Search results

  1. Einsten

    Biashara ya Mitumba

    Habari wana Jamvi natumai wazima, Ningependa kujua utokaji wa nguo za mtumba za wadada cotton BLOUSE nataka niagize Belo China Grade A ila sijajua kama zinapendwa sana au kama zipo zinazopendwa naombeni ushauri wenu.
  2. Einsten

    Naomba kujuzwa utaratibu wa kuagiza simu China

    Habari za muda wakuu, Napenda kujua taratibu za kuagiza simu china na south korea maana kuna chimbo nimepata ya kupata Refurbished phones kwa bei kitonga sana ila nmejaribu kuwasiliana na ARAMEX wameniambia wao hawaSHIP vitu vyenye battery kutoka china na korea labda USA (usa gharama). Maana...
  3. Einsten

    Napenda kujua taratibu za kuagiza simu China

    Habari za muda wakuu, Napenda kujua taratibu za kuagiza simu China na South Korea maana kuna chimbo nimepata ya kupata Refurbished phones kwa bei kitonga sana ila nmejaribu kuwasiliana na ARAMEX wameniambia wao hawaSHIP vitu vyenye battery kutoka china na korea labda USA (usa gharama). Maana...
  4. Einsten

    Utapeli wa SME-Tanzania na wengine

    KWA FAIDA YA WENGI. Haya makampun yanayojinasibu kuwa uwekeze kiasi...... ili upate faida kwa lisaa, siku, na unakuta % ni kubwa sana ni WAONGO kwa 100%. WANAWEZAJE KULIPA? Miaka ya nyuma walikuwa wanasema wanawekeza kwenye migodi, Wananunua Gold, wanafanya biashara za Ndege, Magari ya...
  5. Einsten

    Biashara ya Alzeti

    Kama kichwa kinavyojieleza naomba mwongozo wa upatikansji wa alzeti maeneo ya singida najua humu kuna watu wanafanya hii biashara. Nilitaka kujua mtaji wa below 3M unatosha kuja nayo huko kama nitapata profit?
  6. Einsten

    FREMU KISUTU

    Habari za muda wana jf. Ningependa kuuliza kama kuna mtu yeyote anajua gharama ya kukodi fremu za juu kabisa pale soko jipya ya kisutu.
  7. Einsten

    Ushauri kwa Graduates wasio na kazi

    Kuna wimbi la vijana wengi sana mtaani kuanzia dsm mpaka mikoani ambao kusema ukweli wanatia huruma sana ukikutana nao, ila nachojiuliza ni kitu kimoja unakuta kijana analalamika kuwa hana kazi wala mtaji lakini unaweza ukamkuta na vitu hvi either kimoja or vyote. 1. Smartphone ya ghali (iphone...
  8. Einsten

    Proffesional blog designers

    Kwa yyote aaehitaji Blog ya biashara, Binafsi tunatengeneza kwa being nafuu sana pia kwa yyote anaetaka blog yake kubadili kuwa na professional looking tupo kwa ajili yako. Badili blog yako kutoka. Yourblogname.blogspot.com to yourname.com. na kwa wnaohitji website tupo kwa ajii yako...
  9. Einsten

    Premium blogger templates available

    Habari !! Jf members Ninazo premium blogger templates ambazo utaweza kuondoa footer credits.. Templates hizi nazinunua kwa kazi zangu na wanaruhusu kuhost unlimited DOMAINS. kama unahitaji nicheki kwenye namba hii. 0656540271 Tsh 5000 tu per template
  10. Einsten

    Premium blogger templates available

    Habari !! Jf members Ninazo premium blogger templates ambazo utaweza kuondoa footer credits.. Templates hizi nazinunua kwa kazi zangu na wanaruhusu kuhost unlimited DOMAINS. kama unahitaji nicheki kwenye namba hii. 0656540271 Tsh 5000 tu per template
Back
Top Bottom