Search results

  1. Mshombsy

    Mwendesha mashtaka mkuu wa ICC ameyakataa madai ya Lowassa na Mbowe.

    Ni ICJ sio ICC hivyo F. Bensouda hausiki na hii tetesi ya kutunga
  2. Mshombsy

    Magufuli: First EA President with a doctoral degree

    Dr yowel kaguta mseven
  3. Mshombsy

    MIMI DIASPORA: Muonjesheni Dk. Magufuli uongozi wa chama cha upinzani 10/25

    Katika wizara zinazoundwa kwenye nchi kuna wizara ambazo watu upenda kuzishika mfano ni wizara ya ujenzi. Hii ni wizara inayofanya kitu ambacho ni kinaonekana (visible) tofauti na uchumi nk. Kitu ambacho unatakiwa kujiuliza hela za barabara zinatoka wapi? Kama ni kodi moja kwa moja au mkopo...
  4. Mshombsy

    MIMI DIASPORA: Muonjesheni Dk. Magufuli uongozi wa chama cha upinzani 10/25

    Kuna wakati Magufuli alikuwa chini ya hao unaosema wakupe majibu. Hivyo huwezi kumsifia Magufuli ukawaacha katika sekta alizozisimamia Magufuli. Pili mfumo wetu wa siasa ni kutetea msimamo wa chama na si itikadi ndio maana uongozi wa chama ndo unateua mtu si kama nchi nyingine chama kinakupa...
  5. Mshombsy

    MIMI DIASPORA: Muonjesheni Dk. Magufuli uongozi wa chama cha upinzani 10/25

    Soma vizuri uelewe Mh. Hao waliotoka wameenda kuungana na watu waliotasema hayo anayosema Magufuli muda mrefu. Magufuli anayasema akiwa amezungukwa na watu na mfumo uleule uliokataa kuwasikiliza wapinzani walioungana. Swali la kujiuliza kama angekatwa angekuwa Magufuli huyu anayeongea au yule...
  6. Mshombsy

    CHADEMA wazungumzia tuhuma za Mbowe kuhamisha fedha nje ya nchi

    Kumbuka chama kimeusishwa na hiyo habari kutoka ni nafasi ya Mbowe aliyonayo kwenye chama.
  7. Mshombsy

    MIMI DIASPORA: Muonjesheni Dk. Magufuli uongozi wa chama cha upinzani 10/25

    Mkirejea mrejesho (type youtube DICOTA USA) wa mwakilishi wa diaspora kwenye bunge la katiba alioutoa kwenye kongamano la diaspora wa kitanzania Marekani (DICOTA) uliofanyika jimbo la North Carolina jiji la Durham baada ya kuwa sehemu ya walioibadili rasimu ya warioba kwa diaspora kupewa hadhi...
  8. Mshombsy

    Lowassa asababisha timua timua ITV

    Waliotoa ile clip wamevunja miiko ya kazi pengine wawaulize mawakili wanapoongea faragha na wateja wao mangapi wanaambiwa maovu lakini wanaendelea kuwatetea? Kimsingi uwe ukawa au ccm ni kwamba wafanyakazi wamechemsha sana wanaua biashara ya station
  9. Mshombsy

    Msaada wa haraka: Nimenunua LUKU kwa sh. 25,000 nikapata units 10

    Wamekata kwanza gharama za uwekezaji (capacity charges) au service charges za mwezi na iliyobaki ukapewa unit 10. Hivyo ukinunua units kabla mweZi haujaisha wa ununuzi utapewa units kwa hela uliyoweka, mfano ukiweka sh 25 elfu utapewa unit za elfu 25 na inawezekana zikafika 100 kwasababu...
  10. Mshombsy

    TANZIA Helikopta yaanguka, aliyekuwa Mbunge wa Ludewa, Deo Filikunjombe na wengine wapoteza maisha!

    Mnaongelea hii ajali mbichi wakati hakuna taarifa zozote juu ya marubani wa jeshi waliopotelea baharini. Hatujui kipi kinaendelea
  11. Mshombsy

    Mbowe: Dr. Slaa alidai Ukatibu Mkuu unamtosha

    Alisema yuko likizo kwasababu za kutokuelewana na kama akiona vipi atawakuta mbele ya safari. Slaa aliamua kutorudi. Kumbuka alisema waliamua aende likizo na mpaka siku anatoka live angeweza kurudi kuendelea na ukatibu mkuu.
  12. Mshombsy

    Msipotoshe, CCM haijatawala Miaka 50

    CCM ilirithi mikoba yote ya mfumo na utajiri wa ASP na TANU. Kama ilivyorithi dola bila uchaguzi wa vyama 1977 na utajiri kama viwanja vya michezo ndivyo kwa kipimo hicho hicho imerithi mazuri na mabaya kuanzia 1961. We wakanushie lakini jua ndo maana wao hawakanushi
  13. Mshombsy

    Jiji la Dar es Salaam mwanzoni 1887

    Camera zilishagundulika ndio maana zipo picha za abraham lincoln 1860s
  14. Mshombsy

    Ni aibu watu wazima kusema Uongo, Mtama ya Nape na CCM

    Mleta uzi anachanganya kitongoji na jimbo na vyote majina sawa. Kitongoji mtama kimebeba jimbo la mtama.
  15. Mshombsy

    Ni aibu watu wazima kusema Uongo, Mtama ya Nape na CCM

    Kuna jimbo la mtama na kitongoji cha mtama. Kuna wilaya ya songwe na mkoa wa songwe Kuna wilaya bukoba vijijini na jimbo la bukoba vijijini. Kuna kata Ukonga na jimbo la Ukonga ** kitongoji cha mtama kiko ndani ya jimbo la mtama lenye vitongoji vingi. Hivyo si ajabu ya idadi ya waliorudisha...
  16. Mshombsy

    Secretary ya Marekani Tanzania ni Waziri

    Nimeona uzi hapa na facebook page ya BBC kwamba Rais Obama amemtua katibu wa jeshi shoga. Tunapotafasiri maneno ya nje ni vizuri tufanye kwa kuzingatia cheo kulingana na nchi husika. Hivyo Rais Obama amemteua Waziri wa jeshi ambaye ni shoga. Mfano katibu mkuu kiongozi wao ni chief of staff na...
  17. Mshombsy

    Nitapata wapi katiba ya ACT-Wazalendo?

    Kati ya katiba strict kwa wanachama ni ya ACT, na hakuna uhuru wa wabunge watokanao na ACT. hoja binafsi za wabunge zinaandaliwa na kamati kuu ya chama alafu wanapewa wabunge wake kuziwakilisha bungeni. Wao ni chama kwanza mwanachama badae. Kama unataka mawazo huru basi subiri kwanza. Mfano...
  18. Mshombsy

    Askofu Josephat Gwajima amjibu Dr. Slaa

    Kasema alikuwa anarekodi na ameonyesha sms ya dr slaa
  19. Mshombsy

    Lowassa, Utajiri na Uongozi kuelekea 25 Octoba

    Hakuna anayejua utajiri wake, wote ni kuzusha kisa yupo karibu na matajiri. Magazeti yote yameandika lakini ukisoma hakuna aliyesema alipeleka habari takukuru wakaukataa, na magazeti hayajawahi kutaja mali.
Back
Top Bottom