu sasa) hasa wakati wa usiku nimezisugua mpaka zinatoka damu, nilidhani ni vumbi lakini nasafisha ninapolala sana, lakini tatizo ni kwamba siku moja nilishangaa kuona damu zinamwagika sana...
Back
Top Bottom