Nilichokisika mimi uteuzi uliotenguliwa ni wa D.C Wa Ngorongoro.. Mr Emily Ntakamulenga. Huyo wa rombo ambaye pia ni mbunge sina hakika kama katenguliwa. Labda kama ni wawili.
labda ulipenda iweje? Hayo matokeo yanafanyaje chadema iamini ukanda? Kila jimbo limechagua kivyao na kwa bahati nzuri kila chama kimeendelea kulinda kiti chake...
mimi siyo mwanaukawa, ila ni mshabiki wao.
Nimependa sana ushauri huu.. ni mzuri sana na wa kujenga. Nimesikia watu wengine wakitathmini kwa namna hii. Ni vema ukawa wakauchukua ushauri huu na kuufanyia kazi.. wakiufuata vizuri, 2020 kitaeleweka.. bunge lazima liwe 50/50
Ndicho ninachokiona! Wataruhusuje umbea umbea kama huu uonekane hapa! Yaani mtu anamalizia kwa kusema chunga midomo yenu...wakati yeye anapanua mdomo kuleta uhongo hapa! Yeye atwambie alikuwa kwenye hicho kikao? Au aliweka recorder, au amepewa habari na mmoja ya waliokuwa kwenye kikao au...
Labda kama uelewa wa baadhi yetu ni mdogo! Lakini tunavyojua utekelezaji wa ahadi ni mchakato. Huwezi kuchaguliwa leo ukaanza kutekeleza kesho. Pia ujue kuwa rais yoyote atakayechaguliwa ataendelea kutekeleza bajeti iliyopo na atafata katiba iliyopo. Kama itahitajika kufanya mabadiliko lazima...
siyo Lowasa, Dovutwa, Magufuli, wala Mgwira aliye na uhakika wa kushinda. Wananchi watanzania ndio waamuzi. Sasa huo uhakika wa ushindi wa upande mmoja unaouongelea umeupata wapi? kura yako moja ndo inakuonyesha maamuzi ya watanzania wote? Usifanye watu waamini kuwa ushindi ni mezani na wala si...
Kaka in majina tu..Zanzibar kuna vespa za kufa MTU na zinapiga business kama kawa.
Hata hivyo ukilinganisha na ya magufuli hiyo ni cha mtoto. Magufuli akihutubia aliwambia wananchi kuwa atawajengea madaraja..wakamwambia hapa mbona hakuna mito....akadakia hata mito nitawaletea.
they cant be seriuos! Wameishaona watanzania wana muda wa kupoteza? Watu wameenda kusikiliza sera na kuwambia mmefanya nini na mtawafanyia nini next... nyie mnamaliza mkutano kwa matusi na kuchochea udini na ukanda.
Umeishasema watanzania Wataamua wenyewe... Alafu unawaamulia kwa kuwa mtu. Huyo ulomtaja ni chaguo Lake lakini so LA watanzania wote. Acha Demokrasia Ichukue mondo wake.
Kwanzaa siyo wote wanampenda magufuli. Lakini wengi wanaompenda Hawakipendi wala kukiamini Chama chase.. Akiwemo yeye many ewe. Soma halama halo... Ccm no inazama hive.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.