Search results

  1. Geniustin

    Naomba maelezo kuhusu Toyota Wish

    Wakuu naomba msaada wa mawazo kuhusu gari Toyota Wish... Nina mpango wa kununua hilo gari, nimekuja mbele yenu kupata mawili matatu kwa uzoefu wenu.
  2. Geniustin

    Ubora wa magodoro ni ugumu?

    Wakuu Salaam, Naomba kuuliza na kushangaa[emoji54] Hivi siku hizi, sifa za viwanda ni kuzalisha magodoro magumu[emoji134][emoji22] hadi mtu ukilalia unajishauri[emoji23][emoji23][emoji23] unakuta godoro ni ngumu, mfano ndo ulilalie kwa tumbo, kifudifudi. Tumbo linauma[emoji134][emoji22], yaani...
  3. Geniustin

    Bar yenye Nyama choma na Mziki Magomeni

    Wakuu, Husikeni na somo tajwa hapo juu. Naona kuelekezwa ama jina la Bar yenye nyama choma na muziki mzuri maeneo ya kuanzia Shekilango kwenda kule Kariakoo (Eneo lolote la Magomeni ama Sinza, Manzese. Nawasilisha. Sent using Jamii Forums mobile app
  4. Geniustin

    BMLS in Microbiology, BMLS in Parasitology

    Wakuu, naomba msaada na ufafanuzi wenu kuhusiana na hizi kozi zinazotolewa MUHAS (Muhimbili University). Wakuu nina ndugu yangu amechaguliwa kusomea Degree ya Maabara ya Microbiology (Bachelor of Medical laboratory sciences in Microbiology). Sasa anaomba ushauri juu ya hii Kozi kwa wanaoijua...
  5. Geniustin

    Kati ya kupima na kukuta una HIV, au kutokupima na kutokujua kama unao ama hauna...Ipi bora?!?

    Wakuu; heshima yenu. Naomba tujadili...Hivi kipi bora? Kati ya kupima HIV na kuikuta? Ama kutokupima na kutokujua kama unao ama hauna?. Yaani siku nyingine unasema mi sina ngoma (HIV)...Siku nyingine unajisemea "mmh sijui naweza kuwa nao"!?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Kipi...
  6. Geniustin

    Hivi Mishahara ya May 2019 ilishatoka ama bado?

    Wakuu, naomba kuuliza...Mishahara ilitoka au bado? Now nipo shambani, sipo karibu na Bank. Naomba mnifahamishe ndugu zangu.
  7. Geniustin

    Chimbo gani zuri lililochangamka Dodoma?

    Wakuu, heshima zenu...Naulizia chimbo ninaloweza kupata vinywaji na nyama choma DODOMA. Chimbo lilipo mitaa ya kati mjini au na maeno ya karibu. Lililochangamka. Sent using Jamii Forums mobile app
  8. Geniustin

    Vitambi kweli ni changamoto

    Wasalamu wakuu, Ndugu zangu, Siku hizi naona kitambi kimeanza kujitokeza[emoji134] asikwambie mtu kitambi kina shida. Naangaika jinsi ya kukaa, nalazimika kulegeza mkanda wakati nakaa, nahangaika kweli mpaka naona tumbo linauma[emoji134] Kuvaa viatu shida, kuvua viatu shida[emoji134] Kuvaa...
  9. Geniustin

    Kubadilishana kituo cha kazi, Kada ya Afya

    Wakuu Salamu; Natumai wote ni wazima na majukumu ya kila Siku yanaenda salama. Mimi ni Mwajiriwa wa Manispaa ya Iringa, Kada ya Afya. Natafuta mtu wa kubadilishana naye aliyepo Mkoani Dodoma(KATIBU TAWALA MKOA). Natanguliza Shukrani zangu.
  10. Geniustin

    Msaada wa jinsi yakurudisha faili la simu nililo-delete kwa bahati mbaya

    Wakuu Habari zenu! Hope you are Doing Good. Waungwana, Muda si mrefu nilikuwa nimeshika Simu Android. Sasa nikataka kufuta Pich moja kwenye CAMERA PICS, Kwa Bahati mbaya nikaFUTA Faili zima lenye Picha za CAMERA[emoji134] [emoji24] Yaani Picha zangu zote nilizokuwa napiga Mwaka mzima...
  11. Geniustin

    Nimemtongoza tangu Mwezi wa 4 mwaka huu, hadi leo hola

    Wakuu, Heshima yenu sana, Kuna msichana nilianza kumtongoza tangu mwezi wa 4 mwaka huu, hadi sasa tunakaribia kufunga Mwaka HOOOLA, Miezi ya katikati alikuwa mara aonyeshe mwelekeo wa kukubali, yaan ni Staki nataka..... Siku hizi hata Kumbatio tu anaona nampa kero, tena namlazimisha...
  12. Geniustin

    Mshahara wa Oktoba bado tu?

    Wana Bodi, Sio kwa mfulio huu![emoji134] [emoji24] . Hela niliyobaki nayo haifiki hata Elfu Tano za Kitanzania.[emoji134] [emoji24]
  13. Geniustin

    Msichana kudai kutaka kuzaa tu na kuishi mwenyewe na mtoto

    Wazalendo, natumai mu buheri wa afya, Back to the above heading; ni hivi kuna msichana anadai yeye hana mpango wa kuolewa na kwamba ana mpango wa kuzaa tu, na apate kuishi na mtoto wake. Anasema na tena anapenda azae na mtu nje ya mkoa, ili akishapata mimba kusiwe na usumbufu kutoka kwa huyo...
  14. Geniustin

    Waungwana naomba mnishtue usingizini, mapenzi haya

    Wakuu, Habarini za mapumziko na heka heka za kila siku. Kuna kitu kinanitatiza mjumbe wenu; Hivi mwanamke anajisikiaje kuwa anapigiwa simu hapokei, anatumiwa meseji hajibu. Na usipomtafuta, ndo basi hamuwasiliani (yaani hadi umuanze wewe) Na muda mwingine kwenye What's App meseji zinaonekana...
  15. Geniustin

    Kilichonikuta jana kwa Toto zuri Dunia nzima.

    [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji119] Wakuu,Nimeamini kweli Shetani kwa Mazingira fulani anashindwa.Hahahaaa. Ilikuwa hivi; Jana mishale fulani ya 22:05 Hours, nikiwa niko geto. Nikapokea Simu ya Toto moja hivi tamu(ingawa sijawahi kulipiga[emoji134] ), likanambia nifungue mlango...
  16. Geniustin

    Msichana ana mpenzi, Namimi nimempenda

    Heshima yenu wadau, Ni hivi juzi kati wakati namtupia mawili matatu(Namtongoza) Msichana mmoja hivi, Jibu alilionipa alisema ana mpenzi. Wadau naomba ushauri wenu nifanyaje/nimwambiaje kuSolve hiyo Situation? Na Hilo jibu lake niweze kuliNeutralize? Maana hilo jibu liliniacha njia pande...
  17. Geniustin

    Kutaka kuanzisha Mahusiano na Demu wa Mshikaji wangu.

    Wazee husikeni na Mada tajwa, Kuna mdada mmoja ambaye yuko kwenye mahusiano na Mshikaji, ingawa uhusiano wao una matatizo, jamaa anamzingua sana huyo msichana. Afu Huyo msichana anampenda jamaa balaa Ni hivi; Shetani kaanza kunishawishi nimvute huyo toto kwangu.Ale raha za Dunia, Isitoshe yeye...
  18. Geniustin

    Natural Sweet Red Wine..

    Naombeni msaada wenu wadau, wa kufahamishwa ni Red Wine gani ambayo ni Tamu by Taste....ni muda mrefu nimekuwa nikitafuta "Red Wine ambayo ni Sweet" ili iwe kinywaji changu coz Sipendi vinywaji( vyenye Alcohol) ambavyo ni vichungu, I prefer more Sweet Red Wine.. Thanks in Advance.
  19. Geniustin

    Taratibu ya uhamisho wa mwanafunzi wa Sekondari

    Wasalam wapendwa; Naomba kufahamishwa utaratibu wa kumwamisha Mwanafunzi wa Sekondary kutoka Mkoa mmoja kwenda mwingine. NOTE; Mwanafunzi ni wa Form One, Ameanza shule Mwezi huu. Thanks in Advance wakuu.
  20. Geniustin

    Kuagiza Toyota Hiace (Daladala) kutoka Japan (Used Car)

    Msaada wenu waungwana,Naomba kuuliza; unagizaji wa Daladala kutoka Japan (Used) inagharimu shilling ngapi? Na je,hadi kutoa pale Bandari ya Dar-es-Salam naweza kutumia Kiasi gani? Msaada ndugu zangu kwa uzoefu wenu na uelewa. Thanks in Advance.
Back
Top Bottom