Search results

  1. Iza

    Paul Makonda na vijana wenzake ndio kizazi kilicho bora zaidi kitakacholeta mageuzi makubwa

    Nikushauri kitu. Kum'pamba mtu, kaa chini bila papara, tafiti, andika, futa, soma tena, andika ili angalau usipate mashambulizi binafsi bali upingwe kwa hoja!
  2. Iza

    Zuchu afungiwa kujihusisha na shughuli za sanaa Zanzibar

    Sasa nyimbo ziimbwe usiku mnene, ulevi umetamalaki na kibali kapewa...na mbele ya watu wazima. Na nyimbo hizo hizo zinasikika redioni mpaka unapata ukakasi kusikiliza ukiwa na watu mnaoheshimiana, Basata wacheni hizo!
  3. Iza

    Utabiri: Zitto kupewa ubalozi wakati wowote

    ZZK anataka uenyekiti wa AU kwa kete ya 'ujana'. Anafaa!
  4. Iza

    Kadogosa: Tumetumia umeme wa 336,000 kwenda na kurudi Dar - Morogoro

    Hii ni habari njema kwa matumizi ya umeme wa 333k, sasa mtupunguzie nauli ya 25k. Tunawasihi sana!
  5. Iza

    Kwa masikitiko makubwa, mwandani wangu ananisaliti na wanaume zaidi ya wa 5

    1. Achana naye songa 'mbere'. Akiuliza sababu mpe kama ulivyozipata. 2. Endelea naye ila naye awe 'mchepuko', tafuta mwanamke mwingine akijua mueleze mbona kama unavyofanya tu wewe.
  6. Iza

    Msafara mrefu wa magari ziara za Mbowe ni kufuru, Chama kifanye mapitio

    Hii ni hisia..weka ushahidi tuwachane!
  7. Iza

    Hauwezi kutaja historia ya Lowassa bila kuitaja Chadema vile vile hauwezi kutaja historia ya Chadema bila kumtaja Zitto Kabwe

    Kuna haja watu wajue historia ya vyama vya upinzani, uanzishwaji, ukuaji na watu waliohusika kuifikisha ilipo kwa usahihi bila mihemuko!
  8. Iza

    Kama Upinzani unataka mafaniko ya kweli iachane na 2025 lengo liwe 2030

    Mkuu P., nadhani suala la upinzani kuchukua dola ni lini naliona liko mikononi mwa wananchi. Wapinzani wameshafanya kazi yao kwa nafasi yao kwa uwezo wao ni jukumu la Umma kuamua wanachotaka na lini. Hata ikichukua miaka 100 kwa Umma ambao hauna muamko na upinzani, hata aje nani....tutabaki na...
  9. Iza

    Ijue historia ya Wahaya wa Kiziba ''Wenye Kagera Yao''

    Angalau nimepata pahala pa kuanzia kujua historia ya Wahaya. Shukrani sana!
  10. Iza

    TANZIA Dkt. Ibrahim Msabaha afariki dunia

    Apumzike kwa amani daktari!
  11. Iza

    Kijana (30) amuua mpenzi wa mama yake (34) kisa wivu wa kimapenzi

    "Amefanikiwa kumuua" .....kufanikiwa ni dhana ya ushindi sasa mauaji yanakuwaje mafanikio. Japo madai ya kuwa walikuwa na mahusiano yasiyofaa na mama'ke inazidisha kiza katika hii habari!
  12. Iza

    Rais Samia awekwe kwenye fedha, tuache wivu na chuki

    Nimezikumbuka enzi za kuwa na propagandist wenye akili timamu..!
  13. Iza

    Waziri Mkuu Ufaransa amteua aliyekuwa mume wake kuwa Waziri wa Mambo ya Nje

    Wanalazimisha tuone ni jambo la kawaida. Shenzi taipu zao!
  14. Iza

    Ashatu Kijaji: Hakuna uhaba wa Sukari nchini, ipo ya kutosha

    Sukari Sukari Sukari!
  15. Iza

    Rais Samia: Uchaguzi utakuwa huru na wa haki

    Sitting arrangement haiko comfortable kabisa, wamebanana. Wangeweka roundtables!
  16. Iza

    Miaka 100 baada ya kifo chako, utazaliwa kwa mara nyingine ukiwa na mwili mpya

    Utajuaje kwamba ni wewe uliyezaliwa baada ya miaka 100?
  17. Iza

    Video: Mchungaji Pilipili akiwa Club

    aachwe ainjoi huku ndo kwake...kule anawauza!
  18. Iza

    Zembwela/ Manara Wana maisha mazuri kuliko Profesa wa Tanzania

    duh...vijana someni ni faida mbeleni!
  19. Iza

    Hivi Rais Samia amewahi kuandika Makala au Paper ya utatuzi wa changamoto za jamii?

    Mkuu P., Shukrani sana kwa hili. Kwa andiko hili la Mh. Rais naamini na mengine mengi yatafuata tupate uzoefu wake katika serikali na asasi binafsi alikopitia. itasaidia kuibua mijadala tofauti tofauti!
  20. Iza

    Ridhiwani Kikwete anaandaliwa Urais 2030?

    Heri kwake. Na sisi wandewa tujipange kwa ama kupiga kura au kujiposition nao...tusiwe tunajishangaza wakati maandalizi tunayaona!
Back
Top Bottom