Search results

  1. kababu

    Mohammed Shabiby: Namna ya kupunguza bei za mafuta kwa 50% ya bei za sasa

    Shabiby atoa mwarobaini kupanda bei mafuta MBUNGE wa Gairo Mohammed Shabib ameitaka Serikali kuruhusu kampuni binafsi kuagiza mafuta wenyewe bila kutumia uagizaji wa pamoja. Shabiby ametoa ushauri huo leo Jumatano tarehe 6 2022 bungeni jijini Dodoma wakati akichangia hotuba ya bajeti ya Ofisi...
  2. kababu

    Mbowe na CHADEMA warudishwa kwenye mstari baada ya kifinyo kikali

    Licha ya awali kuwa na msimamo tofauti, vyama vya Chadema na NCCR-Mageuzi vilivyoweka msimamo wa kutokushiriki mkutano wa Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD) vimetengua msimamo huo sasa vitashiriki. Mkutano huo wa maridhiano ya umoja wa kitaifa, ukiwamo Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020 unatarajiwa...
  3. kababu

    Rai yangu kwa Rais Magufuli kuhusu uchumi na wananchi wa kawaida

    Kwanza nianze kwa kumpongeza rais wangu kwa hatua anazochukua za kupambana na rushwa na ufisadi na pia kuwasaidia wananchi wanyonge ila kwenye uchumi ujafanya vizuri kwani mzunguko wa ela umepungua sana mtaan na hili hapa linaweza kuwa suluhisho, 1. Naomba upunguze kodi kero bandarini ambazo...
  4. kababu

    Tofauti kati ya Ndege ya Bombardier na Boeing kwa safari za ndani (Local Routes)

    Kama kutoka Dar es Salaam hadi Mwanza ni Km 1,100 maana yake Bombardier itatumia saa moja na dakika arobaini (1 hr and 40mnts) wakati Boeing itatumia saa moja na dakika kumi na tano (1hr and 15 mnts) tofauti ni dakika 25 tu. Boeing inatumia dumu moja la mafuta la lita 4 kwa sekunde moja kwa...
Back
Top Bottom